technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,695
- 52,318
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......
Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......
Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...
Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......
Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......
Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......
Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......
Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........
Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....
Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......
Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......
Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......
Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......
Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......
Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....
Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?
Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........