Baada ya Serikali ya CCM kukataa kuunda tume ya Kijaji ili wakabidhiwe CD ya mauaji Soweto, Sasa CHADEMA wameamua kuwa wataikabidhi serikali CD hiyo muda wowote kuanzia leo.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA wakiwa wanahitimisha kampeni za uchaguzi wa Madiwani mjini Arusha, Watu wanaosadikiwa kuwa ni maafisa usalama wanashukiwa kuwa walirusha Bomu kwenye mkutano huo na kusababisha mauaji.
Sasa baada ya cdm kuomba Serikali kuunda tume huru ya kijaji Serikali ilikataa kufanya hivyo ikihofia kuumbuka kwa tukio lile.
Tutarajie nini baada ya CD hiyo kutolewa?.