CHADEMA Kinondoni: Hatuna hofu na Maulid Mtulia(CUF) kuhamia CCM, tupo imara tunasubiri kutangazwa siku ya Uchaguzi

Hahaha! We huoni upinzani unauwawa? Tunataka tupate maoni ya tofauti na ideologies na policies za tofauti tofauti, kazi yetu sisi ni kuchaguwa na si kuamuliwa cha kuchagua.

Baggage ya chama ni pale unapomchaguwa bila kujali chama chake, lakini yeye anaendekeza unazi wa chama. Hapo ndo penye somo la kujifunza, that they will come with the party baggage!

Mgombea binafsi angekuwa anaruhusiwa, basi hoja yako ingepata pa kuanzia.
Mi nilikuwa mfuasi mzuri wa opposition...
Naelewa na nafahamu upinzani wa kweli unaleta maendeleo katika nchi...

Lakini kwa sasa hakuna opposition ...nimebaki kuchagua mtu kama mgombea binafsi...
Mfano nakotoka mbunge ni wa upinzani...na sina shida nae ...anajitahidi kadili ya uwezo wake...

Ningependa kuona Tz kunaibuka chama kipya cha upinzani chenye nguvu na misingi imara...kitu ambacho najua pia ni ndoto...
Kwa sasa hatuna upinzani...ni waganga njaa tu ambao siasa ni ajira kama ajira nyingine...

tofauti na enzi zile za mwalimu ambapo watu walitumia resources zao kudai uhuru bila kujua hata kama utapatikana wakiwa hai...
 
Back
Top Bottom