CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

Nadhani kwa hili hauko sawa kwa kukihusisha chama. Humu jukwaani kumeja id fake, unawezaje kuzihisisha na chama? Kila mtu anaheshimu mawazo yako maana ni haki yako kidemokrasia, ila kukihusisha chama.na.utetezi wa mramba hapa uko kihisia zaidi.
Hivi ukikuta sehemu wamekusanyika wanachama wa ccm alfu wote wana mawazo yanyofanana huo si tutaita ndio msimamo wa chama?
 
Hizi kauli za kutetea alizitoa nani? Mbowe? Victor Kimesera? Makene? Press ilitolewa lini?? Mawazo ya kinyafuzi kabisa

Wale binadamu waliozikwa kama mashetani wakiaminika ni wakimbizi kweli CHADEMA iliwatetea kwa sababu walidhalilishwa sana

Chama chenu kimejifia tayari kama hakipo ICU,sera ilikuwa ni kupambana na ufisadi na tiyari mlishatoaga list ya mafsadi hapo nyuma....na mmoja wao yupo humo kwenu....leo mnabaki tetea tu....mnalalamika eti sera ya kutumbua ilikuwa ya kwenu....je ninyi ndo mmeshika dora......tumempata Magu wacha mkae muisome namba na mwka 2020 ni bila bila.....chama cha mifukoni.
 
Sijaona "press release" yoyote ya CHADEMA iliyotolewa ikimtetea yeyote aliyetumbuliwa/kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu yoyote ile.

Ushauri wa bure tu kwako "Technically" - jaribu kutofautisha chama na critics za individuals. Hatujuani humu na unaweza kukuta majority ya wanaotupa madogo huwa wanakula meza moja na watawala na wapo jikoni kabisa.
Nikuulize swali chadema ni nani?
 
Yaani upinge kupanda kwa umeme alafu anaesababisha upandaji wa huo umeme umchekee tu? Kama hizi ndio akili za wanachadema wa hapa Jf, basi hicho chama ni bure kabisa!

Kuna video humu ikimuonesha Wenje akichambua ufisadi wa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la dar, lkn siku anatumbuliwa mlikuja hapa kumtetea mkisema hakuna haki za binadamu. Coment zako ziko humu unataka tukuletee ushahidi?
je watumbuaji wanafuata vigezo na mashariti ya utumbuaji?????
 
Labda akiona Quinine anatetea anadhani Chadema ndio inatetea.

Wanachadema tuko huru kutetea na kukosoa chochote
Hivi chadema ni nani?

Chama ni watu, na mawazo ya watu ndio huwa yanaonesha msimamo wa chama ulivyo.

Nyumbu mnapinga tu hili na ukweli mnaujua.
 
Na wewe ujiandae kutimuliwa chadema na hutakuwa na mtetezi huko!! Maana unawaambia ukweli Ila kwa vile wameshajitwika usultani wanakuona mwanga tu.

Chama kimekuwa cha kutetea wezi wa nchi hii, hii ni baada ya kumpokea Baba wa wizi!
Ajiandae kutimuliwa kwani ana kadi hata ya chama?
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
hivi kwanini wapinzani wanakuwa na tabia ya kuwatetea wananchi hadi rais anatumbua watu
 
Chadema kimekua kama genge la walevi kilabuni hata hawajielewi wanachosimamia ni nini yaani wanapayukapayuka bila kupima ili mradi tu waonekane wameongea.
Chama hiki sio kile tulichokijua hapo awali.
 
Hizi kauli za kutetea alizitoa nani? Mbowe? Victor Kimesera? Makene? Press ilitolewa lini?? Mawazo ya kinyafuzi kabisa

Wale binadamu waliozikwa kama mashetani wakiaminika ni wakimbizi kweli CHADEMA iliwatetea kwa sababu walidhalilishwa sana

Unajua hii dhana kuwa kila apingaye serikali na matendo yake basi atakuwa ni CHADEMA au UKAWA ni mfu kabisa. Watu wengi sana hawana vyama per se. Hata wale 6m waliompa kura Lowassa wako CCM wengi mle!
 
Hivi ukikuta sehemu wamekusanyika wanachama wa ccm alfu wote wana mawazo yanyofanana huo si tutaita ndio msimamo wa chama?

ni wapi huko umeona wanachama wote wamefanana mawazo?
 
Bahati mbaya wanawatetea watu ambakwao wanyonge wametaabika sana. Mungu na amlinde JPM kazi anayoifanya ina ukinzani wa hatari
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Chadema wameishiwa hoja,iliobaki ni kupinga kila kitu na kutetea Mafisadi
Magufuli ameapa atatumbua ikiwezekana kila siku atafanya kazi hiyo
 
Kwa mtazamo wangu upinzani kumsifu JPM ni kama kumpa credit, so ili kutompa crediti inabidi kupinga tu kwa kila anachokifanya hata kama kitakuwa na tija kwa raia, na ndiyo maana kuna baadhi ya watu wanamwona Joshua Nassari kama ni msaliti, unampaje credit mtu ambaye unaamini ni dikteta?
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Kiongizi achana na hao watu wajinga mm nilishasema kwa mpango wao wa kuingia ikulu ili waile nchi haitatokea wakapata nafasi ya kuongoza hii nchi kwa namna yoyote ile wanahangaika bure
 
Back
Top Bottom