WanaJF,
Kwa masikitiko makubwa sana nieleze tu kuwa, CHADEMA kimezidi kupoteza wanachama wake wengi hivi karibuni hali inayopelekea ku kufanya chama hicho kupoteza sifa ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwa mujibu wa viwango vya kimataifa kwenye masuala ya kisiasa, chama kikuu cha upinzani ni kile ambacho kina wanachama walau nusu ya idadi ya wanachama wa chama tawala!.
Takwimu ya idadi ya wanachama kwa mujibu wa ripoti:
...CCM hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 7,892,453.
...CHADEMA hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 456,227.
...ACT hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 124,567. Baada Zitto kuingia ACT, wanachama waliongezeka hadi kufikia 259,548 sawa na ongezeko la asilimia 100.
...Idadi ya wanachama wote wa CUF, TLP, NCCR na UDP ni sawa na idadi ya wanachama wa CHADEMA.
...Kwa mujibu wa viwango vya kimataifa, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichounda kambi ya upinzani bungeni. Lakini hakina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani nchini.[/QU
Hammida Dada a.k.a (HAMMY D) mbona unaweweseka dada tulia dawa ikuingie.