CHADEMA: Lissu atoka ICU, anaweza kukaa...Kamera za CCTV karibu na aliposhambuliwa zimeondolewa

Mtoa post alichokisema mbowe kuwa kuanzia jana baada ya kuongea yeye ndiyo picha zitaanza kutoka,kwa hiyo subiri muda wowote ,acha kuwashwa washwa,
 
Wana bodi.
Jana nikiwa nafatilia mkutano wa mwenyekiti wa chadema akiongea na wa waandishi wa habari kuna jambo lilinishtua baadae likanipa faraja... Si utamaduni wa waandishi wa habari kupiga makofi au kushangilia wakiwa kwenye mikutano ya kihabari hii ni kawaida nadhani kitaaluma japo mimi si mwanahabari..ila inatakiwa kuwa hivyo ili kuonesha kutokuwa upande wowote na kazi yao ni ya kutoa habari kuhoji pamoja na maswali.
Jana mara tu baada ya mbowe kusema kuwa lisu ameweza kutoka nje na kuliona jua na kuhaidi kuwa atatoa picha zake akiwa hospitalini..pale aliposema atatoa video/audio ya lisu akiwa anaongea nilisikia na kuona ukumbi ukiyoyoma waandishi wa habari wakishangilia sana.. Kwa jicho la tatu haya ni maajabu sana...kwa furaha hiyo ilionesha si kwamba waandishi walifurahishwa kupata video yake bali kumuona akiwa anaongea...!!
Lissu unapendwa sana... Pona haraka!!
 
Haya mambo bhana ukiyachukulia kirahisi rahisi utapata shida, huenda hili jambo lilisemwa na KUB kabla hajawasiliana na kitengo cha ushauri ila baada ya kuwasiliana nao wamegoma either kwa usalama au sababu nyingine
 
Halikuwa tukio la kitanzania mkuu, limewakera na kuwaumiza wengi tena wakubwa tu, ila wapo kimya!
 
Huo ndo ukweli jamaa ni kipenzi cha watu,

Kama namuona jamaa alivyonuna aliposikia yale makofi,

Nahisi alipiga meza kwa nguvu na kusema WAPUMBAVU walishindwaje kazi,

Kama namuona vile jana kazi ambavyo hazikwenda,

Sasa angalau naweza kuwa natumaini kwamba THE MONSTER will be back
 
Hiyo inaonesha wanamwona Lissu kama ni mtetezi wao, kwa sasa wanaitwa kwenye mikutano ya akina Niombeeni lakini hata kuuliza swali la ufafanuzi wanaogopa. Kama mabosi wao waliambiwa hawako huru "to that extent" unafikiri nini?
 
'ulimi wa mwenye hekima hunena busara, bali mdomo wa mpumbavu hunena upumbavu'.
 
Walipitiwa kama ni kweli, kwani mwandishi hana upande labda kama amejitambulisha ni wa itikadi au chama fulani.
 
Wanahahari wa Tz bado hawana taaluma ya hiyo fani, wengi ni failure wameamua kukimbilia huko.
Hata kipindi cha maswali na majibu kwa rais JPM walikuwa wanapigiana makofi, yaani unakuta mwanahabari anauliza swali hata wa chekechea haweI uliza alafu wanahabari wengine wanampigia makofi.
 
Wana bodi.
Jana nikiwa nafatilia mkutano wa mwenyekiti wa chadema akiongea na wa waandishi wa habari kuna jambo lilinishtua baadae likanipa faraja... Si utamaduni wa waandishi wa habari kupiga makofi au kushangilia wakiwa kwenye mikutano ya kihabari hii ni kawaida nadhani kitaaluma japo mimi si mwanahabari..ila inatakiwa kuwa hivyo ili kuonesha kutokuwa upande wowote na kazi yao ni ya kutoa habari kuhoji pamoja na maswali.
Jana mara tu baada ya mbowe kusema kuwa lisu ameweza kutoka nje na kuliona jua na kuhaidi kuwa atatoa picha zake akiwa hospitalini..pale aliposema atatoa video/audio ya lisu akiwa anaongea nilisikia na kuona ukumbi ukiyoyoma waandishi wa habari wakishangilia sana.. Kwa jicho la tatu haya ni maajabu sana...kwa furaha hiyo ilionesha si kwamba waandishi walifurahishwa kupata video yake bali kumuona akiwa anaongea...!!
Lissu unapendwa sana... Pona haraka!!
MWISHO WA UBAYA AIBU!
 
Walipitiwa kama ni kweli, kwani mwandishi hana upande labda kama amejitambulisha ni wa itikadi au chama fulani.
Rejea kipindi cha maswali na majibu cha rais JPM, walionyesha kuwa wana timu, mwananchi na raia mwema na mwanahalisi bila kusahau mawio walileta "roli la wanahabari".
 
Back
Top Bottom