CHADEMA kushinda Chalinze

Subiri kesho,utashangaa. Mwana mfalme hana chake pale Chalinze. Baba mwenyewe hakuweza kutimiza aliyowaahidia,pamoja na kuwa yuko ofisi kuu;huyu mtoto atawezaje? Wana-Chalinze so majuha. Kesho ndiyo kesho.

nimeikopi pembeni hii coment yako .kesho mida kama hii nitaibandika hapa hapa
 
haya ndio matahira yaliyobakia ccm ndio makampeni meneja

watu wakiongea ukweli mnawatukana kama chadema wanatengeneza website kwa mamilioni ya hela tukiwapa nchi hii tutauzwa watu kama ndizi halafu mbona kinaongozwa na watu wa ukanda fulani mbona wasukuma hamna wagogo hawapo ccm ndio chama makini sana na chama cha ukombozi wa watanzania kukisaliti ccm ni sawa na kujitukana wewe mwenyewe mfano huoni raisi wetu ni kijana na ana familia niambie kiongozi nani wa chadema ana familia
 
Sikiliza 93.7 efm kwa matokeo ya uchaguzi hapo kesho
 

Sio bure we ulipaswa kuwa hospitali ya vichaa mirembe.
 
Unahitaji akili ya kawaida tu kutambua kwamba huwezi kutumia mbinu zilezile kwa jambo lile kila mahali halafu utegemee kupata matokeo tofauti!!! Sasa hivi wanamkimbiza mwizi kimya kimya!

Inaelekea mbinu ya chopa hamkuifanyia utafiti kama inaweza linda kura au la? Au mnakurupukaga tu?
 

tehe tehe huyu dhaifu ndio unamwita kijana,wale watoto wa vicky kimata unadhani wa nani
 

Insanity means doing the same thing in the same way and expecting different results
 
Utapotezaje muda kwa watu wasioenda shule, ukiwapa pilau umemaliza, elimu zero wanaoana kwa mitungo, elimu sifuri wanakesha kucheza ngoma, asante Mungu sikutokea mikoa ya pwani, hopeless kabisa


Duh kamanda kwa matusi Haya na dharau hizi bado mwataka kura zao??? Mkiambiwa mna ukabila mnakataa yaani wajiona wa thamani kuliko walozaliwa pwani???
 
Haswaaa we are a big threat to them, How many parties are involved in this election. Kwanini CCM wanakosa usingizi? Nadhani jibu mnalo nyie maccm.....Chadema remain and will forever be the strongest opposition party in this country mpaka tuingie Ikulu.
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika... Sikutegemea ya matokeo ya kalenga...

Wana-chalinze tafadhali tusishindwe sana angalau mtutie moyo kidogo....
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika... Sikutegemea ya matokeo ya kalenga...

Wana-chalinze tafadhali tusishindwe sana angalau mtutie moyo kidogo....

yatokee tu mkuu wala usiogope ili wajipange tupate mbadala wa ukweli kuliko hizi sinema za sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…