lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
Hata FM nae jua kali tu ndio maana alihakikisha ya kuwa anakuwa kiongozi wa upinzani bungeni ili walau aweze kujazia anachopata pale bills[/QUOTE]
Bali ni ya kikundi cha wafisadi na magamba...Haki lazima itendeke lakini msitegemee walionzisha fujo(cdm top brass ) kutoka salama lazima washughulikiwe hii nchi si ya kikundi cha wahuni
Hata FM nae jua kali tu ndio maana alihakikisha ya kuwa anakuwa kiongozi wa upinzani bungeni ili walau aweze kujazia anachopata pale bills
Halafu Mods wafanye nini? Kwani ametukanwa Slaa? Hapa tusi ni tusi iwapo litaelekezwa kwa Slaa na wamiliki halali wa JF yaani CDM.
Anybody with any update of what is going on in the court ... ?
Ingekuwa ni vizuri sana kama mtakubali ya kwamba tupo watanzani wengi tu wenye mawazo tofauti na nyie wan CDM.Matusi na lugha chafu ni tabia isiyopendeza hata wewe mwenyewe
Ni vyote ambavyo mnaongeleaaisee we makupa unachopigia mayowe hapa ni tbc, ccm au kesi ya arusha?
"......pale ambapo haki haikutumika.. zimesikika risasi za moto na mabomu"- Barnabas Samatta
Watanzania wote ni kundi mojaBali ni ya kikundi cha wafisadi na magamba...
imeahirishwa mpaka tarehe 27 may 2011..Ni baada ya washitakiwa namba 8 na 16 kutokuwe mahakama hapo mmoja akiwa hajatoa sababu ya kuto kufika, yeye pamoja na mzamini wake..wakili wa upande wa cdm alitoa hoja kama nilivyosema hapo awali..lakini hakimu alipinga kwa maelzo kwamba watuhumiwa waliwa wanasomewa mashitaka ya awali hivmwisho walipaswa kukubali ama kukata
Crashwise,
Heshima yako mkuu,
Tafadhali tupatie muendelezo wa kesi ya wana-mapinduzi
tunakutegemea wewe kwa taarifa za ukweli zaidi,
tafadhali usichakachuwe.tupe live bila chenga,airtime ikiisha unaweza kutushtua tuu usijali mkuu....haah...hah.
Endelea kuwachukia lakini ukweli utabaki pale pale Makupa uwezo uko juuKadiri ninavyozidi kuwafahamu makada wa sisiem kwa undani, ndivyo ninavyowaona wote kuwa kina 'makupa' na napata sababu ya kuichukia sisiem zaidi!