CHADEMA Kinondoni: Hatuna hofu na Maulid Mtulia(CUF) kuhamia CCM, tupo imara tunasubiri kutangazwa siku ya Uchaguzi

Chadema imekufa
Haujitambui.. Hata Mugabe alikuwa mungu mtu huko Zimbabwe na bila shaka mnakumbuka kauli ya kiongozi wa vijana wa ZANU-PF mara baada tu ya kauli ya CDF wa Zimbabwe

Sasa na nyie mmebaki kishabiki sasa sijui kwa manufaa ya nani. Jaribu kuifikiria leo wasingekuwepo viongozi waliokuwa na ujasiri wa kusema uozo wa serikali hadharani sijui maswala ya EPA, MEREMETA, ESCROW, DOWANS na mengine mengi ungesikia kwa nani

Kama hujui wajibu wa upinzani katika gurudumu la manendeleo bila shaka hujui faida ya chumzi katika chakula
 
Chadema imekufa.
 
KWa ujumla hata wakihama viongozi wote tangu Mbowe, Lowassa, Halima Mdee, Lemma, Nassary tena wakahamia CCM. Ukweli utabaki kwamba hawahami na matatizo ya watanzania ambayo yatabaki palepale yanahitaji msemaji.

Kumbuka uchaguzi uliopita watu walisema "hata CHADEMA ikisimamisha jiwe tutalipigia kura".

Hivyo, hata waondoke wanachama wote wa UKAWA na kujiunga CCM, shida za wananchi zitawapeleka kupigia kura chama kingine na si CCM.
 
-Prof. Ibrahimu Lipumba ametumwa kutenganisha UKAWA, na hatuko tayari kuona mfuasi wa Lipumba anasimama kugombea nafasi ya Ubunge - CHADEMA
kwahyo wanazani watashinda bila mgombea wa CUF au wamesahau kinondoni ni kambi ya CUF!!
 
Dua la kuku halimpati mwewe
Huyo mwenyekiti amechanganyikiwa tu,kwani kuna ukawa?kama upo ana wasiwasi gani? Si watasimamisha tena mtu wao
 
Talk talk talk talk, press press press press, hayo ndio mambo chadema wanayoweza kuyafanya.
 
[HASHTAG]#LIVE[/HASHTAG] | Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Kinondoni kinatoa ufafanuzi juu hali ya kisiasa
View attachment 645192
=======UPDATES
Mwenyekiti wa Chadema (W) Kinondon Waziri Muhunzi amesema aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni Said Mtulia ameusaliti Ukawa, Chadema pamoja na wananchi hivyo asubiri mshara wa usaliti.
==>>CHADEMA yasema dhambi ya usaliti itamtafuna hapahapa duniani aliyekua Mbunge Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia. Yasema watu waliumia na kupoteza maisha kwa ajili yake. Yaonya kuwa hata CCM watavuna dhambi hii kwa kununua wanasiasa.
==>>CHADEMA yasema Prof. Ibrahimu Lipumba ametumwa kutenganisha UKAWA, na hatuko tayari kuona mfuasi wa Lipumba anasimama kugombea nafasi ya Ubunge
Katibu Mwenezi CHADEMA (W) Kinondoni George Mwingila amesema sababu alizozitoa Mtulia kujivua ubunge hazina msingi kwani UKAWA hawakuwa na ajenda ya kubomolea watu nyumba wala kununua wanachama
View attachment 645202
Tume wazoea Hua muna ongea kwa mapovu baadae mna hama kwa mbwembwe (Nani sala mbongo)
 
Hivi chadema mtapata wapi mamlaka ya kumzuia mtu kugombea?
Screenshot_20171203-005224.png
 
hawa jamaa leo wameweka msumari wa mwisho kwenye jeneza la ukawa safari kaburini kuuzika. Hongera sana Mbowe na Seif, na Lowasa wenu.
 
Back
Top Bottom