CHADEMA kumshitaki Mkumbo mahakamani

CHADEMA kumshitaki Mkumbo mahakamani

Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?

Kwani hizo gharama wanamdai kivipi RPC kwani yeye ndio alimuandikia barua Lowasa aende akaishi Mwanza muda wote huo? Huu utoto! Kwani Lowasa ndio alikuwa muombolezaji pekee? Mbowe mpiga.dili sana.
 
Ile kesi ilitambulika kuwa kiongozi wa chadema apewe haki ya kuagwa na ndg jamaa,marafiki na wanachama wa chadema.Hivyo madai hayo lazima yasimamiwe na chama maana aliyeuawa ni kiongozi wa chama.RC ni chanzo cha hayo yote na ndiye aliyeshtakiwa na kesi kashindwa! Hivy lazima alipe gharama za usumbufu.Ndiyo maana nilisema elimu za vyuo vya bongo si zakumwamini mtu hata awe na GPA ya 4:8.Narudia kusema kunatofauti kubwa ya kuelewa na kukariri.Eti wasomi! Huelewi nini maana ya kiongozi?
 
Na wale watoto wa Mwangosi nao bado wanasomeshwa?

Jitahidi angalau kutumia akili angalau zile za mtoto wa chekechea, je mwangozi alikuwa mwanachama au kiongozi wa CHADEMA? yaani mnaua watu ili muweze kuandika upuuzi kama huu unaouandika NYAMBAAAFUU!!
 
Wanachofanya Chadema ni kuidhalilisha familia ya Mawazo kila kitu wanachowafanyia wanawatangazia wananchi.

Na nyie mmejisahau jinsi mlivyoidhalilisha familia ya Mgimwa kwa mlichokifanya na baadae kumpa kipoozeo Ubunge mtoto wake.
 
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.
Je watoto wa Chacha Wangwe mbona wamtupwa kule
Je watoto na familia na Mwangosi mbona imetelekezwa? ?
Je mbona familia na dr Mvungi imetelekezwa? ?
Je mbona wapo wahanga wengi wa siasa ambao wametangulia mbele ya haki kwa ajili ya kutetea ukawa na chadema mbona wametelekezwa? ??
Kwa nini iwe kwa Mawazo? ??? Na kuamua kuwalazimisha wabunge, wengine ni wapyaaa hata hawataki biashara ya kupelekeshana kama hiyo? ?

Kati ya aliowasema Mkapa kuwa ni Wapumbavu wewe ni zaidi ya Wapumbavu maana wewe ni Mjinga sana.
 
Kwani hizo gharama wanamdai kivipi RPC kwani yeye ndio alimuandikia barua Lowasa aende akaishi Mwanza muda wote huo? Huu utoto! Kwani Lowasa ndio alikuwa muombolezaji pekee? Mbowe mpiga.dili sana.

Kati ya aliowasema Mkapa kuwa ni Wapumbavu wewe ni zaidi ya Wapumbavu maana wewe ni Mjinga sana.
 
Sass hawa Chadema watamshitakia wapi Mkumbo wakati kila siku wanasema hawana imani na mahakama zetu au watampeleka ICC.
 
Kama mbowen skate ni mwenyekiti wa chadema ameona ana haki kwenda mahakamani kuna kosa gani... Stop bringing your stupidity.
You are a fool! Yaani aende mahakamani kwa sababu Lowassa ametumia gharama kubwa Mwanza?
 
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?

Mimi nawashangaa watu mnacomment habari ya mpuuzi kama huyu,
kuna mambo yapo wazi kabisa jamaa wameshindwa kesi kwann wasilipe gharama za usumbufu?.

KILA JAMBO ANALIHUSIANISHA NA SIASA NA UFISADI, ATAKUWA RIMBUKENI HUYU.
 
Back
Top Bottom