CHADEMA kukaa Kikao cha dharura cha Kamati Kuu Juni 3 kujadili Taarifa ya Msajili wa Vyama

CHADEMA kukaa Kikao cha dharura cha Kamati Kuu Juni 3 kujadili Taarifa ya Msajili wa Vyama

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu.

Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025

Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na kitafanyika katika Makao Makuu ya CHADEMA yaliyopo jijini Dar es Salaam.

IMG_5053.jpeg
 
Makamu mwenyekiti Wa CHADEMA huwa hasaini barua za chama kuhusu vikao. Hii barua ni FEKI!
 
Back
Top Bottom