Hizo ni ndoto zako za mchana! Mikutano yote hulindwa na Polisi na mara nyingi hutoka vituo vya karibu hivyo hutambuana. Iweje wasimkamate? Kuna yule kijana alivaa nguo za Mgambo wa JKT ktk mikutano ya CDM Arusha alikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha mwaka 1 jela. Iweje huyu asikamatwe?
Pili, hamna kiwanda nchini kinachotengeneza na kuuza sare za jeshi la Polisi nchini Tz.
Kwahoja yako hiyo inaonesha jinsi jeshi la Polisi na usalama kwa ujumla wasivyo fahamu majukumu yao.
Kama kwelkama mkanda upo na unaonyesha polisi wanashambulia tank la gari ,sio tatizo,wautoe mkanda then watwambie kwanini wameukalia mpaka uchaguzi ufike wakati maisha ya watu yamehusika hapa.
vipi kama polisi walikua wamelipwa na wao ili kustage hiyo kitu,ukichukulia wao wana ushawishi mkubwa hapo arusha?.
tusije shangaa hao polisi wataoonekana walishaacha kazi na kutoroka baada yao kuwalipa wastage hiyo move.
Tatzo hapa sio muda! Hata Afisa Usalama wa Rwanda 1990 to 1994 kakamatwa juzi.
Rushwa za FIFA zina muda mrefu lakini inachunguzwa leo.
Rais wa Sudan, Bashir makosa ni ya zamani ila hajakamatwa na atakamatwa muda wowote.
Issue sio muda bali ualifu na INTENTION ya kukabiliana na kuzuia uharifu nchini. Suala la kukodi Polisi haiwezekani huenda Tz tu enzi za JK , nchi inaendeshwa hovyo hovyo tu. Ukodi Polisi kwa uharifu! Ww ni nani?
Utorokee wapi hapa duniani? Hakuna cha kusitaafu wala kutoroka! Makosa huwa haya Expire!!!
Cha mhimu hapa ni dhamira ya serikali kubaini ukweli, uongo na wahusika kuchukuliwa hatua kali ikiwemo kunywongwa.