CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

Nyote ni wale wale, wanapo pinga kila kitu hata chenye tija, nyie mnatetea kila kitu hata cha kipuuzi.
Tukubaliane kwa kuto kubaliana kwa amani. ..sasa tukafanye kazi zetu au biashara tutunze family zetu. ..have a nice day ndugu yangu
 
Hawa watu hawana jipya. Hawaeleweki ni nini wanachosimamia.
Mtu akipita upande wa kulia wanalalama, kwa nini amepita kulia.
Akipita kushoto wanalalama, kwa nini amepita kushoto.
Hawa siyo watu wa kawaida. Kwao mtu FISADI ni yule aliye upande mwingine, akienda kwao, huyo si FISADI tena.
Je, kwa mtu mwenye akili timamu utasema hawa nao ni watu?
MIMI NAOMBA MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI SIKU MOJA AWADANGANYE KWA KUWAAMBIA ANAOMBA KUHAMIA KWENYE CHAMA CHAO. NAJUA SIKU HIYO HAYA YOTE WANAYOMLAUMU WATAYAFUTA KWA KASI NA MBINU ZA AJABU. AKISHAONA WAMEYAFUTA HAYO, ANARUDI TENA KULE KULE NYUMBANI KWAKE ILI KUWAAIBISHA.
Vyama vya upinzani vinasimamia nini?? Hivi umajua kazi na majukumi ya vyama vya upinzani??? Labda nikuulize
1.umeshawahi kupitia ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015 ya chadema ukaona tunachosisitiza humo ndani??
2.Ushawahi pitia hotuba za kambi ya upinznai bungeni??
3. Ushawahi soma bajeti kivuli angalau ya mwaka huu ukajua mtazamo wetu?

Hao ccm unaowatetea ushawahi ona wanatetea maslahi gani ya wananchi bungeni?? Miswada yote mibovu huwa wanaipitisha kwa kura ya NDIOO kwa sauti za juu bila kuhoji chochote rejea miswada ya habari, muswada wa makosa ya mtandao, muswada wa gesi leo hii ndio useme wapinzani hatujui tunasimamia nini???

Kama hatusimamimiii kitu leo hii wabunge wa upinzani wangetimuliwa bungeni na kusimamishwa vikao?? Wangezuiwa mikutano?? Wangezima bunge live kweli?? Wangekataa mikutano ya siasa??

Shida ni kuwa mnataka wote tuwe na fikra moja kitu ambacho hakiwezekani ndio maana obama na umaarufu wote ule na kubadilisha mambo mengi ila bado upinzani ulikuwa unamkosoa na kumsimamia na mwisho wa siku chama chake kikaangushwa sasa mnataka tukae kimya tusitoe mawazo yetu kisa itaonekana tunampinga rais?? Hapana hapana kipimo cha juu zaidi cha demokrasia ni kuruhusu na kukubaliana kutofautiana fikra na mtazamo
 
Walimtangaza kwa nguvu zote kuwa EL ni fisadi mkuu ambaye hafai kabisa, leo hii wanatuambia nini juu EL? Naomba majibu.
 
paschal mayalla umeuliza swali zuri san, labda hajaliona ngoja nami nimuulize, hivi siku mkipandisha bei ya umeme mtakuja kumrudusha mramba kazini?
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Umefeli kwenye kipengele kimoja , katika post yako haujamnukuu mtu hata mmoja ambae ni mjumbe wa kamati kuu ya chadema. Vile sio kwamba nikipinga mimi basi inakuwa ni chadema. Kumbuka kila mmoja ana mtazamo wake na anaweza akaongea tofauti na mwengine hata kama wanasapoti chama kimoja.
Msimamo wa chama chochote huwa unatolewa na msemaji mkuu wa chama (mara nyingi unakuwa na press release). Sasa usije ukawa umemnukuu Yeriko au Malisa au Msigwa alafu unakuja kusema chadema wanapinga....
 
Ni kweli mimi ni mwanamageuzi ila siegemei chama kimoja maana ukisema nipo kichama ni chama gani hicho??? Mie huwa nasupport wanamageuzi popote walipo wawe chadema,ACT,CCM,CUF,NCCR na najitahidi niwe objective sio kishabiki.

Ila nachotaka kusema ni kuwa humu JF wengi tunatumia ID feki so unakuta ni ngumu kujua chama alicho mtu sasa iweje huyo nliemquote adai CHADEMA INATETEA WANAOTUMBULIWA....... trust me critics wengi wa magufuli ni ccm kuliko upinzani maana wao ndio hawakutegemea angegusa baadhi ya sahani zao za ulaji maana wengi matender ya kijanja janja sahvi yamebanwa so unakuta hasira zao wanamilizia humu kwa kumciriticise magufuli then mtu anakuja hapa anasema eti wale ni CHADEMA?? do u think its fair wakati chama hakijawahi toa press release kutetea mtu aliyetumbuliwa..
Watajuana wenyewe
Mi sina dream ya kuingia magogoni
Wacha nitafute ugali wa familia
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........

Mimi ninavyojua tanesco inaendeshwa kwa hasara kutumbuliwa kwa yule bwana kuna ukurupukaji mana toka muda waliagiza umeme ingepanda january ila kwa kuwa ni siasa zimo ndani ya utendaji hana bud kutolewa hawez kupandisha bei bila kuzitaarifu ngaz za juu

Kumbuka bado iptl wanapiga mpunga mrefu toka tanesco
 
Back
Top Bottom