Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Wanachama wa Chadema ukitaka kuwaona subiri mikutano ya Chadema Chopa akitua utawaona, Chopa ikiondoka na wao wanaondoka.
mkuu Viongozi wa cdm jf hawapo au ?Jipange upya mkuu, hata kama ulikuwa na nia njema na kutaka tujadili kitu fulani faida za kuwa na mtaji wa Wanachama lakini hapa umekurupuka, na thread yote imekuwa useless.
Swali la idadi ya Wanachama wa Chadema unaweza kujibiwa na uongozi wa Chadema tu na siyo JF.
Mwita Maranya ahsante kwa ufafanuzi lakini idadi ya wanachama wapya 170 ambao hupewa kadi mwishoni mwa mkutano anayewaandikisha majina na mtu mmoja au wanaandikwa na zaidi ya mtu mmoja; chukulia unatumia dakika moja kuandikisha mwanacha mmoja, 170 ni sawa na masaa matatu (170/60); na labda kazi mnaanza nusu saa kabla ya muda mnaoruhusiwa kisheria kuendelea na mkutano
Nafikiri hawa makamanda wanapambana na adui ambaye siye. Hawawezi kumpata na kumuua adui kupitia mitandao ya 'kijamii'.
Siasa ni sayansi na siasa ni sanaa.
Kuna ugonjwa fulani MMM ameanza kuugua siku za hivi karibuni,ni jambo la wakati tu utajidhihirisha wazi
hili nalo nenohivi hii jf ina hawa members?
Registered members: 96,985
Sikutegemea mtu kama MMM aje hapa na hadithi za kumquote Yusuf Makamba, huku ni kupungukiwa kwa hekima na maarifa.
Hivi hii JF ina hawa Members?
Registered Members: 96,985
Wapiga kura ni zaidi ya uanachama.
Usifanye mchezo na Lowassa mkuu. Huoni mawazo ya Pasco na Mwanakijiji yanavyofanana siku hizi?
Hapa sina hakika kama nakubaliana nawe. Chadema from nothing to five unadhani kidogo hiyo? I mean viti vilikuwa vya CCM na vimekwenda cdm. Nilidhani its something. Mkubuke Roma haikujengwa kwa siku moja. Its a process, hata kama kutokana na kuchoshwa na mambo ya CCM watu wanataka mabadiliko leo leo. Hii haitawezekana unless you are dreaming of mapinduziMatokeo ya udiwani ni ujumbe mzuri kwa ukaidi wao.
Kama kweli wewe Mwanakijiji ni Man of his words, ulishindwa vipi kutumia busara hizi kwa chama chako cha CCJ na kikashindwa kufanyiwa uhakiki na kikafa kabla ya kusajiliwa, is this simple Mathematics kama unavyotaka kutuaminisha wakati wewe mwenyewe uliferi kwenye hili?
.....
not true
Mzee Mwanakijiji huenda nikweli anataka mabadiliko lakini anadhani kuishinda CCM yenye mfumo wa zaidi ya miaka hamsini ni rahisi! M4C ina phase zaidi ya tano, na kwanza ndo tuko phase one
Matola ebu tuwekee iyo thread ya Mwanakijiji anayoikampenia CCJ..Maana nashindwa kuelewa hawa CCJ walikuwa wanagombea nini!?
Au pengine ukumuelewa kama ambavyo haujamuelewa hapa..!!.......