CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

Status
Not open for further replies.
dr SLAA ni mtu aliyelelewa na kukulia seminary. amesoma dini huyu mtu na mwishowe imani ikamshinda kwa tamaa za kidunia.
nilidhani labda kuna mabaki ya ubinadamu ndani ya moyo wake yalyotokana na malezi mema ya kanisa lakini kumbe nilikosea kudhani hivyo!!. hakumbuki jinsi alivyomtumia huyu kijana katika mambo yake binafsi(machafu na masafi), amesahau jinsi alivyokuwa anayaweka rehani maisha ya huyu kijana kwa kumpa maagizo ya utekelezaji wa mambo ya hatari yaliyokuwa yanapangwa na kuratibiwa na makao makuu. amesahau jinsi alivyokuwa msiri wao na kufanikiwa kuficha siri nyingine ambazo hata mwenyekiti mbowe alikuwa hajui!!!!!
kma kosa lake lilikuwa ni kuibua siri ya mikakati ya kishetani ya CHADEMA dhidi ya waandishi wa habari, basi nadhani kuna siku mwanga wa mungu utamuangazia kwa sababu alifanya vile kwa maslahi mapana ya taifa.
kinachonifurahisha kuhusu hili sakata la lwakatare ni jinsi wana chadema wanavyojiumauma na kujikanganya kuhusu ile video. naona sasa wamehama kutoka kwenye'' VIDEO FAKE'' mpaka kwenye 'LUDOVIC MSALITI'''.
Mwisho wa hili sakata uko wazi.. LWAKATARE ATAFIA JELA KAMA MFUNGWA na LUDOVIC atasalimika.
just stay tuned

Usijifanye kutia watu woga wewe Mwigulu, wala usijali Chadema wanataka hiyo kesi iende mahakamani na mkileta majaji wenu wa kupandikiza tunawakataa kisha anateuliwa ambaye hajui kupindisha sheria na hapo ndio tutakuona kama utakuja kuleta ule ushahidi unaojifanya kuwa unao huko bungeni na kwenye media. Kwanza tunaona kama siku zinachelewa za hiyo kesi. Mbona watanzania wanaojitambua wameshawashtukia wanangoja tu muuingie kwenye anga zao
 
Si kweli mkuu, kijana yuko gerezani ananyea debe tu. Inasikitisha sana kwa hatua aliyofikia.
Mkuu hamy.d nilikula bun kidogo nimerejea tuendelee kuwaelimisha hawa ndugu zetu wasiolewa,kijana huyu wamefanya naye mambo mengi mabaya yamebuma wanamuona taka.
 
Mkuu, inaonekana hujui au unavika upofu kuhusu uchakalikaji wa kijana Ludo kwa CDM.

Kijana Ludo kwa Dr Slaa alikuwa ni lulu, kijana aliaminiwa na Dr Slaa mpaka akamfanya private secretary.

Kwanini wamteme hivi?

Psychologia yako na ccm ni ya kitoto kabisa, yaani mwataka kutumia post hii kuwa aminisha watu Ludo si mtu wenu eh, poor Hamida aka mwigulu.:majani7::majani7:
 
Dah inasikitisha sana we hav to think before. Nitabaki tu kuwa neutral mambo haya ni magum sana. Siasa ni mchezo mchafu.

Mkuu, ni CDM tu na vyama vingine ndio vyenye kuweza kumtupa mwanachama wao. CCM uwa hatutupi mtu, bali tunakoso, tena kamati za maadili zipo kwa ajili ya kazi hiyo.

Sasa sijui Ludo kama aliwekwa kitako na kamati ya maadili kuhusu hizo tuhuma anazo tuhumiwa nazo kuwa amesaliti chama, au ni ubabe tu ndio umetumika.

Ila mpaka sasa nasema ni ubabe, kwakuwa CDM hawakusikiliza hoja zake kuhusiana na sakata hili.
 
Ludovick anastahili kupata adhabu anayopata! Mtu wa kumsaidia ni Mwigulu au ile 50,000 ya mpesa inamuuma sana! Chadema tuko bize na dhamana ya Henry Kilewo ndio habari ya mjini, Ludocick anastahili kuendelea kuwa jela.....
 
Mkuu hamy.d nilikula bun kidogo nimerejea tuendelee kuwaelimisha hawa ndugu zetu wasiolewa,kijana huyu wamefanya naye mambo mengi mabaya yamebuma wanamuona taka.

Mkuu, karibu tena, nili-notice absence yako mkuu.

Ila naamini umekuja na kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya!
 
Ipo siku na wewe yaweza kukukuta kama haya tuwe na huruma na tuthamini mchango wake ktk chama.
Mkuu wala sibishi, matatizo ni sehemu ya maisha, lakini kama yakinikuta kwa usaliti, hiyo itakuwa ni haki yangu, na watu hawatasikia uchungu, lakini kama itanitokea nikiwa katika nia njema, wata watanililia na watanitolea dhamana.
Huruma haifundishwi, mfano, ni kama watu wamevamiwa na jambazi wakaumizwa. Na jambazi limepata kipigo kizito toka kwa raia wema...bila polisi watampiga jambazi huyo mpaka afe, lakini watu wema watakimbizwa hospitali kuokoa maisha yao. hiii ni pamoja na ukibaraka au upiga propaganda ili upate pesa wakati ukweli unauja, huu pia ni aina ya usaliti, hivyo damu za watanzania zitakutenga pia na utakosa wa kukutolea dhamana
 
jk.jpg

Mwigulu hana habari tena na Ludovic, anachofanya sasa kila anapokuwepo Kikwete anataka awe ubavuni mwake. Hapa anasakata kandada uwanjwa wa taifa kama kipeperushi cha Yanga.

kumbe huyu mwigulu ni yanga??? god of abraham...!!!! naichukia yanga from now until further notes....
 
dr SLAA ni mtu aliyelelewa na kukulia seminary. amesoma dini huyu mtu na mwishowe imani ikamshinda kwa tamaa za kidunia.
nilidhani labda kuna mabaki ya ubinadamu ndani ya moyo wake yalyotokana na malezi mema ya kanisa lakini kumbe nilikosea kudhani hivyo!!. hakumbuki jinsi alivyomtumia huyu kijana katika mambo yake binafsi(machafu na masafi), amesahau jinsi alivyokuwa anayaweka rehani maisha ya huyu kijana kwa kumpa maagizo ya utekelezaji wa mambo ya hatari yaliyokuwa yanapangwa na kuratibiwa na makao makuu. amesahau jinsi alivyokuwa msiri wao na kufanikiwa kuficha siri nyingine ambazo hata mwenyekiti mbowe alikuwa hajui!!!!!
kma kosa lake lilikuwa ni kuibua siri ya mikakati ya kishetani ya CHADEMA dhidi ya waandishi wa habari, basi nadhani kuna siku mwanga wa mungu utamuangazia kwa sababu alifanya vile kwa maslahi mapana ya taifa.
kinachonifurahisha kuhusu hili sakata la lwakatare ni jinsi wana chadema wanavyojiumauma na kujikanganya kuhusu ile video. naona sasa wamehama kutoka kwenye'' VIDEO FAKE'' mpaka kwenye 'LUDOVIC MSALITI'''.
Mwisho wa hili sakata uko wazi.. LWAKATARE ATAFIA JELA KAMA MFUNGWA na LUDOVIC atasalimika.
just stay tuned
lumumba imeongea saana! Mlipoteana pale mawasiliano yenu ya kuhujumu cdm na kumuhujumu kibanda yapowekwa wazi na marando iatusikii tena kauli za "jinuaini bonafide" mwajili wa mwisho wa Ludo ni mwigulu na mpaka anaingia ktk misukosuko alikuwa akifanya kazi ya mwigulu!
 
kama HUyu jamaa hata ndugu zake hawa mmind, sasa Dr. afanyie nini?
 
Wapi Mwita25 jamani?

Rejao namwona kwa mbali sana, hayuko active kama kina Hammy-D,

Ritz kama kawaida anaendelea kusimamia show (nadhani huyu ni mkongwe kwenye hii kazi).

Hivi hawa ni vijana, watu wa makamu au ni wazee? Maana wanaonekana kazi wanazimudu haswa!!
 
Mkuu, karibu tena, nili-notice absence yako mkuu.

Ila naamini umekuja na kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya!
Tupo imara tunajenga taifa letu tumethubutu,tukaweza,tunazidi kusonga mbele,kwa jinsi slaa alivyo na chuki na kwa vile ludovick aliibua uozo wao slaa hataruhusu kijana yule atoke but all in all yai litawatobokea tu.
 
Ipo siku na wewe yaweza kukukuta kama haya tuwe na huruma na tuthamini mchango wake ktk chama.

ushamaliza UE? hili ni fundisho kwa nyie vijana wa kijani can u imagine huyu kijana mwigulu kamzika just kwa tshs 50,000 napo hiyo pesa imetumwa kwa njia ya mpesa ukitoa charge unapata 48,500. alimpromise atamtolea ushahid hata mbinguni labda asubiri wakikutana mbinguni atamwekea dhamana
 
Mkuu hamy.d nilikula bun kidogo nimerejea tuendelee kuwaelimisha hawa ndugu zetu wasiolewa,kijana huyu wamefanya naye mambo mengi mabaya yamebuma wanamuona taka.
Bun ndio tunda gani wewe mbulula!! nenda shule badala ya kukimbilia hapa JF kueneza umbeya wakati hata kuandika hujui, hebu wahi kule jukwaa la elimu panakufaa ukishaelimika ndio uje hapa.
 
Mkuu, ni CDM tu na vyama vingine ndio vyenye kuweza kumtupa mwanachama wao. CCM uwa hatutupi mtu, bali tunakoso, tena kamati za maadili zipo kwa ajili ya kazi hiyo.

Sasa sijui Ludo kama aliwekwa kitako na kamati ya maadili kuhusu hizo tuhuma anazo tuhumiwa nazo kuwa amesaliti chama, au ni ubabe tu ndio umetumika.

Ila mpaka sasa nasema ni ubabe, kwakuwa CDM hawakusikiliza hoja zake kuhusiana na sakata hili.
tatizo mnaweza kumuweka kitako, hapo hapo akatoa filamu nyingine, kwmba mlikuwa mnataka kumnyonga baada ya kuvujisha siri. aina ya watu hawa ni kuwaweka mbali sana. dakika tano nyingi. kila dakika anawazia kutumika ili apate angalau kutibu njaa ya siku
 
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.

Kwanini ccm haimuangalii kiubinadamu? wakati mwigulu nchemba anamtumia alifanya hivyo kwa manufaa ya ccm kwanini sasa huo moyo wa ubinadamu umewatoka na kuvaa moyo wa mnyama?...
 
Nasikia mzee slaa aliposikia kuwa ule mpango wao wa kumteka msack umebuma akasema yeyote aliyehusika kuvujisha siri kitaeleweka tu yeye ndiye sg wa chadema.
 
"Ukiua kwa upanga, nawe utakufa kwa upanga"

Mkuu, binadamu apaswi kuhukumu hivyo. Sisi wote ni wakosefu, ni Mungu tu ndiye alietakasika. Kwanini binadamu tuwe na jeuri ya kuhukumu kwa namna hiyo?

Ndio maana Kikwete kwa kutambua hilo, a-support suala zima la hukumu ya kifo. Ndio maana ameweka kauzibe kwenye kusaini ili wahukumiwa kuuwawa wasifanywe hivyo.

Huu sio udhaifu, bali ni utu.
 
Kwanini ccm haimuangalii kiubinadamu? wakati mwigulu nchemba anamtumia alifanya hivyo kwa manufaa ya ccm kwanini sasa huo moyo wa ubinadamu umewatoka na kuvaa moyo wa mnyama?...
Jaribu kulinganisha alivyoitumikia chadema hapo ndipo utaingiwa na huruma,halafu mkuu mwita unakumbuka kipigo cha mianzini nadhani huna hamu kabisa.
 
Mkuu HAMMY-D, ingekuwa CDM wamekurushia wewe 50,000/- ili umrekodi Mwigulu, by now ungekuwa huna kucha ,huna meno ya mbele na pengine ungekuwa ushatumbukizwa kisimani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom