CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

Yaani UKAWA walivyokuwa NEGATIVE na Magufuli akila nyama Leo ikaonekana kwenye TV/MITANDAO basi wao watatangaza kuwa Tanzania ni nchi ya VEGETERIANS.
Hivi tamko la Ritz ni tamko rasmi la CCM? Mtu mjinga tuu ndio anaweza kuamini hivyo. Ni sawa na kumkuta Abrahamani Kinana anapiga kitimoto kisha kusema waislamu wanakula kitimoto siku hizi.
 
huyu ndio bure kabisa,onyesha personal interest za walioshauri kupandisha bei,na taja sababu za wao kupandisha bei,na onyesha kama proposal hiyo ulikuwa ni maamuzi ya Mramba peke yake,onyesha pia kama Waziri hakushirikishwa.ukimaliza hapo njoo useme kwa nini katumbuliwa mtu mmoja kwa maamuzi ya taasisi?halafu fikiria pia kama hana personal interest kwa nini afukuzwe?sasa kama taasisi itatoa maamuzi yasiyokupendeza unafukuza basi ufanye kazi na malaika
jamaa wewe mjinga sana kwamba hujui dhamna ya CEO kwenye kampuny ,ulitaka mpka mhasibu atumbuliwe wewe bure kabisa ,tatizo chadema siku hizi mmejitoa fahamu ,kwangu mm navyo Iona colour halisi ya chadema sitaki hata kuwasikia ninyi jamaa ,..
 
Kumbe ukitekenywa unaruka..umeonesha ujinga wako wa kusema "chama ni bure kabisa" ukiwa unakilenga chadema so onyesha ubure wa chadema uko wapi? Ili nawe nikuzibue akili
kwani hujui kuwa chadema ni bure hahahah,mkuu chadema ya vioja ndio imeanza Ku reveal uhalisia wake ...
 
wengi wanaamini upinzani ni kupinga kwa njia yoyote mambo ya chama tawala ili kuonyesha watawala wanakosea.
 
Wasipotetea wanaotumbuliwa unazani tutawasikia kwa lipi!?kifupi wamepoteza Dira hawajielewi
 
kwani hujui kuwa chadema ni bure hahahah,mkuu chadema ya vioja ndio imeanza Ku reveal uhalisia wake ...
Sikushangai maana hata jina lako linaakisi jinsi ubongo wako ulivyo,unahitaji Spea mana ndo nyinyi mnaotembea kifua mbele huku ustaarabu wa nyuma upo wazi
 
Na katika chama ambacho kimepoteza mwelelekeo ni Chadema.Hakijawahi kukamata dola lakini hakionyeshi kama kweli kinataka kukamata dola na kuwatumikia wananchi kwa moyo mmoja.Natamani chama kipya chenye mikakati inayotekelezeka.
 
Wewe unathubutuje kumuita Lowasa mwizi ? Hivi hii chuki ya aina gani uliyonayo? Wewe kweli in mtanzania au mkabila mkubwa wewe.MTU anakuwa hana kosa mpaka ithibitike mahakamani. Acha propaganda zako kwenye JF.
Kwahiyo ni malaika?
 
Sikushangai maana hata jina lako linaakisi jinsi ubongo wako ulivyo,unahitaji Spea mana ndo nyinyi mnaotembea kifua mbele huku ustaarabu wa nyuma upo wazi
unauwezo mdogo sana wa akili,unashindwa kutambua kuwa mmegeuka kuwa watetz wa mafisadi,Ila kwa mwendo huu ikulu mtakuwa mnaitazamia pale ferry samaki hahahah.
 
Wewe mwenye uwezo mkubwa unamchango gani katika taifa hili na una kipi cha kujivunia na watanzania wakakuona na wewe ni mtu na siyo nyalutogo...na nyinyi ambao chama chenu kipo ikulu mna jipya gani la kuwafanya watanzania wajivunie uwepo wenu?
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Mkuu Chadema hawana jipya kwa hiyo wamebaki kusubiri kuponda maamuzi ya serikali siku hizi Chadema imekuwa Chama cha Wafanyakazi Tanzania,ingekuwa zamani tungeita JUWATA
 
Ni kwa sababu aliyepo CCM hawezi mtetea aliyetumbuliwa. Akijaribu myetea kesho inakuwa ni zamu yake. So utetezi umebaki kwa chdma
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Acha tu hayo kaka Dr. Tulia akihamia CHADEMA atakuwa mgombea urais 2020
 
Back
Top Bottom