CHADEMA: Lissu atoka ICU, anaweza kukaa...Kamera za CCTV karibu na aliposhambuliwa zimeondolewa

Mpaka leo napiga hesabu. Zile milion kumi kila siku nna hakika mpaka akiponA naona bilion kadhaa zimemtibu lisu inaweza akawa ni mtanzania aliyevunja rekod kwa matiababu ya gharama get well soon bro we all love inspite of having different views in our future

Sikuelewi, Tueseme atavunja rekodi ya gharama za Matibabu, Je umeshazungumzia kuvunja rekodi ya kumiminiwa riasasi zaidi ya 30 na bado akawa hai? Hebu jifafanue tukuelewe? Watz Hatupendi kuwa na Records Zetu wenyewe ndi maana hata majitu mengine yakiambiwa Mwl. Nyerere ametangazwa kuwa mwenye heri hayataki kwa chuki ya mioyo yaoooooo!!!!!
 
Alipoahidi ataongeza mishahara alisema ataiongeza tarehe ngapi?

Tatizo Mbowe kataja siku, na siku yenyewe imepita.

Halafu huyu ni Rais wangu mimi tu? Wewe ni M-Mexico? Hongera sana.
Umeshaona picha na kusikia sauti za Mh. Lissu ulizokua unahitaji?
 
Watueleze na wale Walinzi wa Area D walikuwa wapi mpaka Risasi 32 zinamwagika muda wote huo hata Walinzi wanaolipwa kodi zetu pale kwa Naibu Spika walikuwa wap?
Pia watueleze kwanini wameondoa CCTV cameras za eneo la tukio.
 
Uelezwe we nani? Onesha Tin amba yako kwanza kama unalipa kodi kweli. Isije kuwa unalipa kodi ya chumba. Na pia uelewe hata kama unalipa kodi, kodi yako hutumika kununua risasi pia.
Aisee kama na wewe unalipwa hiyo buku saba, huyo anayekulipa itabidi ajitathmini upya akiona hii pumba uliyoandika.
 
Muzzle energy(destructive power of a bullet) ya risasi moja ya SMG ni kati ya 800-1000 joules/M ambayo ni sawa na Kilogramu 102 . Hii bullet ina velocity ya 500-600m/s sawa na 1800Km/h.
Kama risasi 5 zilimpata Tundu Lisu ina maana alipigwa kwa kitu chenye uzito wa Kilo 102 mara 5 kwa speed ya 500-600 m/s ambayo ni sawa na kugongwa na kitu cha nusu tani kinachokwenda kwa speed ya 1800Km/h mara 5;ndege kubwa kama dreamliner ni 800-950Km/h. Labda kama kuna missiles zenye hiyo speed

MAANA YAKE NINI?
Hiyo ndiyo impact ya mapigo ya jumla ya risasi alizopata Tundu Lissu. Katika hali ya kawaida kabisa Lisu asinge survive hata risasi moja kana kwamba haitoshi walimimina risasi 32 ili kusababisha not only damage but TOTAL destruction.


Shooters waliofanya hiyo kazi wasijisikie vibaya kwamba wali fail kutimiza lengo lakini wajue hata kama wangetumia kifaru Tundu Lissu asingekufa given MUNGU WA MBINGUNI ALIKUWA AMEAMUA KUULINDA UHAI WAKE mbele ya maadui . Ninawashauri hawa snipers wasijaribu kujipanga upya bali wakatoe ushuhuda kuwa Mungu yupo na kwamba anaweza kumlinda mtu bila kujali unakuja na silaha sophisticated namna gani. Nawashauri WATUBU wamgeukie Mungu na waachane na hiyo kazi ya kuua na watoe ushauri kwa wenzao kuwa kama Mungu ameweza kuzuia risasi nyingi kiasi kile zisimuue mtu wake basi wakicheza Mungu aweze geuza mitutu ikawageukia na kuwamaliza. Hivyo waamini Mungu yupo na wasiendelee tena kumjaribu Mungu
 
Kwenye biblia huwa nasoma kuwa yupo " Mungu ya Yakobo, Mungu wa Israel, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Eliya..nk" Mwaka 2017 nimejua pia kuwa yupo "Mungu wa Tundu Lissu"!:(
 
Mungu hatutaacha kukutukuza na kuliinua jina lako. Asante Mungu kwa ukuu wako....... Asante Yesu jina lako ni kuu na ukuu wako hautamaliki............. eee Mungu uliyemfufua Lazaro aliyekufa asante kwa ulinzi wa Tundu Anitipas Lissu......... wewe ndio unaejua hata kuwapo uzima wake.. Madaktari ni njia unayoionyesha tuu ili ukuu wako uonekane.............. Asante Mungu wewe ni Mungu jana, leo kesho na hata milele.. Jina lako lihimidiwe... Amen
AMEN!
 
Kina watu wanaleta dhihaka katika hii issue aliyofanyiwa Lissu kama vile ni jambo la kawaida kibinadamu. Lakini niwakumbushe wajue kuwa licha ya maumivu ayapatayo Lissu mtu wasiyempenda lakini kuna mke,wazazi, watoto ndugu na sie marafiki ambao wote tumeumizwa sana.
Jee wanajua kuwa hayo maumivu yaweza kuwa hata kwao? Au hawana hisia kama ng'ombe kuwa anaona mamaye anachinjwa pale naye ana endelea kula majani?
Huruma yao imeyayushwa na ccm

Time will tell
 
Back
Top Bottom