CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

Wewe nilikuwa nakuona ni memba afadhali humu kumbe walewale tu.unaweza kuweka humu tamko la chadema ikitetea kutumbuliwa?au hujui tofauti kama ya msimamo wa chama na maoni au msimamo wa mtu mmoja mmoja,kwa hiyo mm leo nikipinga kutumbuliwa kwa Mramba ni pingo la Chadema?
Wengi humu mnapinga magufuli kutaka watu wasiotoe maoni yao halafu wewe pia unakuwa hutambui maoni huru ya wachadema

Kutumbuliwa kwa Mramba wewe kunakusaidia nini?unaweza kupinga ingezeko la umeme lakini ukapinga kutumbuliwa kwa Mramba kwa sababu yeye na menejiment ilitimiza wajibu wake kama taasisi ikiweka sababu na wengine wakatimiza wajibu wake wa kukataa sababu hizo.full stop!mengine ni porojo tu za kuteka watu kama nyie. Kuna taasisi inaleta proposal lakini IPO inayopitisha maamuzi.sasa huwezi kutegemea uletewe maamuzi unayoyapenda tu,utaletewa na Yale machungu,basi yakatae na kazi ziendelee,sasa hapo baadae ikija kuonekana haya ya kupandisha umeme mtamrudisha Mramba?
Pascal Mayalla
amechemka huyu bwana...kwa mfano yeye ana uhakika gani kama Freeland ni mwanachama wa CHADEMA . ...na hata kama angekuwa mwanachama wa CHADEMA . .ni vipi maoni na mitazamo yake binafsi ichukuliwe kama msimamo wa chama?

sometimes tutumie akili kidooogo kuzidi pua zetu
 
Yaani UKAWA walivyokuwa NEGATIVE na Magufuli akila nyama Leo ikaonekana kwenye TV/MITANDAO basi wao watatangaza kuwa Tanzania ni nchi ya VEGETERIANS.
 
ukweli ni kwamba bado hatujapata chama cha kweli chenye uzalendo na kinachosimamia sera.

bado tunaitaji chama cha kweli cha kuikaimu ccm. vingenevyo me naonaga bora tubaki na hii hii ccm, kuliko huo uozo wa kwingine, tunaweza kuluka mkojo tukakanyaga kinyesi.
Kuikaimu ccm[emoji15] [emoji15]
 
Wewe unathubutuje kumuita Lowasa mwizi ? Hivi hii chuki ya aina gani uliyonayo? Wewe kweli in mtanzania au mkabila mkubwa wewe.MTU anakuwa hana kosa mpaka ithibitike mahakamani. Acha propaganda zako kwenye JF.
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Ubaya ni kufanya kitu kwa kutaka kuonyesha wananchi kuwa unafanya kazi,kuna makosa mengine.ukimfukuza MTU ni kumkosea heshima.
 
Hizi kauli za kutetea alizitoa nani? Mbowe? Victor Kimesera? Makene? Press ilitolewa lini?? Mawazo ya kinyafuzi kabisa

Wale binadamu waliozikwa kama mashetani wakiaminika ni wakimbizi kweli CHADEMA iliwatetea kwa sababu walidhalilishwa sana
Alitoa Mbowe msome kiduchu hapa chini.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemshitaki Rais John Magufuli mbele ya maaskofu kadhaa wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

Mbowe amedai kuwa Serikali yake ya Awamu ya Tano imekuwa ikiwatimua watumishi mbalimbali wa umma bila kuwapa nafasi ya kuwasikiliza kupitia kampeni ya kupambana na ufisadi, inayotambulishwa kwa kaulimbiu ya ‘utumbuaji majipu’.

Akizungumza jana katika ibada maalumu ya shukrani kwa kumaliza uchaguzi mkuu salama, iliyofanyika kwenye Usharika wa Nshara wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT na kuhudhuriwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dk. Frederick Shoo, na maaskofu wastaafu Dk. Erasto Kweka na Dk. Martin Shao, Mbowe alisema (wapinzani) hawaridhishwi na hatua ya serikali ya Rais Magufuli kuendeleza timuatimua na kuwasimamisha kazi watumishi wa umma 160 tangu aingie madarakani bila kuwapa nafasi ya kuwasikiliza.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, alisema wapinzani wako tayari kuipongeza serikali wakati wowote inapofanya mambo mazuri kwa manufaa ya taifa, lakini kwa sharti kwamba mara zote iwe inahakikisha sheria za nchi zinasimamiwa, mali na rasilimali za umma zinalindwa na kila kitu kinafanyika kwa kuzingatia taratibu zilizopo."Kutokana na hali ya sintofahamu kutamalaki katika taifa kwa sasa, hakuna mtumishi wa umma aliye na amani kutokana na mfumo unaoitwa kutumbua majipu. Tunasikia watumishi wa umma wakifukuzwa kazi bila kusikilizwa. “Mpaka sasa kuna watumishi 160 wamefukuzwa na wengine kusimmishwa.

Lakini pia zaidi ya taasisi na idara za serikali zipatazo 20 hazina uongozi…hii si sahihi,” alisema.
 
Kiongizi achana na hao watu wajinga mm nilishasema kwa mpango wao wa kuingia ikulu ili waile nchi haitatokea wakapata nafasi ya kuongoza hii nchi kwa namna yoyote ile wanahangaika bure
Kwahiyo hiyo miaka yote nchi ilivyoliwa walaji walikuwa chadema? Mikataba mingapi mibovu imeingiwa, wahusika walikuwa chadema?
 
Yaani upinge kupanda kwa umeme alafu anaesababisha upandaji wa huo umeme umchekee tu? Kama hizi ndio akili za wanachadema wa hapa Jf, basi hicho chama ni bure kabisa!

Kuna video humu ikimuonesha Wenje akichambua ufisadi wa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la dar, lkn siku anatumbuliwa mlikuja hapa kumtetea mkisema hakuna haki za binadamu. Coment zako ziko humu unataka tukuletee ushahidi?
huyu ndio bure kabisa,onyesha personal interest za walioshauri kupandisha bei,na taja sababu za wao kupandisha bei,na onyesha kama proposal hiyo ulikuwa ni maamuzi ya Mramba peke yake,onyesha pia kama Waziri hakushirikishwa.ukimaliza hapo njoo useme kwa nini katumbuliwa mtu mmoja kwa maamuzi ya taasisi?halafu fikiria pia kama hana personal interest kwa nini afukuzwe?sasa kama taasisi itatoa maamuzi yasiyokupendeza unafukuza basi ufanye kazi na malaika
 
Tunajua sera yenu ni kusafisha mafisadi, so endelea.
 
ni wapi huko umeona wanachama wote wamefanana mawazo?
Wewe ni mgeni nchi hii? Chama ni watu, na mawazo na misimamo ya hao watu ndio huwa inasadifu msimamo wa chama.
 
Kwahiyo na wewe mawazo yako ya kipumbavu yanaonyesha jinsi gani CCM mlivyo wajinga?
Nioneshe mawazo yangu ya kijinga yako wapi,? Na umejuaje kama mm Nina msimamo wa kutetea ccm. Acha ubwege. Na unaposema ccm wajinga ujinga wao uko wapi,?
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Wewe jamaa nae! mi nilitegemea ungesema siku flani chadema walikusanya waandishi au walitoa tamko kumtetea flani ingekuwq imekaa njema zaidi! Ila umeishia kuona comments za watu humu ndio ukazihusisha na chama?
Na sio kila anaekosoa ni chadema au kusifia ni ccm!
Ama kweli kila binadamu anamapungufu yake inategemeana siku hiyo ameamkaje! Mbona huwa unajenga hoja zako vizuri sana leo kimetokea nini? Sio kwamba eti kwasababu umeishutumu chadema ila hoja zako hazijajitosheleza mkuu........
 
Nioneshe mawazo yangu ya kijinga yako wapi,? Na umejuaje kama mm Nina msimamo wa kutetea ccm. Acha ubwege. Na unaposema ccm wajinga ujinga wao uko wapi,?
Kumbe ukitekenywa unaruka..umeonesha ujinga wako wa kusema "chama ni bure kabisa" ukiwa unakilenga chadema so onyesha ubure wa chadema uko wapi? Ili nawe nikuzibue akili
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Akili yako ikoje mtu kuuliza ewura kwanini isitumbuliwe Ndio utetezi? Mtu akishangaa utendaji wa serikali kutokuwa na mawasiliano ndio utetezi, sikiliza sauti ya Ujerumani, hiyo nayo ni, CHADEMA WE VP?
 
Njia ya muongo na mnafiki ni fupi sana,
Sasa tulishaijua rangi halisi ya chadema, wanatudanganya watapambana na mafisadi kumbe wanakuja kutetea na kukumbatia mafisadi!!!!
 
Back
Top Bottom