getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Hawajawahi kuwa na la maana hata siku moja tangu walipopoteza dira kwa kumuondoa Dr Slaa.Utaratibu unaotumika...
You can not fire someone today and hire another kesho yake kwenye position kubwa... unless kama ulikuwa unamvizia jamaa akosee
Sasa hivi wapo kama waimba taarabu na singeli tu, wanatafuta mipasho. Soon kila mtu atagundua kuwa ni wapuuzi fulani. Tu