TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Nina wasiwasi na habari hii,huenda ni mkakati maalumu wa kututoa kwenye mjadala wa ongezeko la posho za wabunge.nani wanahusika na mkakati wa kututoa ktk huu mjadala unaoanza kushika kasi?mtaunganisha dots wenyewe!....swali la kujiuliza hapa ni,iweje taarifa hii ije wakati wa huu mjadala wa posho za wabunge?