Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
pick a show boy, MAURY, JERRY SPRINGER or esle ..... ukawaambie huko kwamba zitto alilengwa kwenye ajali na ccm, wakati mwenyewe kakanusha KULIKO. binafsi hapa JF am not ready to hear that nonsense ! zitto alishakanusha ! wewe unang'ang'ania tu kama ulikuwepo, au mganga gani alikwambia hayo unayosema ??
ukweli ni kuwa kikwete amewabana CHADEMA kwenye angle akishirikiana na propaganda machine yake..yaani kifupi ZITO AKIJITOA KWENYE KAMATI CHADEMA WANAJIMALIZA..NA AKIENDELEA KUWEPO PANAZUKA MGOGORO CHAMANI...kama nilivyosema awali ZITTO NA WENZAKE NEED BE EXTRA CAREFUL NOW...jk hajamteuwa zito kwa kuwa anawapenda sana CHADEMA "anataka kumuua mbuzi kwa kamba yake mwenyewe"
na ili zito aendelee kuwamo kwenye kamati na kuharibu hila za ccm..uamuzi wa kuitisha hiyo kamati kuu ili kwa kauli moja umpe baraka zake ni muhimu..na utaondoa uwezekano wowote wa mgogoro CHADEMA...
Kwa kifupi hakina tishio lolote la mgogoro linaloonekana zaidi ya propaganda machine ya ccm..na hii ndio inazidisha hali ya kutokuaminiana..miongoni mwa wapinzani na ccm..
CHADEMA ni wanademokrasia na katika hili inaonekana wataibuka wakiwa wamoja zaidi na uwezekano wa kutumia hii kamati kujipatia umaarufu ni mkubwa kinyume cha strategists wa kikwete wanavyodhani...cha muhimu lazima kamati iendeshwe kwa uwazi na kama kuna dalili ya mambo ya kificho zito AWAUMBUE!!!
HUU NI wakati wa MACHINERY za CHADEMA kufanya kazi kama mchwa ili wasiachwe...
Kwa kifupi kikao cha dharura kimeitishwa sio?
Alafu sijui niseme kwa mara ya kwanza sijaona wataalamu wa kuomba source wakiulizia authenticity ya hii habari..All in all nawatakia CHADEMA mkutano mwema at least wampe Zitto baraka zote za kwenda kwenye tume.