CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
Ok, huna hamu na CHADEMA. Weka neno basi kuhusu Lugumi
 
Leo hii sitakaa niamini maneno watu kumuita mtu FISADI au kafanya ufisadi mpaka ithibitike mahakamani,maana yasije yakatokea yakutokea,walioitwa MAFISADI leo hii ni wenzetu katika kuleta MABADILIKO.

NB,"kama huna ushahidi JUST SHUT UP"
ila MKUU lugumi kuna ushahidi upo.........lowasa mpaka leo hamna mtu aliepeleka evidence
na alisema kama kuna mtu anaushahidi alete
 
Ikiwa Rais ataendeshwa kwa hoja za kutengenezwa na watu wenye upeo mdogo kama lema, mbowe na lissu unadhani hili linaitwa taifa kweli??

Yaani mbowe na Ma DJs wenzake wakae waseme Flan ni fisadi then Rais amuwajibishe on the spot unadhani tutafka kwel mkuu

We did kw lowassa bahat nzuri uongo haunaga maisha marefu wakaja geuka kwamba Lowassa was innocent kwa hyo mkuu Rais ataendelea kusimamia kile kilicho na mashiko na sio kwa mizukA ya ma DJs
Kuhusu Lowassa, mimi nadhani angeshtakiwa tujue moja au unaonaje mkuu?

Makamu wa Rais (CCM) amesema msiwabeze wapinzani, kwamba upinzani kuna watu makini, naona unapingana nae

Kwani watu wangapi wamewajibishwa on the spot na Rais? Ina maana unakubaliana na hao CHADEMA kwamba kuna ubaguzi katika utumbuaji majipu!!
 
Mtumbuaji naye anadalili zote za kuwa jipu kama asipolichukulia hatua hili suala, swali linakuja nani wa kumfunga paka kengele?
 
Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.

Kwani ukawa ndio wanabadilisha viwango vya ufaulu kwa kushusha ili watoto wako wapasi? Au ndio wanahusika kuiba na kugawana mamilioni ya fedha za escrow? Jibuni hoja za msingi, sio kulalama Lowassa Lowassa kila ciku, kama vile mwenyekiti wenu Kikwete hakuwepo au hakuhusika kwenye skando ya Richmond.
 
Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
Wewe wasema, Chadema tuliiamini, tunaiamini na tutaendelea kuiamini.
 
Ningekueleweni kama mngesema kamati ya PAC imekaa kimya kwa nini? Kama kamati yenu ya Bunge inayoongozwa na upinzani imeshindwa kazi otoe taarifa bungeni, rais hawezi ingilia kazi mfupa mlioanza kuufonza wenyewe. msimlazimishe aingilie kazi ambayo mhimili wenu hamjaimaliza. Toeni taarifa bungeni mumeona madudu gani na mnaiagiza serikali ifanye nini. Chadema hii hoja ya Lugumi haitawatoa itawadharirisha achaneni nayo. Kitwanga ameshawamaliza, "Mbunge anayetaka mkataba upo wazi fuateni utaratibu unaotakiwa ishu ya usalama Wa taifa haijadiliwi Sokoni"
Hili jipu limekaa utosini.
 
Magu piga kimya kama vile ile ya Zanzibar hawa wapinzani wa tanzania ni wasanii tumewazoea
 
Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
Una Hamu Na Ccm?
 
Nyinyi mnaopenda vibweka na kufanya kila tukio hata kama ni dogo lionekane kama vile sinema fulani mpya ya Hollywood. Badilikeni na mjikite kwenye nguvu za hoja na sio mihemko.
Hahhah mbona mnajisema mkuu wafanya maigizo ni nani?
 
Attachments

  • IMG-20160519-WA0029.jpg
    IMG-20160519-WA0029.jpg
    55.5 KB · Views: 40
Hahhah mbona mnajisema mkuu wafanya maigizo ni nani?
Kususa na kutoka nje wakati mijadala inaendelea ni maigizo ya hali ya juu, kwa sababu mnatoka nje wakati tayari mmeshachukua posho ya siku husika. Jikiteni kwenye kukijenga chama, na hizi siasa zenu za matusi, kejeli, dharau, kutopenda kuambiwa ukweli ni tatizo jingine litakalo wasumbueni sana.
 
JAMANI SHAMBA LA BWANA KHERI, MBUZI WALIOKULA MAZAO NI WA BWANA KHERI, AKIDA BWANA KHERI.. lugumi si jibu ni mbuzi wa akida
 
Back
Top Bottom