ALOYCE MPANDANA
Senior Member
- Oct 1, 2010
- 172
- 58
Kama ni section ya watu itakuwa ni sawa na mambo ya kamat kuu ya ccm na ni rais kuonga wote
Bdo 2po gado CCM karne yao imeixha
Cdm kwa sasa kwa hesabu iliyopo halisi ni wanachama 8million,wacha kujitoa akili sababu ya kutumika na ccm
siyo kila mwanachama anashiriki kura za maoni bali viongozi kuanzia tawi na kuendelea. mfano moshi v watakaoshiriki ni watu 360 tu
Sasa huon apo anapatkana mgombea asiyekubalka na weng ndan ya chama
Sasa huon apo anapatkana mgombea asiyekubalka na weng ndan ya chama
Yaambie hayo magamba yasiyojitambua miaka50 ya Uhuru bado wananchi wanatibiwa chini ya mti?alafu bado mnaendelea kuishabikia ccm chama mfu?
Hivi wanachaguliwa na wanacha wote wa Jimbo au kikao maalum?
chadema wanaopiga kura ya maoni si wanacha wote. ni section fulani ya viongozi.
Nenda kwa lubuva upate maelekezo ya kutosha,husitake kila kitu kulinganisha na ccm?
Na bado subirini mtatandikwa, armageddon inakuja!
Yaambie hayo magamba yasiyojitambua miaka50 ya Uhuru bado wananchi wanatibiwa chini ya mti?alafu bado mnaendelea kuishabikia ccm chama mfu?
Utaratibu wa CHADEMA ni Kamati ya Utendaji ya Jimbo ambayo ni viongozi wa ngazi zilizopo jimboni ndiyo inapiga kura.
Nafikiri ni utaratibu mzuri kwani wanaomuweka mgombea ndio hao hao watakaotumika kumnadi.
Pia inaondoa uwezekano wa kuwa na wapiga kura hewa na rushwa.
Alafu unaposema asiyekubalika na wengi, mbona magufuli amechaguliwa na watu 2000 wakati ccm ina wanachama milioni 6??. Unasemaje kuhusu huyu?. Hakubaliki na wengi?.
Kalaghabao na ubwezi wako
Wanaochagua Mgombea kutoka idadi ya watia nia ni Wajumbe wa Mkutano Mkuu na sio kila Mwanachama...
Tulieni Magamba mnyolewe vizuri Mwaka huu.
Rekebisha kwenye andiko lako - 'kula' iwe 'kura'. Haya maneno ni mawili tofauti, hayafanani!Sasa huon apo anapatkana mgombea asiyekubalka na weng ndan ya chama