CHADEMA lazima itashinda uchaguzi 2015 - Maige

Mimi nilisema huyu Jamaa kule CDM ndo kunamfaa kwasababu yeye na Lema ni kama Pacha wa Baba moja na Mama moja
 
Hatutaki wezi sisi.

Chadema ni chama makini hatutopokea kila mtu.
(chadema square)
Mh mbowe
 
KILIO CHA MTU MZIMA SI BURE: NI NANI ANAYEWAPORA WATANZANIA KATIKA WIZARA NA MASHIRIKA MBALIMBALI NCHINI KIHIVI??

...WaTanzania, Kilio cha Mhe Maige si cha bure kivile!!!! Nasema tukawasikilize Wah Maige na Omar Nundu kwani kila wakati tunaona wakifunikwa midomo kiani wakati kuna kila dalili kwamba siri walizo nazo kamwe hazivumiliki??

Nasema kuna KIZITO CHAKUVUNDA KATIKA KABATI LA CCM nyuma madai ya UFISADI dhidi ya baadhi ya Mawaziri waliofukuzwa kazi majuzi chamani hapo. Tukiwapa tu muda baadhi ya hawa Mawaziri waliotimuliwa kazi kuna SIRI NZITO nyuma ya UFISADI katika wizara walizowahi kuziongoza kule katika serikali ya CCM.

Ni nani hasa anayehamisha wanyamapori za Tanzania Uarabuni na ni kivipi nchi inavyofaidika humo.

Kama huu ndio UZALENDO anaouzungumzia Nape, kuhamisha chako kilicho chema kwa jirani yako na wewe kubakia mtupu hivi naona kuna dosari kubwa mno!!!
 
Wana JF, P/se sisi wana Shy/Kahama twaomba mpe nafasi asikilizwe Mbunge Wetu, sisi yanayoendelea huku Shy kwa maana ya majimbo yetu ya Khma, Msalaa, Solwa na mengineyo tunayajuwa pamoja na Mambo aliyofanyiwa Mbuge wetu Maige. Sisi vijana kwa Wazee tunamwamini Mbunge wetu, na tumempa instructions kwamba ahamie CDM na yeye amekubali na siku itafika tu atatangaza na tumrudishe huyohuyo kwa CDM na wala si CCM maana tunamwamini. Sasa tunaomba sisi wananchi wa Msalala tusikatishwe tamaa ya ushauri tuliompa. Tunaomba apokelwe CDM bila mashariti yoyote, yeye ataanika wazi wale aliowagusa maovu yao. Amezunguka sana vijiji vikubwa vya msalala lakini kila anakopita wanamtaka ahame kwenda CDM. Jamani tusimhukumu kwamba yeye mwizi atawaambia. Nyumba kama nyumba lazima ya dola $ 700 mil mbona hata JK, Mkapa, na mawaziri wengi tu wanazo? tumpokeeni jamani, ni mchapa kazi kwetu na bado tunamwitaji

Najaribu kuwaelewa.At the same time ni vigumu kujua nani anasema ukweli.But ushauri wangu ni kwamba akanushe tuhuma dhidi yake with evedence.na asikanushe 2014,akanushe now while it still too early ili CDM waweze kumjua vizuri intergrity yake.Mambo ya kudaka watu fastafasta kwenye last minutes ni risk kwa chama.
 
Wana JF, P/se sisi wana Shy/Kahama twaomba mpe nafasi asikilizwe Mbunge Wetu, sisi yanayoendelea huku Shy kwa maana ya majimbo yetu ya Khma, Msalaa, Solwa na mengineyo tunayajuwa pamoja na Mambo aliyofanyiwa Mbuge wetu Maige. Sisi vijana kwa Wazee tunamwamini Mbunge wetu, na tumempa instructions kwamba ahamie CDM na yeye amekubali na siku itafika tu atatangaza na tumrudishe huyohuyo kwa CDM na wala si CCM maana tunamwamini. Sasa tunaomba sisi wananchi wa Msalala tusikatishwe tamaa ya ushauri tuliompa. Tunaomba apokelwe CDM bila mashariti yoyote, yeye ataanika wazi wale aliowagusa maovu yao. Amezunguka sana vijiji vikubwa vya msalala lakini kila anakopita wanamtaka ahame kwenda CDM. Jamani tusimhukumu kwamba yeye mwizi atawaambia. Nyumba kama nyumba lazima ya dola $ 700 mil mbona hata JK, Mkapa, na mawaziri wengi tu wanazo? tumpokeeni jamani, ni mchapa kazi kwetu na bado tunamwitaji

Ili kuweza kumshinda adui yako ni muhimu sana kuwa na taarifa za ndani kabisa za adui yako, na njia mojawapo ni kuwapata watu waliowahi kuwa na adui yako ambao wameamua kubadilika kwa dhati. Cha muhimu kwa CHADEMA ni kufanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa Mh. Maige ana dhamira halisi ya kuachana na CCM. Huyu anaweza kuwa na faida kubwa kwetu, siyo kama MPUUZI SHIBUDA.
 
Katika hali isiyo ya kawaida waziri huyu aliyetemwa ambae anaonekana kama kondoo wa kuchinjwa kinyuma na walipigwa chini wengine ameonekana akiwa anasononeka sana na kuvuliwa kwake kwa uuzaji wa TWIGA na Wanyamapori ambao yeye anakiri akipata muda atasema wale wanyama walikuwa wa nani liwalo na liwe, Akiendelea kukinyamba chama chake kwa kutanabaisha kuwa safari imefika kikomo na sikio la kufa halisikii dawa.....akiwa kama abiria ndani ya basi ajualo linaenda kupinduka sasa Maige kufanya uamuzi wa busara kuamua kushuka kwenye basi hilo......ntawajuza lini na wapi ngojea niendelee kupelemba habari hizi kwakina baadae ni dadavue humuhumu jamvini.....JF reporter Geita

mh. Vincent Nyeree (mb) musoma (M) amewahi kusema "ukikuta basi limeharibika na ndani yake bado kuna abiria wameketi basi ujue kuwa abiria hao wana mizigo mizito ndani ya hilo basi" Maige hana tena mzigo ndani ya basi la magamba sasa yuko huru kushuka na kutafuta usafiri mwingine mbadala, mimi nakubaliana nae hilo la magamba liloharibika hata kama litakarabatiwa na fundi Nape lazima tu litakula mzinga kwenye hii safari ya kuelekea ukombozi wa JMT 2015.
 
Cheo ni dhamana tuu Maige na ulijua uwaziri utakuwa wa muda tuu na wala sio kazi ya kudumu,sasa malalamiko mengi eti umeonewa au kujibu kashfa zisizo na kichwa wala miguu kwenye facebook itasaidia nini ?wanaosema uliiba au kula rushwa waambie waende mahakamani mtakutana huko..otherwise just shut up and move on kuna kazi nyingi sana za kufanya kusaidia nchi sio lazima uwe waziri!
 
Ndio, Your Innocent Until Proven Guilty... Asitishie awasema hao waalifu walioiba hao wanyama in a daylight na kusafirisha at night time, kwanini nasema hivyo; Nchi yetu kila Mtu anajua aliyefanya kosa lakini hakuna anayetajwa na Maisha yanaendelea kama kawaida.

Sasa isiwe rahisi CHADEMA kumpokea yeye kwa kusema tu anafahamu wahalifu, lakini hawawataji hatutafika kokote na Uhalifu utaendelea kama Mchezo wa kawaida. Kama kweli anapenda Nchi yake na Sio Uwaziri awataje hao watu.
 
Mara nyingi watu hawajui siasa za Tanzania zilipofikia sasa! Unajua mimi ninaanza kuwa na wasiwasi kama huyu Mh alitendewa haki kuondolewa kwenye Uwaziri! Nimejiunga facebook yake kuangalia malalamiko yake na kusema ukweli naanza kupata picha halisi na si muda tunaweza kuona jinsi mikono ya Ufisadi ilivyojikita kufanya lolote kama ukiingilia maslahi yao! haswa kwa kupitia media yetu uchwara! Wajameni mumpe nafasi ajieleze tusimhukumu wkati tunajua tunaongozwa na Mbayuwayu anayefaidia na kukirimiwa na ufisadi huu unaoutafuna nchi!

Alichokosea maige ni kupiga kelele wakati alishaiba ndo umma unaposhindwa kumsapoti. Maige ungama dhambi ya kuiba ndo uwaseme wezi wengine vinginevyo unaonekana kinyonga mdogo wangu maana ile nyumba ya dola laki 7 inazidi kukuharibia
 
TRA wamtembelee huyu. Dola elfu ishirini x miaka 3 = 720,000usd
Sasa alilipia kodi? Atakaa sawa.



Kwa muda aliokuwa waziri tayari ameshaweka vitega uchumi vya kutosha. Ana apartments, logistics and transport anayodai ina lori mbili, na kila mwezi anakamata net profit ya dola 20,000 kwa mwezi.
Net Profit = Gross profit + Income - Operating Expenses.
 
Maige toka lini akawa mtabiri na Msemaji wa CDM? Hata akijipendekeza CDM hawata mpokea FISADI Mkubwa , analeta siasa za ki ccm za kipambe anadhani CDM wanapokea watu kwa mbinu za Kipambe, HAPOKELEWI FISADI CHADEMA. Sifa na Utendaji uliotukuka tiketi ya kuingia CDM. M4C
 
TRA wamtembelee huyu. Dola elfu ishirini x miaka 3 = 720,000usd
Sasa alilipia kodi? Atakaa sawa.



Kwa muda aliokuwa waziri tayari ameshaweka vitega uchumi vya kutosha. Ana apartments, logistics and transport anayodai ina lori mbili, na kila mwezi anakamata net profit ya dola 20,000 kwa mwezi.
Net Profit = Gross profit + Income - Operating Expenses.
 
kuachia uongozi CCM kuna maana kubwa ktk Business sense:

-Hawa jamaa huwa wanahonga sana kuanzia ngazi ya Kutangaza nia, kuteuliwa na chama, na kuutafuta uwaziri..Kikwete mwenyewe kakiri mara kibao kuwa kuna Ministers` makers--yeye anawaita madalali.....ila hakuwa mind President makers..kwa walimwingiza yeye.

-Hawa jamaa pia wamewekeza hela wakidhani kuwa wanweza secure position for yeah ktk chama, na ikibidi kuweka mitandao au hata kuwaanda hata watoto wao ili nao waingie ktk system.


Sasa hizi surprise zinawapa kichaa, kwani kuwa mbunge tuu hakutoshi shift equation ili papatikane faida.Na hali inavyoelekea ni kuwa,hata wabunge waliobaki tayari wanajua kugombea CCM si deal tena kwani CDM wan mziki mzito na zile default zao zimetoweka.Kwani ktk majimbo mengi sasa by Default winner ni mgombea CDM.Hawajui wafanye nini?
 
Back
Top Bottom