CHADEMA: Lissu atoka ICU, anaweza kukaa...Kamera za CCTV karibu na aliposhambuliwa zimeondolewa

kiukweli kwa alichofanyiwa hakuna mtu alidhani atakua hai na Lissu anakuja kuwa mmoja wa visa kwa watu wasio amini uwepo wa MUNGU
 
Mungu hatutaacha kukutukuza na kuliinua jina lako. Asante Mungu kwa ukuu wako....... Asante Yesu jina lako ni kuu na ukuu wako hautamaliki............. eee Mungu uliyemfufua Lazaro aliyekufa asante kwa ulinzi wa Tundu Anitipas Lissu......... wewe ndio unaejua hata kuwapo uzima wake.. Madaktari ni njia unayoionyesha tuu ili ukuu wako uonekane.............. Asante Mungu wewe ni Mungu jana, leo kesho na hata milele.. Jina lako lihimidiwe... Amen
Amen!
 
Kiswahili hujui kingereza hujui na nadhani hata Kilugha nacho hujui kwa sababu ungeweza kutafsiri kilugha ungejua kasema nini!!!Alisema "Kuanzia leo" Maneno kuanzia leo yana maana kuanzia siku hiyo aliyotamka na kuendelea kwa hiyo hata akija kuzionyesha siku ya 100 kuanzia siku aliyosema bado yuko sahihi na anakuwa hajadanganya. Kiswahi hujui na wala kingereza hujui kilugha hujui.
 
Imetimu Jumatano saa tisa usiku saa za Afrika Mashariki.

Jana, Jummanne, MWENYEKITI MBOWE alisema "kuanzia leo mtaanza kuona picha za Tundu Lissu" kwenye mitandao.

CHADEMA mmeshindwa kutimiza ahadi hiyo. Kitu hiki kinasikitisha.

Chama makini cha upinzani kina wajibu wa kuwa mfano wa utauwa na ahadi za ukweli.[/QUOTE
we mlinzi? 2.56 am unahoji picha za lisu? au ndio ndio kuweweseka kwenyewe huko
 
Imetimu Jumatano saa tisa usiku saa za Afrika Mashariki.

Jana, Jummanne, MWENYEKITI MBOWE alisema "kuanzia leo mtaanza kuona picha za Tundu Lissu" kwenye mitandao.

CHADEMA mmeshindwa kutimiza ahadi hiyo. Kitu hiki kinasikitisha.

Chama makini cha upinzani kina wajibu wa kuwa mfano wa utauwa na ahadi za ukweli.

Picha za nini kwenu na mlishamsomea hukumu ya kifo Tundu Lissu? Ila kama Mungu aishivyo woooote mlioshiririki mpango huu wa kutaka kumuua Lissu kamwe hamtabaki salama, auaye kwa upanga lazima naye afe kwa upanga, narudia tena woooooote.
 
Imetimu Jumatano saa tisa usiku saa za Afrika Mashariki.

Jana, Jummanne, MWENYEKITI MBOWE alisema "kuanzia leo mtaanza kuona picha za Tundu Lissu" kwenye mitandao.

CHADEMA mmeshindwa kutimiza ahadi hiyo. Kitu hiki kinasikitisha.

Chama makini cha upinzani kina wajibu wa kuwa mfano wa utauwa na ahadi za ukweli.
Tukisema chadema ni wasanii mnabisha.
Wanafanya editing kwanza,ukweli ni kuwa lissu hana hali nzuri bado,ila kwa kuwa kama kawaida yao kupenda kutumia matukio kama haya kisiasa,wanataka kumwaga picha za mgonjwa aliekondeana ambae miguu haifanyi kazi ili wapate huruma ya kisiasa
 
Kama walikosa huruma siku yupo mahututi ndio wapate leo?kuwa makini usije ukapakwa mafuta kwa kutafuta kiki
 
Imetimu Jumatano saa tisa usiku saa za Afrika Mashariki.

Jana, Jummanne, MWENYEKITI MBOWE alisema "kuanzia leo mtaanza kuona picha za Tundu Lissu" kwenye mitandao.

CHADEMA mmeshindwa kutimiza ahadi hiyo. Kitu hiki kinasikitisha.

Chama makini cha upinzani kina wajibu wa kuwa mfano wa utauwa na ahadi za ukweli.
Risasi zako zilikugomea sasa unataka picha upeleke kwa sangoma!
 
Na Thadei Ole Mushi.

[HASHTAG]#Inashangaza[/HASHTAG] kidogo

1. Nyumba ya Tundu lisu haikuwa na CCTV kamera wakati alikuwa anajua anafuatiliwa na kutishiwa kwa muda mrefu. Eti walikuwa wanategemea cctv za jirani....

2. Nyumba ya Lisu haikuwa na Mlinzi hata mmoja anayelinda nyumba yake hiyo. Eti alikuwa anategemea ulinzi wa jirani......

3. Kwa mujibu wa Mbowe anadai kuwa kamera za cctv zilizokuwa kwa jirani amesikia zimeondolewa huu ni kwa mujibu wa uchunguzi wao. Kwa maana hiyo Chadema wana kikosi chao cha uchunguzi sasa wanachosumbua waje wa kutoka nje ni nini?

4. Mbowe kalishutumu moja kwa kwa moja Jeshi la Polisi kuwa ndio wahusika kama anajua kwa nini asiende mahakamani?

5. Inaendelea kushangaza Dereva kuweza kukwepa risasi zote 30. Na actually hili ndio swali la Msingi analolikimbia Dereva.....

6. Inaendelea kushangaza aliyepatwa na risasi kupona kabla ya aliyesikia mlio wa Risasi only in Chadema........

7. Inashangaza kwa kuwa wagonjwa wapo wawili ila hatujajua huyu mwingine gharama zake za matibabu ni shilingi ngapi hadi sasa. Au anatibiwa bure?

[HASHTAG]#KWA[/HASHTAG] NINI MBOWE ANATULAZIMISHA TUAMINI WAHALIFU NI SERIKALI TU?

[HASHTAG]#Nawaambia[/HASHTAG] Watanzania wenye Akili wananza kuondoa huruma yao juu ya hili swala. Mbowe analibeba mno kisiasa niliwahi kuandika hapa kuwa maadui wa Tundu Lisu walikuwa ni wengi nje ya chama chake na ndani ya Chama chake.

[HASHTAG]#Mbowe[/HASHTAG] analazimisha watanzania wajenge assumption moja tu kuwa ni Serikali inahusika na shambulio la Lisu.....

[HASHTAG]#Kwenye[/HASHTAG] utafiti huwa hatubebi assumption (Hypothesis) moja ni lazma tuwe nazo zaidi ya Moja. Uchunguzi wa Polisi ni utafiti kwa 100% wana assumption nyingi kama na raia walivyo na assumption nyingi tunahitaji tuzithibitishe zote kwa hiyo atulie.

[HASHTAG]#Swala[/HASHTAG] la kuondolewa CCTV inawezekana ulikuwa ni mpango wa wenye shambulio kutaka kupoteza ushahidi. Huyo aliyekuwa anazifuatilia mpaka akajua zimeondolewa tutajuaje kama alitaka kuziiba?

[HASHTAG]#Mbowe[/HASHTAG] awasiliane na Jeshi la Polisi kujua uchunguzi umefikia wapi kabla ya kuja kuongelea kwenye vyombo vya habari huu utamaduni wa hivi sijui kwa nn Polisi wetu wapo tu kimya....

[HASHTAG]#KINACHOWEZA[/HASHTAG] KUFANYIKA.

1. Kwa kuwa Mbowe analituhumu jeshi la polisi kuwa ndilo linalohusika na Shambulizi aitwe ahojiwe na awe mshahidi wa kwanza kuthibitisha hilo.

2. Polisi wanaweza kuwanyima watu wasiliongelee swala hilo mpaka ripoti yao itakapotoka ili wasivuruge uchunguzi. Huu ni utamaduni wa kawaida wa kiupelelezi.

3. Kwa Order ya Interpol dereva wa Lisu arejeshwe nchini kwa mahojiano. Si lazma polisi wetu wamfuate huko kwa mahojiano ni kutumia Kodi za wananchi vibaya.

Ole Mushi
 
Kushindwa,utaratibu na ulegevu wa jeshi la Polisi kuishughulikia hili swala ndio kunaifanya serikali kuwa first suspect miongoni mwa wananchi wengi. Njia pekee ya kuisafisha serikali ni kukamata hao waarifu kwa ushahidi usio tia shaka ndani ya serikali, nje ya serikali au kwenye vyama vya siasa(iwe CHADEMA,CUF,CCM) na kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria

Vinginevyo michanganuo kama hii itakuwa na hoja zilizojaa ushabiki wa kisiasa.
 
[HASHTAG]#Inashangaza[/HASHTAG] kidogo

1. Nyumba ya Tundu lisu haikuwa na CCTV kamera wakati alikuwa anajua anafuatiliwa na kutishiwa kwa muda mrefu. Eti walikuwa wanategemea cctv za jirani....

2. Nyumba ya Lisu haikuwa na Mlinzi hata mmoja anayelinda nyumba yake hiyo. Eti alikuwa anategemea ulinzi wa jirani......

3. Kwa mujibu wa Mbowe anadai kuwa kamera za cctv zilizokuwa kwa jirani amesikia zimeondolewa huu ni kwa mujibu wa uchunguzi wao. Kwa maana hiyo Chadema wana kikosi chao cha uchunguzi sasa wanachosumbua waje wa kutoka nje ni nini?

4. Mbowe kalishutumu moja kwa kwa moja Jeshi la Polisi kuwa ndio wahusika kama anajua kwa nini asiende mahakamani?

5. Inaendelea kushangaza Dereva kuweza kukwepa risasi zote 30. Na actually hili ndio swali la Msingi analolikimbia Dereva.....

6. Inaendelea kushangaza aliyepatwa na risasi kupona kabla ya aliyesikia mlio wa Risasi only in Chadema........

7. Inashangaza kwa kuwa wagonjwa wapo wawili ila hatujajua huyu mwingine gharama zake za matibabu ni shilingi ngapi hadi sasa. Au anatibiwa bure?

[HASHTAG]#KWA[/HASHTAG] NINI MBOWE ANATULAZIMISHA TUAMINI WAHALIFU NI SERIKALI TU?

[HASHTAG]#Nawaambia[/HASHTAG] Watanzania wenye Akili wananza kuondoa huruma yao juu ya hili swala. Mbowe analibeba mno kisiasa niliwahi kuandika hapa kuwa maadui wa Tundu Lisu walikuwa ni wengi nje ya chama chake na ndani ya Chama chake.

[HASHTAG]#Mbowe[/HASHTAG] analazimisha watanzania wajenge assumption moja tu kuwa ni Serikali inahusika na shambulio la Lisu.....

[HASHTAG]#Kwenye[/HASHTAG] utafiti huwa hatubebi assumption (Hypothesis) moja ni lazma tuwe nazo zaidi ya Moja. Uchunguzi wa Polisi ni utafiti kwa 100% wana assumption nyingi kama na raia walivyo na assumption nyingi tunahitaji tuzithibitishe zote kwa hiyo atulie.

[HASHTAG]#Swala[/HASHTAG] la kuondolewa CCTV inawezekana ulikuwa ni mpango wa wenye shambulio kutaka kupoteza ushahidi. Huyo aliyekuwa anazifuatilia mpaka akajua zimeondolewa tutajuaje kama alitaka kuziiba?

[HASHTAG]#Mbowe[/HASHTAG] awasiliane na Jeshi la Polisi kujua uchunguzi umefikia wapi kabla ya kuja kuongelea kwenye vyombo vya habari huu utamaduni wa hivi sijui kwa nn Polisi wetu wapo tu kimya....

[HASHTAG]#KINACHOWEZA[/HASHTAG] KUFANYIKA.

1. Kwa kuwa Mbowe analituhumu jeshi la polisi kuwa ndilo linalohusika na Shambulizi aitwe ahojiwe na awe mshahidi wa kwanza kuthibitisha hilo.

2. Polisi wanaweza kuwanyima watu wasiliongelee swala hilo mpaka ripoti yao itakapotoka ili wasivuruge uchunguzi. Huu ni utamaduni wa kawaida wa kiupelelezi.

3. Kwa Order ya Interpol dereva wa Lisu arejeshwe nchini kwa mahojiano. Si lazma polisi wetu wamfuate huko kwa mahojiano ni kutumia Kodi za wananchi vibaya.

Kwa hisani ya Ole Mushi
 
Wewe jamaa hembu acha undezi, mbona raisi wako kipindi cha kampeni alituahidi ataongeza mishahara mpaka leo hajaongeza.

Alipoahidi ataongeza mishahara alisema ataiongeza tarehe ngapi?

Tatizo Mbowe kataja siku, na siku yenyewe imepita.

Halafu huyu ni Rais wangu mimi tu? Wewe ni M-Mexico? Hongera sana.
 
Back
Top Bottom