CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

Status
Not open for further replies.
nadhani anatimiza ahadi ya nape kupambana na wapinzani wa ccm hapa JF......mwacheni atapata anachohitaji
 
Nape Nnauye, pole sana ndugu yangu. Unatumikishwa na mafisadi hadi unasahau utu wako. Kumbuka wewe ndiye ulikua mstari wa mbele kusema kuwa viongozi wakuu wa CCM ni mafisadi, kipindi kile unatafuta uenyekiti wa UVCCM.

Ulitoa taarifa zenye evidence kuhusu rushwa iliyokithiri katika ujenzi wa lile jengo lenu la vijana. Wengi walikuamini na kudhani na Mpambanaji wa kweli.

Lakini tangu umepewa nafasi ya kuokota makombo kwenye meza za watawala umebadilika kabisa. Umebadilika kana kwamba si yule Nape tuliyemjua zamani.

Kwa hili unatufanya tuamini kuwa kelele zako zilikuwa uchu wa madaraka na dhamira ya kweli ya kusaidia wananchi.

Mwisho nikupe ushauri kuwa hakuna sababu ya kutumia majina bandia maana tumeshakugundua. Unajiita majina mengimengi ili kujifanya ni watu tofauti. Kwa taarifa yako tumeshagundua wewe ndie VUA GAMBA, NAPE MASASI, LOWA-HASA na majina mengine ya bandia kuficha ukweli.

Tafadhali acha hizo mbinu za kitoto maana hazitakusaidia.
 
Mie ninadhani umri hauna maana sana juu ya uimara wa chama hasa ukizingatia historia ya TANU kabla na baada ya uhuru huku ukizingatia upigwaji marufuku wa vyama vingi baada ya uhuru.....kutolewa baadhi ya huduma za msingi kama pasi za kusafiria, masomo ya juu nje ya nchi nk. kwa wanachama wa SISIEM pekee hili lililazimisha wengi kuwa wanachama kadi. Kama mikwaruzano ya ndani ya chama ndiyo dalili ya kufa chama basi SISIEM hivi sasa ingekuwa historia.... ichukulia mfano wa kura za maoni ndani ya CCM ni nani asiyejua kuwa zoezi zima lilitawaliwa na uchu wa madaraka au urafiki??.......mapambano ya ufisadi..............hata kujivua gamba pia.......... "ukiona mtu anauingiza udini au ukabila basi ujue amefilisika kisiasa"- Mwalimu JKN
Mbona mmesema makatibu wa ccm wengi wanatoka kusini? Huo ni nini kama sio ubaguzi.? Basi na cdm mmefilisika kisiasa.
 
Nadhani kama sitakosea sana kwa mujibu wa makamu mwenyekiti wa CCM na katibu muenezi (Nape) walisema watawatuma vijana kwenye mitandao ya kijamii kujibu/kutoa hoja za chama chao na SI KULETA VITU VISIVYOKUWA NA MAANA... Tafadhali fanyeni kazi mliyotumwa......:der:
crap. Yani kujadili ccm sawa, bt cdm kikijadiliwa mnasema ni vitu visivyo na maana. Poleni!!!
 
hizi ndizo busara za mwendawazimu. Ccm imeshahukumiwa na historia na sasa inasubiri anguko lake kuu, la kishindo cha kutisha na kuleta simanzi kwa wahalifu waliojificha kwenye chaka hilo. hapa nape anajaribu kutushawishi kwamba eti chadema ina uchu wa madaraka! Hivi ni nani asiye na uchu wa madaraka hapa nchini? Tatizo si uchu wa madaraka, bali ni madhumuni ya mtu kutaka madaraka. Nape ni mmoja wa wenye uchu mkubwa wa madaraka na ana rekodi ya kuhongwa na kutulizwa mzuka. Uchu wa namna hii ni sumu kwa taifa na hatari kabisa. Hebu tukumbushane kidogo jinsi kijana huyu alivyokuwa akihaha kama kuku anayetaka kutaga yai muda mfupi tu kabla ya uchaguzi uliopita, wengi tuliamini kwamba kijana alikuwa mpambanaji mzuri dhidi ya ufisadi haswa alipokuwa akilalamikia chama kutekwa na mafisadi huku akiwataja kwa majina! Hakuwa ameishia pale, alihangaika huku na kule hadi kutafuta "ulaji" chadema alipotaka kujiunga nacho ambapo walimtolea nje, alijishughulisha pia na harakati za kuanzisha chama cha ccj kama tunavyoelezwa. Lakini wenye werevu wa kifisadi walijua alichokuwa akitafuta na homa iliyokuwa ikimsumbua; walimtupia mfupa; cheo cha kishemeji cha ukuu wa wilaya (dc) ambapo akatulia kama maji mtungini! Na sasa baada ya kunogewa na "uheshimiwa" nape amesogezwa usoni kwa kubebeshwa furushi lisilobebeka ndani ya chama kinachougua kansa na ukimwi wa kifisadi. Kwa maoni yangu nape, kwa kukubali kuhongwa cheo cha udc na baadae hiki alicho nacho (kwa mujibu wa falsafa ya mwasisi wa ccm hayati mwl.nyerere) amepoteza kabisa sifa ya kuwa mpiganaji dhidi ya ufisadi na anachofanya sasa ni tamithiliya ya maigizo. Nyerere alitamka hadharani kwamba "hakuna kiongozi atayewekwa madarakani kifisadi anayeweza kupambana na ufisadi" kama atabisha nape atueleze vigezo vilivyotumika kwa yeye kuteuliwa kuwa dc na si watanzania kibao wanaomzidi kila hali kuanzia elimu, umri, uzoefu wa kisiasa na hata haiba. Kwangu mimi, niliyewahi kufanya kazi chini ya hayati baba yake nape ni msaliti mkubwa kwa umma na falsafa aliyokuwa akiisimamia baba yake. Nathubutu kusema kwamba kwa kadiri nilivyomfahamu mzee yule asingekubali uteuzi wa kirushwarushwa ule. Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika.
dua la kuku......!!!
 
NAPE kafanye mambo ya msingi acha kupoteza muda huku kwa kuleta thread zisizo na kichwa wala miguu.

Muda unaotumia kubishana na wanaJF ungekuwa umeshawaandikia barua wale mapacha watatu kuwasimamisha uanachama....
 
mbona ufisadi mnauangalia upande mmoja au mbowe kukiuzia chama mafuso 3 kwa 480m na slaa kulipwa 7.5m huo sio ufisadi?
 
mbona ufisadi mnauangalia upande mmoja au mbowe kukiuzia chama mafuso 3 kwa 480m na slaa kulipwa 7.5m huo sio ufisadi?
mnaonaje huu muda mnaopoteza hapa mngeutumia kujadili namna ya kukiokoa chama chenu na mbinu za kuwaondoa wale mapacha watatu!!
 
Chama (kinachojiita) cha Demokrasia na Maendeleo kiko mahututi (ICU) na huenda kikafa rasmi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Utafiti binafsi nilioufanya bila kushirikisha REDET wala SYNOVETE unaonesha chama hicho kukosa mwelekeo na hivyo huenda kikavurugika kabisa kutokana na uchu wa madaraka.

Hali inayoendelea Arusha ni kielelezo cha ninayoyasema.

Wiki iliyopita VUA GAMBA aliandika uhalisia wa kile alichokiona kwenye chama chake. Katika maelezo yake alidai yeye ni mwanachama wa chadema lakini HAKUBALIANI NA MUAFAKA ULIOFANYIKA ARUSHA.

Alitoa sababu zenye mashiko na kudhibitisha bila shaka yoyote kuwa kilichofanyika ARUSHA ni kwa maslahi ya wachache.

Lakini wafuasi wa chadema hapa JF walimtukana, kumpuuza na kumwita shushushu, bila hata kujaribu kutafakari ukweli wa kilichokuwemo kwenye thread. Ajabu hata Dr.KITILA MKUMBO nae akaangukia kwenye mkumbo huo wa wenzake.

Lakini mbaya zaidi MODS wakamburn.

Cha kushangaza ni kuona eti walewale waliotetea muafaka hapa jamvini wakiongozwa na TUKUTUKU eti ndio wanasimama kuungana na LEMA bila hata chembe ya aibu.

Mlisema chadema sio chama cha fujo na wanakubali muafaka, sasa mmetoka wapi leo kumtetea LEMA? Historia itawahukumu.
GET LOST!!
Mkiiba wenye mali wakifuata haki zao mnaita fujo siyo!?
Poole nyie!!!
 
mbona ufisadi mnauangalia upande mmoja au mbowe kukiuzia chama mafuso 3 kwa 480m na slaa kulipwa 7.5m huo sio ufisadi?
Tunaongelea mabilioni ya walipa kodi yanayosombwa na baba zako wa magamba wewe unatuletea mambo ya mbowe/slaa!
Nenda kajisaidie ulale umeshiba mgawo wako.
 
mbona ufisadi mnauangalia upande mmoja au mbowe kukiuzia chama mafuso 3 kwa 480m na slaa kulipwa 7.5m huo sio ufisadi?
Just tell them, maana wamelewa mbege. Huyo mchagga anafanya ufisadi mkubwa sana kwny hicho chama chao lakini hawaoni. Wanakazana kukodoa macho kwny vyama vya wengine.Bible says toa kwanza boriti jichoni kwako, ndipo utakapoweza kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
Jamani wanaJF,nimeamua kuleta hii thread hapa ili nipate mawazo na mitazamo ya great thinkers kuhusu hili suala.
Baada ya kumsikia mh.Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CDM akijiapiza kuwa ataachana na siasa endapo CDM haitachukua nchi kutoka mikononi mwa CCM pamoja na kuangalia mwenendo wa watu kama Zitto anaye apa kuwa hatagombea ubunge(japo ndio saizi yake kwa sasa)na kuutaka urais (japo sio saizi yake kwa sasa na yeye analijua hilo fika)na sasa kila mwenye uwezo wa kufungua kinywa chake bila kujali hata kama anachokiongea ni makapi anajitangazia kugombea urais kupitia CDM.

Najiuliza nini kitatokea kwa CDM endapo hakitashinda 2015?

Note:siwakatishi tamaa wapambanaji wa mabadilikoM4C kuwa CDM haitashinda,No ila nahitaji tu tafakuri .


Naomba michango.
 
Jamani wanaJF,nimeamua kuleta hii thread hapa ili nipate mawazo na mitazamo ya great thinkers kuhusu hili suala.
Baada ya kumsikia mh.Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa cdm akijiapiza kuwa ataachana na siasa endapo cdm haitachukua nchi kutoka mikononi mwa magamba/mafisadi pamoja na kuangalia mwenendo wa watu kama Zito anaye apa kuwa hatagombea ubunge(japo ndio saizi yake kwa sasa)na kuutaka urais (japo sio saizi yake kwa sasa na yeye analijua hilo fika)na sasa kila mwenye uwezo wa kufungua kinywa chake bila kujali hata kama anachokiongea ni makapi anajitangazia kugombea urais kupitia cdm.
Najiuliza nini kitatokea kwa cdm endapo hakitashinda 2015?

Note:siwakatishi tamaa wapambanaji wa mabadilikoM4C kuwa cdm haitashinda,No ila nahitaji tu tafakuri .


Naomba michango.

3-7-08-toilet-paper.jpg
 
Ushapewa mchango wa toilet paper hahaha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ushapewa mchango wa toilet paper hahaha.


Anyway hata huo ni mchango pia,japo lengo la thread hii sio kuitabiria cdm kushindwa la hasha bali kuangalia mstakabali wa chama kwa sababu kuna siasa hata baada ya uchaguzi kuliko kila mtu kuamini kuwa bila kuwa rais ndo mwisho wa siasa
 
kama ambavyo ccm haitakufa kama itatokea cdm kushika nchi, ndivyo ambavyo cdm itabaki hata kama ikishindwa kuchukua nchi, la msingi JE vyama hivyo vitakuwa na hali gani mara baada ya uchaguzi 2015? tafakari!
 
MASOGANE ITS MESEJI TO YOU KUWA PWENTI ZAKO HAZINA TOFAUTI NA MTU ANAYEKUNYA KWA KTUMIA MDOMO IVO NI WAJIBU WAKO KUUCHAMBA MDOMO WAKO NA TOILET PAPER NDO IZO ZA KUMWAGA JUST UCHAMBE MDOMO WAKo. THAT IS ALL
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom