CHADEMA: Lissu ndiye target, Lema ni amplifier

CHADEMA: Lissu ndiye target, Lema ni amplifier

In fact ni ishara ya wazi kua baadhi yao wanatamani wote kua na changamoto au matatizo uniform na utatuzi wa changamoto zao ambazo kila moja alizipata kwa mtindo wake, eti nazo zitatuliwe as uniform, kitu ambacho sio sahihi na haiwezekani.

hii mindset ya eti kitu fulani tukose wote au tupate wote ni dhana mbovu na mbaya sana kwa wapambanaji wenye lengo moja, mtaishia kuraruana daily na kudhoofisha nguvu ya mapambano.

wanadamu kupeana pole kwenye misiba hasa waTanzania, ni jambo la kawaida sana regardless ya utofauti wa mirengo ya kisiasa. Lakini miongoni mwa baadhi ya wanachadema hali ni tofauti kidogo, kuhani msiba ni usaliti, na kitu ambacho kinachocheo kuvuana nguo hadharani. Hili ni kosa baya sana.

Na huenda kuna mambo mengine mengi zaidi hao majamaa wanayo mioyoni mwao baina yao, inatafutwa sababu tu ya kutoa nyongo. Nadhani hali inaweza kua mbaya zaidi.

Siasa za uadui wa kiwango hiki hazina afya wala ladha aise.
Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana 🐒
nimekuunga mkono katika hili Mkuu ,kuraruana huku kunadhoofisha mapambano yao
 
nimekuunga mkono katika hili Mkuu ,kuraruana huku kunadhoofisha mapambano yao
nakubali gentleman,
mapambano yanaongozwa na discipline, ustahimilivu, kustahimiliana, kusitiriana na subra.

na wakati mwingine kukaa kimya tu ni mbinu muhimu sana ya kuimarisha mapambano na kuwapa nguvu wapambanaji, kuliko kusema kitu ambacho kinawagawa na kinawavunja moyo wapambanaji na kuanza kuchagua upande wa kuutetea na kuanzisha mapambano mpya ya wao kwa wao, huku yale mapambano ya msingi yakipewa kisogo 🐒
 
tatizo linakuja pale wanapotaka kuchukia kila mtu kila kitu , ni ngumu
 
..matatizo yote hayo yanatokana na siasa chafu za Ccm.

..mahali popote pale penye DHULUMA lazima wanaharakati wawepo, na wawe na sauti.

..Na katika mapambano dhidi ya dhuluma baadhi ya wanaharakati husaliti wenzao hilo wala sio jambo jipya.
Umenikumbusha muvi ya sarafina
 
tatizo linakuja pale wanapotaka kuchukia kila mtu kila kitu , ni ngumu
sure,
hiyo ni ngumu mno na haiwezekani.

in fact,
dhana hiyo imechelewesha malengo mengi sana kufikiwa kwa wakati.

Nadhani ni muhimu zaidi wanasiasa kua na agenda za kumobilise wananchi kimaendeleo.
Ila hii ya kumobilise watu kuchukia kila mtu mwenye maoni tofauti na yako, I don't know ni aina gani ya siasa hii. Nadhani ni ngumu mno kufanikiwa na itaendelea kuchelewesha wanasiasa wengi kufikia malengo 🐒
 
Lema Dhambi ya Kumsaliti Mbowe inamtafuna, alishirikiana na hawa wanaharakati uchawara kumtukana mbowe huku yeye akijificha nyuma ya pazia
 
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati, Taasisi ina visions zake, na wanaharakati wana visions zao ila wao ndo wanajikuta wapo sahihi zaidi na wanataka wasikilizwe wao wanasahsu Taasisi ina viongozi. Na mbaya zaidi haya wafuasi wa Chadema mitandaoni wanaogopa kusimama na viongozi wao ili tu wasipuuzwe na wanaharakati mwisho wa siku wakose likes. Leo hii Gobless Lema anaitwa MATAKO waChadema wanashangilia.....Taasisi imevamiwaView attachment 3668842
Mbona siuoni muhuri kwenye karatasi hiyo kama barua zote za serikali zinavyotakiwa kuwa nao.
 
Back
Top Bottom