Ndio wafanye utaratibu wa kuwafanya mashabiki wawe wanachama na kukusanya wanachama zaidi ili come 2015 wavune kura nyingi.
Ok sawa Chadema ni mimi na wewe, ni sisi
Mkuu kumbe nawe ni mteja wa kiroba ? pole sana.
Anyway, wakati mwingine falsafa ya MM ni ngumu kueleweka..nadhani ana shida kidogo na uongozi wa CHADEMA, na sasa anajitahidi kuweka ilo kupitia post kama hizi. Even me, wanachama wenye kadi sio issue, maana nina rafiki zangu wana kadi za CCM ila ni supporters wakubwa wa CHADEMA, na walizipata hizo kadi 2010 wakati wa uchaguzi maana kulikuwa na deal ya kufanya hasa kwa wanachama wasomi wa CCM na ilikuwa inalipa. Nadhani swali na msingi liwe, CHADEMA ina wananchi wangapi wanaikubali na Je, wanaenda kupiga kura? Au wanasifa za kupiga kura?
Huna lolote wewe nadhani usipo post lolote hapa hutalipwa na Nape au vipi????Waungwana napenda kuwapasha hiki kuwa chama chenye wabunge wa upinzani wengi Mjengoni Dodoma, kimekubwa na masahibu gani, kwa nini kina wafuasi wengi huku kikiwa na idadi ndogo ya wanachama wanaokadiriwa kutofika LAKI MBILI (200,000). Wakerekeretwa mliopo JF manatakiwa mkashaurine kupitia vikao vyenu halali na kujitathimini namna ya kutanua wigo wa wanachama. Wenzenu CCM hadi Februari 28, 2013 ilikuwa na wanachama wasiopungua MILIONI SITA (6,000,000). Mheshimiwa Mnyika jitihidi kukitangaza chama na kuingiza wanachama wengi badala ya ktumia muda na nguvu nyingi katika vita dhidi ya Professa Maghembe, kwa vilehoja zako ni dhaifu hivyo utaangukia pua.
Mzee Mwanakijiji kama una jambo lingine la maana kujadili au kuwashauri ni bora ungefanya hivyo, Dr Exavery Lwaitama ni kada wa CCM na hata mimi Matola ni kada wa CCM, wacha kujishughurisha na takwimu za uwongo zisizo na takwimu za waliohama chama na waliofariki.
Takwimu unayotueleza wewe hapa ni tangu kuanzishwa kwa CCM, natowa Offer ya $ 100 aje hata katibu tu wa tawi la CCM atuthibitishie ni lini aliwahi ku update reja yake ya wanachama kwa kuwaondowa walioamia vyama vingine na waliokufa, nina uhakika wa 100% hakuna wa kuichukuwa $ 100 yangu. Si kweli hata kidogo kwamba eti CCM ina wanachama millioni 5.
Hi thread ni useless kwangu kwa sababu mimi binafsi si mwanachama wa Chadema lakini ni zaidi ya Mwanachama. ni kwa nini tusiwaige Wasouth Afrika ambao wao itikadi iko moyoni? sijawahi kuona bendera za vyama vya siasa mitaani South Afrika zaidi ya Head qouters. Wewe Mwanakijiji unaishi Marekani unataka kuniambia Obama anatalajia kushinda kwa sababu Democratic ina wanachama zaidi?
Waungwana napenda kuwapasha hiki kuwa chama chenye wabunge wa upinzani wengi Mjengoni Dodoma, kimekubwa na masahibu gani, kwa nini kina wafuasi wengi huku kikiwa na idadi ndogo ya wanachama wanaokadiriwa kutofika LAKI MBILI (200,000). Wakerekeretwa mliopo JF manatakiwa mkashaurine kupitia vikao vyenu halali na kujitathimini namna ya kutanua wigo wa wanachama. Wenzenu CCM hadi Februari 28, 2013 ilikuwa na wanachama wasiopungua MILIONI SITA (6,000,000). Mheshimiwa Mnyika jitihidi kukitangaza chama na kuingiza wanachama wengi badala ya ktumia muda na nguvu nyingi katika vita dhidi ya Professa Maghembe, kwa vilehoja zako ni dhaifu hivyo utaangukia pua.