CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Tupe hayo matamko ya Chadema(Official) ndipo tuanze kujadili maana usije kuwa unatuleta michango ya akina kada wa chadema wa humu mitandaoni
 
Uwezo wao wa kufikilia mkuu ,sio kosa Lao na as ingetumbuliwa kwa kupanda bei ya umeme pia wangetoka mapovu ,hoooohh Rais gani umeme juu ungesikia tuu,kikubwa kuwapuuza tu
 
Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Chifu, unaweza kuweka official communiqué inayoonyesha CHADEMA kufanya hivyo? Au mtu humu akipinga hayo unayoyasema, basi wewe unam-label kama mwakilishi wa CHADEMA?
 
Unasema Chadema kama chama ama mtu.?mana naona spidi yako ya kutafuta umaarufu JF inaongezeka sana toka ishu ya Mwigulu kuhusu Ben Saanane ni kama chura kapigwa teke apande mlima
Well said bro... Nilikuwa namchukulia mtu mwenye mawazo Pana sana ila leo duuh hata mwanangu hawezi waza kama yeye ameonesha too low thinking.. Yaani mawazo ya Watu ndio useme tamko la Chama.. Nilitegemea aje na fact kwamba Chama kilimtetea huyu.. Ila dah niishie hapo
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
toa ushahidi kuwa Chadema wanapinga utumbuaji wa mafisadi. toa hapa hapa tuache longolongo!
 
Wewe utakuwa mwehu! Hivi kwa akili yako utumbuaji anaofanya Magufuli una ufanisi wowote? Wewe umeona barua Mramba aliyopeleka EWURA tena kopi moja ikaenda wizarani na nyingine kwenye bodi ya wakurugenzi TANESCO? Unadhani Muhongo atakuwa amefanya sahihi? Wapi hao Chedema wameunga mkono kupanda kwa bei ya umeme?

Alilofanyiwa Malecela wa NIMRI ni sawa?

Umevurugwa na usiwe unapost utumbo kama huu!!

Wasomi wote waone kasoro wewe na mishabiki maandazi msione kasoro tunawaona hamna akili na kuwapuuza!!

Chadema haiungi mkono uozo bali inapinga usanii!
 
Nilitegemea uje na statement ya Mnyika kama ndio ya Chama ya upingaji wa kuongezeka gharama ya umeme na kuipa credit kwa yaliyotokea matokeo yake umekuja ukiwa umekula maharage ya wapi sijui
 
Tupe hayo matamko ya Chadema(Official) ndipo tuanze kujadili maana usije kuwa unatuleta michango ya akina kada wa chadema wa humu mitandaoni
Anajua hata maana ya official statement huyo... Nimemshusha kishenz leo...
 
Wasomi wote waone kasoro wewe na mishabiki maandazi msione kasoro tunawaona hamna akili na kuwapuuza!!

Chadema haiungi mkono uozo bali inapinga usanii!

Wasomi wepi hao walioona kasoro? Ulimwengu na Mbowe?
 
Hao wanaotetea huwa ni wapinzani wa kila kitu kinachofanywa na serikali iliyoko madarakani nchi zote yaani wana aleji na rais yoyote aliyeko madarakani,
Ila huyu mzee naye kazidi kitu kidogo keshaondoa mtu halafu baadae kitu kinatikea basi ajipange ateue watu makini aache kudhihirisha uzembe katika uteuzi.
watu wameoza kwa ubinafsi na ukipata hata robo chance unapiga dili. ukiwa mlokole unahadaiwa na wapiga dili unaingia 18 zao. syle ya jpm ni realistic. unatumbua na ku re-tumbua kwa trio and error hadi kupata mtu/watu wanataka kufanya kazi bila kupiga dili.
mfano kwa hiyo staili for the time huenda amefanikiwa bandari na tra. ngumu ni kubadili attitude ya watu jambo ambalo linachukua muda.
 
Nilitegemea uje na statement ya Mnyika kama ndio ya Chama ya upingaji wa kuongezeka gharama ya umeme na kuipa credit kwa yaliyotokea matokeo yake umekuja ukiwa umekula maharage ya wapi sijui
Jamaa limejamba tu. Halafu hapohapo kwenye post yake linapingana na sera za kiuchumi za Magufuli ambapo hasa ndo wengi wetu humu tunapigia kelele! Huyu akiona watu kama yule RC wa Arusha walivyotumbuliwa ama Dr. Malecela kwa kuonyesha uzalendo basi na sisi tuunge mkono kwakuwa kafanya rais!

Sasa ajabu kaelezea jinsi asivyokubaliana na namna Magufuli anavyokandamiza demokrasia! Hapo hapo anataka tuunge mkono zile za utumbuaji kama ule wa RC wa Arusha! Mjinga kweli huyu jamaa.

Aje atuonyeshe tulipopinga kutumbuliwa kwa Kilango!! Au hajui tofauti kati ya Kilango na Mwele?

Yeye anataka tuunge mkono kina Jecha ambao Magufuli anapendekeza wapewe tuzo kwa uchapakazi bora??? Ujinga!!

Ukiona mtu anatangaza hadharani kuunga mkono dhuluma ya kina Jecha kisha anapendekeza apewe na tuzo juu utamuamini kwa lipi atakalofanya??

Huyu mtu kaja na matapishi humu!!!
 
Well said bro... Nilikuwa namchukulia mtu mwenye mawazo Pana sana ila leo duuh hata mwanangu hawezi waza kama yeye ameonesha too low thinking.. Yaani mawazo ya Watu ndio useme tamko la Chama.. Nilitegemea aje na fact kwamba Chama kilimtetea huyu.. Ila dah niishie hapo
Kuna wenzie wanamjaza upepo huko PM basi ndo anakuja kutapika hawa ili kuongeza like ila ni mwepesi sana
 
Yaani mpaka napata kigugumizi,natamani.ingefaa japo tuhakiki uraia maana ukimuona mtu anapinga kila kitu ni hatari sana,unapata kigugumizi kujua anapenda nini,nafikiri ifike mahala pamoja na mapungufu ya Lowassa lkn chadema wa bay idea zake kua waache uwana harakati unawaumiza kama chama,embu sasa muwe na sera maana mnakoelekea sio uongo mnapotea,itafika mahala mtapinga hata nyimbo ya taifa,mtapinga hata uwepo wa taasisi nyeti ili tu muonekane wapingaji,
 
mkuu..CHADEMA kama chama ni wapi wamewatetea hao? una ushahidi tafadhali.
 
Back
Top Bottom