Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Anzisha thread nyingine. Ujitahidi kuwa na adabu kwenye thread za wenzio