CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

Wangefuata ahadi ya uwazi waliyotoa haya yote yasingetokea. Siri siri ndio zinaibua maneno haya.

Amandla...
 
Mbowe aendelee kupumzika tu hakuna aliyemmiss na vijana wake ndio wanazidi kuonesha picture yake halisi.
 
Huyu alishafukuzwa na wana mwenyekiti mwingine, huyu ni lile kundi la G55 waliokimbilia CHAUMMA, hakuna asiyejua hilo kundi kazi yao ilikuwa nini
 

Attachments

  • HMjUXI2WQAIiIdK.jpg
    178.9 KB · Views: 11
Mmawia ni kijana mtiifu wa Mbowe kama ilivyo kwa Yericko na ma ex wote wanaopambana mahakamani kuhakikisha chadema inakufa.
Kwa hiyo? Lakini Mbowe ameingiaje hapa? Mmawia ameweka clip ya shutuma za Mchome. Zijibiwe shutma za Mchome, sio kukimbilia kichaka cha Mbowe.

Watu kumkubali Mbowe ( mimi nikiwemo) haimaanishi kuwa anawatumia kudhoofisha CDM. Bila shaka watu kama Bonny, Sugu, Sharifa na hata Heche mwenyewe wanamkubali na kuheshimu mchango wa Mbowe kwa chama chao. Lakini wote hao kwa sauti moja wanaendelea kupigania CDM ya Lissu.

Amandla...
 
Huyu unaweza kusema alikuwa mwenyekiti aliyekuwa pamoja wenzake na maadhimio ya chama?
 

Attachments

  • Screenshot_20260708-105028.png
    1.3 MB · Views: 11
Mbowe aendelee kupumzika tu hakuna aliyemmiss na vijana wake ndio wanazidi kuonesha picture yake halisi.
Sasa mbona hamuishi kumfuata fuata? Pambaneni na hao mnaowaita vijana wake, muache mjumbe wenu wa kudumu wa Kamati Kuu aliye mmoja wa waasisi wa CDM aendelee na maisha yake bila kumbughudhi. Kama hamu mmiss mpotezeeni.

Amandla....
 
Huyu alishafukuzwa na wana mwenyekiti mwingine, huyu ni lile kundi la G55 waliokimbilia CHAUMMA, hakuna asiyejua hilo kundi kazi yao ilikuwa nini
Pamoja sana kiongozi tuijenge CDM yetu
 
Mmawia ni kijana mtiifu wa Mbowe kama ilivyo kwa Yericko na ma ex wote wanaopambana mahakamani kuhakikisha chadema inakufa.
CDM haiwezi kufa kisa mtu mmoja haiipendi ndiyo maana Hadi Sasa bado ipo pamoja na mbinu chafu kutoka kwa lumumba
 
CHADEMA hapati ruzuku hata 100.

Sasa hiyo ubadhirifu ni wa nini??

Msituletee vijistori uchwara vya wapare makande kama vile ni taarifa kuuuuubwa sana.
 
Tupe kwanza uadilifu wa mchome kwenye siasa
 
Na wewe unamjadili Mchome!
 
Wewe unatumika kuhujumu chadema Kwa kujua au kutokujua

Huyo mchome unajua historia yake ???
 
Wanamtumia Lisu kama msukule kupiga hela.

Wanamuita Mandela wao wapo makwao wanachoma kitimoto tu.

Sad.
 
Mmawia sikutegemea andiko kama hili toka kwako mtu mwenye wealth of experience kwenye siasa za nchi hii.
Hivi hujui huyo mchome alipangishiwa nyumba na msajili mikocheni na kuzua madai ya kutoutambua uongozi wa sekretiati il8yoteuliwa na Lissu?
Yaani huoni kabisa juhudi za Shosty Nyahoza kuihujumu Chadema kwakutumia kina Mchome na Saidi na jaji wa mchongo Mwanga?
Huoni msajili anavyozuia ruzuku ya Chadema.
Kwa kazi wanayofanya viongozi walioko nje kuna pesa gani kufananisha na ruzuku ya bilioni moja ya ccm? Ni hii ya tone tone?
You are big disappointment bro.
 
Sio vema tuhuma za ufisadi ndani ya CHADEMA ni hatari sana kwa chama ambacho kwa miaka mingi kimejitambulisha kama wapinga ufisadi. Kumekuwepo tuhuma za michango kutafunwa hadi baadhi ya wanachama kukamatwa na polisi kwa tuhuma hizo. Kinachokera sana ukiwauliza wanaCHADEMA wanaishia kutukana na kusema mbona mafisadi waliotajwa na CAG hawachukuliwi hatua? Ina maana CHADEMA inahalalisha ufisadi ndani ya chama chao kisa mafisadi wa CAG?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…