Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Ahsante....Na mimi nilitaka nimjibu, lakini nikaona jibu lako ni murua na linajitosheleza kabisa !
Majibu yenu yote yanafanana mnaokoteza tu vihoja hapa ombeni msaada kwa Makene maana nyie sio wanachadema ni mashabiki tu na wapitaji hata kadi hamna, ada na michango hamtoi teh teh teh kelele nyingi Subirini tu Magufuli anaendelea kuwanyoa taratibu