wewe BABELI NDI MHUNI UNAYEPIKA HABARI
Nani alikwannbia kuwa wabunge walishuritishwa mhuni Babeli?? hayo yalikuwa makubaliano ya kikao cha wabunge wenyewe
NAifahamu familia ya chacha wangwe nani aliyekwambia familia yake imetelekezwa mhuni Babeli na majibu yake umeyaona kwenye uchaguzi wana Tarime wameipa nini chadema unafikiri cdm imtelekeze familia yake halafu leo wana Tarime waipe zawadi ya jimbo cdm grow up babeli.
Mwangosi anausika vipi na cdm ?? hakuwa mfanyakakzi wao wala mpiga debe wao lakini wameaidi kusoma mtoto wao wake kwa hiyari yao wenyewe ujue kuwa cdm ni chama chenye utu, mwangosi alikuwa mwajili wa channel 10
Dr.Mvungi hakuwa mwajiiliwa wa cdm wala hakuwai kufanya kazi cdm sasa sijui wana usika vipi na issue yake mpaka anakufa mvungi alikuwa mwajiliwa wa serikali kwahiyo inawajibia naye hapa pameonyesha uenda babeli kichwa yako haijakaa sawa.
kwanini iwe kwa mawazo tu??
Mawazo alikuwa ni kiongozi na mtumishi wa chadema amefia kazini ameacha mtoto mmoja halafu hutako achangiwe ili upige kelele kwanini hakuchangiwa next time uliza kabla ya kuanza kutoa madai yako ya ajabu kama haya ya kulazimisha wabunge