Arumeru oyeeeeeeeeee!!!Ni kukosa agenga
Ninamuona mbunge mmoja tu wa chadema anaepiga kazi jimboni kwake wengine wote wanaishi kwa kutafuta kick
Kwa lipi?
Amewauliza ili mumjibu kada mwenzenu.Umejiuliza hayo maswali lakini hujatupatia majibu yake au na wewe yamekushinda kuyajibu?
Sasa mmengekuwa mnalalamikia uteuaji mbovu hapo sawa. Lkn kama hata watumbuliwa mnawatetea ninyi tuwaeleweje sasa.Utaratibu unaotumika...
You can not fire someone today and hire another kesho yake kwenye position kubwa... unless kama ulikuwa unamvizia jamaa akosee
Mwanachi na tanesco nani yupo sahihi?Labda ni aina ya utumbuaji. Kwa mfano ktk issue ya Umeme ningelikua Mimi wa kwanza wa kumtumbua alikua mkurugenzi wa ewura. Kwasababu siku zote tanesco wa nataka bei ipande ili waweze kujiendesha vizuri, na mwananchi anataka bei ishuke ili apate Umeme kwa bei nafuu. Sasa tukamuweka mtu wa katikati ewura kwanini aruhusu bei kupanda?
Kuna uzi unaongelea hao watu unaowasema. Uzi huu unaongelea kutetea watumbuliwa.Hizi kauli za kutetea alizitoa nani? Mbowe? Victor Kimesera? Makene? Press ilitolewa lini?? Mawazo ya kinyafuzi kabisa
Wale binadamu waliozikwa kama mashetani wakiaminika ni wakimbizi kweli CHADEMA iliwatetea kwa sababu walidhalilishwa sana
Utaratibu unaotumika...
You can not fire someone today and hire another kesho yake kwenye position kubwa... unless kama ulikuwa unamvizia jamaa akosee
Yaani upinge kupanda kwa umeme alafu anaesababisha upandaji wa huo umeme umchekee tu? Kama hizi ndio akili za wanachadema wa hapa Jf, basi hicho chama ni bure kabisa!Wewe nilikuwa nakuona ni memba afadhali humu kumbe walewale tu.unaweza kuweka humu tamko la chadema ikitetea kutumbuliwa?au hujui tofauti kama ya msimamo wa chama na maoni au msimamo wa mtu mmoja mmoja,kwa hiyo mm leo nikipinga kutumbuliwa kwa Mramba ni pingo la Chadema?
Wengi humu mnapinga magufuli kutaka watu wasiotoe maoni yao halafu wewe pia unakuwa hutambui maoni huru ya wachadema
Kutumbuliwa kwa Mramba wewe kunakusaidia nini?unaweza kupinga ingezeko la umeme lakini ukapinga kutumbuliwa kwa Mramba kwa sababu yeye na menejiment ilitimiza wajibu wake kama taasisi ikiweka sababu na wengine wakatimiza wajibu wake wa kukataa sababu hizo.full stop!mengine ni porojo tu za kuteka watu kama nyie. Kuna taasisi inaleta proposal lakini IPO inayopitisha maamuzi.sasa huwezi kutegemea uletewe maamuzi unayoyapenda tu,utaletewa na Yale machungu,basi yakatae na kazi ziendelee,sasa hapo baadae ikija kuonekana haya ya kupandisha umeme mtamrudisha Mramba?
Pascal Mayalla