CHADEMA Kanda ya Ziwa Magharibi yatangaza kikosi

Haya majimbo yatakuwa kwa mujibu wa katiba mpya ya CHADEMA au ya Nchi?. katiba ya CHADEMA wala haijayataja achilia mbali kuyatambua.
kwa kuangalia katiba ya sasa inautambua mkoa kwa kuainisha na kusema;
Wakuu wa Mikoa Sheria ya 1984 Na.15 ib.9

61.-(1) Kutakuwa na Mkuu wa Mkoa kwa kila mkoa katika Jamhuri ya Muungano ambaye, bila ya kuathiri ibara ndogo ya (3), atakuwa ni kiongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Bara watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Waziri Mkuu.
(3) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Zanzibar watateuliwa na Rais wa Zanzibar baada ya kushauriana na Rais.
(4) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (5), kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge.

Cha kushangaza CHADEMA kwa sasa wanafanya shughuli ambazo haziko katika katiba ya chama na kwa maana hiyo, wanavunja katiba ya chama kwa sababu kifungu ambacho kinatambua majimbo ambayo muundo wake siyo huu wanaoufanya kwa sasa ni ;

7.6 NGAZI ZA JIMBO ZA CHAMA
Patakuwa na Majimbo ya chama kwa taratibu zitakazowekwa na Baraza Kuu kutokana
na mahitaji ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii
7.6.1 Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Jimbo
Wajumbe wote wa mabaraza ya uongozi ya mikoa inayounda Jimbo husika.
7.6.2 Kazi za Baraza la Uongozi la Jimbo
(a) Kushauri chama juu ya mambo mbalimbali ya kisera kuhusu Jimbo husika.
(b) Kuchagua mjumbe kuwakilisha jimbo kwenye Baraza Kuu
7.6.3 Vikao vya Baraza la Uongozi la Jimbo vitakutana kila baada ya miaka miwili na nusu.
Mkutano maalum/dharura yaweza kuitishwa

Mkuu ina maana katiba ya chama itayatambua soon na hapana budi kufanyika marekebisho ya katiba,i hope wahusika watakuwa wamekusoma.
 
mkuu unafikiri hao chadema wanafahamu wanachokihubiri. nikuvizia upepo tu na kwenda nao huko unakovumia. thats all.

huna unacho kifahamu hata nguruwe anakuzidi tafakuri..kwa taarifa yako chadema ilianza kutangaza sera ya majimbo kabla ya uchanguzi wa mwaka 2005 sasa niambie hapo amevizia upepo gani..
 
Mkuu mara iko jimbo gani maana haikutajwa kwenye kuunda jimbo au hawakuarikwa?
 
katiba ya nchi mkuu mkuu

This is new. Nchi inaenda kuingia kwenye general election tayari na katiba mpya wewe unaongea kubadilisha baada ya general election. Ninafikiri unachokiongea huna uhakika nacho ama hukifahamu kabisa.
Katiba ya nchi haibadilishwi kwa matakwa ya kundi au chama fulani pekee bali kwa matakwa ya wananchi wote.
 
This
is new. Nchi
inaenda kuingia kwenye general election tayari na katiba mpya wewe
unaongea kubadilisha baada ya general election. Ninafikiri unachokiongea
huna uhakika nacho ama hukifahamu kabisa.
Katiba ya nchi haibadilishwi kwa matakwa ya kundi au chama fulani pekee
bali kwa matakwa ya wananchi wote.
Mnapoteza muda kubishana, huu ni muundo wa chama, si wa Serikali. Kifungu cha katiba ya chama mmeitaja wenyewe humu:
7.6 NGAZI ZA JIMBO ZA CHAMA
Patakuwa na Majimbo ya chama kwa taratibu zitakazowekwa na Baraza Kuu
kutokana na mahitaji ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii.
Sasa baraza kuu limeweka, ninyi mnaumana nini?
 
MKAKATI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kugatua madaraka kwa kutafsiri sera yake ya majimbo, umeanza kazi rasmi katika kanda zake 10, na sasa Kanda ya Ziwa Magharibi imetangaza kikosi kazi kilichosheni wataalamu wa fani mbalimbali.
Kanda hiyo inayohusisha mikoa ya Geita, Kagera na Mwanza, ilizinduliwa wiki iliyopita mkoani Mwanza, mbele ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe.
Mkutano wa uzinduzi wa kanda hiyo uliohudhuriwa na wajumbe wa mabaraza ya uongozi, wabunge na madiwani kutoka mikoa hiyo, uliwachagua watu sita kuunda timu ya muda ya uratibu wa kanda kwa miezi mitatu.
Waliochaguliwa kuongoza kanda hiyo ni Peter Mekere (Mwenyekiti), Dk. Rodrick Kabangila (Makamu Mwenyekiti), Renatus Bujiku (Katibu), Cecilia Odemba (Mhazini) na Tungaraza Njugu.
Mekere ni mtaalamu mshauri wa biashara na utawala na mafunzo ya biashara. Ana shahada ya biashara na uongozi na stashahada ya ualimu. Ni mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango ya Shirika la nyumba la Taifa (NHC), Kanda ya Ziwa.
Kabangila ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Afya, Bugando, daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu na Makamu wa Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT).
Ana shahada ya uzamili ya magonjwa ya wanadamu, shahada ya udaktari, shahada ya uzamili, epidemilojia na utafiti wa huduma za afya.
Bujiku ni mwalimu, mtaalamu mshauri, ofisa wa kanda ya ziwa wa shirika la ACORD kwa muda sasa. Ana shahada ya uzamili, uongozi na mipango, shahada ya Elimu, Stashahada ya Maendeleo na misaada ya kiutu.
Njugu amekuwa Meneja wa shirika la kijamii (CACT-Mwanza 2008-2010), meneja wa Chama cha Akiba na Mikopo (MWAUWASA SACCOS 2007 hadi sasa) ana cheti cha uhasibu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) na cheti cha sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Odemba ni Meneja masoko katika usafiri wa anga, mkurugenzi wa kampuni ya uwakala ya usafiri wa anga, na amewahi kuwa katibu wa kamati ya uhamasishaji ya vuguvugu la mabadiliko (M4C) kanda ya Ziwa.
Akizungumza na gazeti hili, Mekere alisema: “Timu yetu imetokana na watu wenye taaluma mbalimbali ambao wamekuwa wakitafuta nafasi kukisaidia chama kupitia taaluma zao. Tunaipongeza CHADEMA kwa kuanzisha sera ya majimbo kuandaa Watanzania kupata maendeleo kwa haraka kwani utaratibu huu wa majimbo ya chama unarudisha mamlaka kwa wananchi, na ni maandalizi ya kuongoza nchi.
“Kwa utaratibu huu wananchi wamerudishiwa madaraka yao, wana nafasi ya kuamua kuhusu rasilimali zao na kupanga namna ya kuzitumia. Utaratibu huu unaharakisha maendeleo tofauti na mfumo wa kimikoa uliowekwa na CCM.”

[TD="bgcolor: #ffffff"]
na Josephat Isango

[/TD]
[TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"]
amka2.gif
[/TD]
source: Tanzania daima

chemical combination nzuri hofu yangu ni hao waajiriwa kutishia na serikali kipofu kupitia waajiri njaa
 
Nimeona majina yao mmm!! Ngoja nikae kimya nikihoji taambiwa mdini.
 
This is new. Nchi inaenda kuingia kwenye general election tayari na katiba mpya wewe unaongea kubadilisha baada ya general election. Ninafikiri unachokiongea huna uhakika nacho ama hukifahamu kabisa.
Katiba ya nchi haibadilishwi kwa matakwa ya kundi au chama fulani pekee bali kwa matakwa ya wananchi wote.

kama katiba itakuwa kimeo , tukiingia madarakani lazima tuibadilishe mkuu ,lazima katiba iwe kwa ajili ya wananchi sio watawala.kama itafiti tutaiacha mkuu. wewe unafikiri JK asingeridhia ubadilishwaji wa katiba ,katiba ingebadilishwa mkuu.? wewe unaongea nini, mara ngapi wananchi walilalamika juu ya katiba, lakini inakuja kubadilishwa sasa hiv,tumia akili mkuu. fuatili siasa kaka, nyalali aliliongea, warioba mwenyewe na watu wengi tu waliliongelea hili. mpaka chadema walipo lalamika juu ya katiba mpya, na makundi mbalimbali kuweka midaharo,ndiyo raisi akaridhia, au umesahau?,upo bongo kweli au upo nje ya nchi mkuu? CCM HAWAKUWA TAYARI KUTENGEZA KATIBA MPYA, NI MSUKUMO WALIOPATA TOKA CHADEMA.kama unabisha Haya. Na moja ya ahadi ya Dr. slaa mwaka 2010. ni kwamba angechaguliwa kuwa Raisi angebadilisha katiba Au umesahau mkuu?
 
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013

Naona Bado Mna Mauchungu ya Kutemwa? safia sana, Mlikuwa mnajifanya maarufu mara o nina wapiga Kura 30,000 mara Jimbo langu, kwisha kazi, mumebakia humu JF ndo bado mnafurukuta, dafi sana Ben

This is new. Nchi inaenda kuingia kwenye general election tayari na katiba mpya wewe unaongea kubadilisha baada ya general election. Ninafikiri unachokiongea huna uhakika nacho ama hukifahamu kabisa.
Katiba ya nchi haibadilishwi kwa matakwa ya kundi au chama fulani pekee bali kwa matakwa ya wananchi wote.

Umandika Utumbo
 
Tatizo lako Ng'wamapalala unaisoma katiba ya Chadema huku akilini mwako umeshaamua kutouona ukweli. Mathalani ibara ya 7.6 ambayo mwenyewe umeiquote iko very clear kuhusiana na uanzishwaji wa majimbo sasa kwakuwa umevurugwa unaihusisha na mgawanyo wa kiutawala wa kiserikali.
Mapenzi yako kwa ccm yanapunguza ufanisi wa akili yako hata kwa mambo yaliyokuwa dhahiri sana kama hili la majimbo.
 
Last edited by a moderator:
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013
Mkisikia neno 'Slaa' mnaruka kama mmekalia msumari wa moto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Haya majimbo yatakuwa kwa mujibu wa katiba mpya ya CHADEMA au ya Nchi?. katiba ya CHADEMA wala haijayataja achilia mbali kuyatambua.
kwa kuangalia katiba ya sasa inautambua mkoa kwa kuainisha na kusema;
Wakuu wa Mikoa Sheria ya 1984 Na.15 ib.9

61.-(1) Kutakuwa na Mkuu wa Mkoa kwa kila mkoa katika Jamhuri ya Muungano ambaye, bila ya kuathiri ibara ndogo ya (3), atakuwa ni kiongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Bara watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Waziri Mkuu.
(3) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Zanzibar watateuliwa na Rais wa Zanzibar baada ya kushauriana na Rais.
(4) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (5), kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge.

Cha kushangaza CHADEMA kwa sasa wanafanya shughuli ambazo haziko katika katiba ya chama na kwa maana hiyo, wanavunja katiba ya chama kwa sababu kifungu ambacho kinatambua majimbo ambayo muundo wake siyo huu wanaoufanya kwa sasa ni ;

7.6 NGAZI ZA JIMBO ZA CHAMA
Patakuwa na Majimbo ya chama kwa taratibu zitakazowekwa na Baraza Kuu kutokana
na mahitaji ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii
7.6.1 Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Jimbo
Wajumbe wote wa mabaraza ya uongozi ya mikoa inayounda Jimbo husika.
7.6.2 Kazi za Baraza la Uongozi la Jimbo
(a) Kushauri chama juu ya mambo mbalimbali ya kisera kuhusu Jimbo husika.
(b) Kuchagua mjumbe kuwakilisha jimbo kwenye Baraza Kuu
7.6.3 Vikao vya Baraza la Uongozi la Jimbo vitakutana kila baada ya miaka miwili na nusu.
Mkutano maalum/dharura yaweza kuitishwa

Hapo chini umedadavua vizuri sana wengi watanufaika na mada hii umeelezea kwamba katiba ya chadema kwa sasa inataja kuwa

Patakuwa na Majimbo ya chama kwa taratibu zitakazowekwa na Baraza Kuu kutokana
na mahitaji ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii
7.6.1 Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Jimbo
Wajumbe wote wa mabaraza ya uongozi ya mikoa inayounda Jimbo husika.
7.6.2 Kazi za Baraza la Uongozi la Jimbo
(a) Kushauri chama juu ya mambo mbalimbali ya kisera kuhusu Jimbo husika.
(b) Kuchagua mjumbe kuwakilisha jimbo kwenye Baraza Kuu
7.6.3 Vikao vya Baraza la Uongozi la Jimbo vitakutana kila baada ya miaka miwili na nusu.
Mkutano maalum/dharura yaweza kuitishwa

Kinachofanyika kwa sasa ndicho kilichomo kwenye katiba majibo ya kichama kwa sasa ni kumi,mapendekezo ya serikali ya majimbo chadema wamepeleka tayari kwenye tume ya katiba ,manake limewekwa wananchi walijadili,walipigie kula wakubaliane kwa upande wa kichama wanachedema wameridhia ndio maana unaona wanaandaa na kushiriki kwenye zinduzi za majimbo ya kichama
 
kila kinacho fanywa na CDM kinaangaliwa kwa jicho la Tatu, wakifanya magamba wao ni watawala...CDM wamejipanga kugatulisha madaraka kwa watu karibu ambao ni uamuzi wa Baraza Kuu la CDM lililo kaa Dar...sasa tatizo liko wapi?
 
MKAKATI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kugatua madaraka kwa kutafsiri sera yake ya majimbo, umeanza kazi rasmi katika kanda zake 10, na sasa Kanda ya Ziwa Magharibi imetangaza kikosi kazi kilichosheni wataalamu wa fani mbalimbali.
Kanda hiyo inayohusisha mikoa ya Geita, Kagera na Mwanza, ilizinduliwa wiki iliyopita mkoani Mwanza, mbele ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe.
Mkutano wa uzinduzi wa kanda hiyo uliohudhuriwa na wajumbe wa mabaraza ya uongozi, wabunge na madiwani kutoka mikoa hiyo, uliwachagua watu sita kuunda timu ya muda ya uratibu wa kanda kwa miezi mitatu.
Waliochaguliwa kuongoza kanda hiyo ni Peter Mekere (Mwenyekiti), Dk. Rodrick Kabangila (Makamu Mwenyekiti), Renatus Bujiku (Katibu), Cecilia Odemba (Mhazini) na Tungaraza Njugu.
Mekere ni mtaalamu mshauri wa biashara na utawala na mafunzo ya biashara. Ana shahada ya biashara na uongozi na stashahada ya ualimu. Ni mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango ya Shirika la nyumba la Taifa (NHC), Kanda ya Ziwa.
Kabangila ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Afya, Bugando, daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu na Makamu wa Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT).
Ana shahada ya uzamili ya magonjwa ya wanadamu, shahada ya udaktari, shahada ya uzamili, epidemilojia na utafiti wa huduma za afya.
Bujiku ni mwalimu, mtaalamu mshauri, ofisa wa kanda ya ziwa wa shirika la ACORD kwa muda sasa. Ana shahada ya uzamili, uongozi na mipango, shahada ya Elimu, Stashahada ya Maendeleo na misaada ya kiutu.
Njugu amekuwa Meneja wa shirika la kijamii (CACT-Mwanza 2008-2010), meneja wa Chama cha Akiba na Mikopo (MWAUWASA SACCOS 2007 hadi sasa) ana cheti cha uhasibu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) na cheti cha sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Odemba ni Meneja masoko katika usafiri wa anga, mkurugenzi wa kampuni ya uwakala ya usafiri wa anga, na amewahi kuwa katibu wa kamati ya uhamasishaji ya vuguvugu la mabadiliko (M4C) kanda ya Ziwa.
Akizungumza na gazeti hili, Mekere alisema: “Timu yetu imetokana na watu wenye taaluma mbalimbali ambao wamekuwa wakitafuta nafasi kukisaidia chama kupitia taaluma zao. Tunaipongeza CHADEMA kwa kuanzisha sera ya majimbo kuandaa Watanzania kupata maendeleo kwa haraka kwani utaratibu huu wa majimbo ya chama unarudisha mamlaka kwa wananchi, na ni maandalizi ya kuongoza nchi.
“Kwa utaratibu huu wananchi wamerudishiwa madaraka yao, wana nafasi ya kuamua kuhusu rasilimali zao na kupanga namna ya kuzitumia. Utaratibu huu unaharakisha maendeleo tofauti na mfumo wa kimikoa uliowekwa na CCM.”

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]
na Josephat Isango

[/TD]
[TD="width: 140, bgcolor: #FFFFFF"]
amka2.gif

[/TD]
source: Tanzania daima
Safi sana Chadema. Najua wasiopenda mabadiliko watasema sana lakini ukweli utaendelea kuthihiri daima.
 
Haya majimbo yatakuwa kwa mujibu wa katiba mpya ya CHADEMA au ya Nchi?. katiba ya CHADEMA wala haijayataja achilia mbali kuyatambua.
kwa kuangalia katiba ya sasa inautambua mkoa kwa kuainisha na kusema;
Wakuu wa Mikoa Sheria ya 1984 Na.15 ib.9

61.-(1) Kutakuwa na Mkuu wa Mkoa kwa kila mkoa katika Jamhuri ya Muungano ambaye, bila ya kuathiri ibara ndogo ya (3), atakuwa ni kiongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Bara watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Waziri Mkuu.
(3) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Zanzibar watateuliwa na Rais wa Zanzibar baada ya kushauriana na Rais.
(4) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (5), kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge.

Cha kushangaza CHADEMA kwa sasa wanafanya shughuli ambazo haziko katika katiba ya chama na kwa maana hiyo, wanavunja katiba ya chama kwa sababu kifungu ambacho kinatambua majimbo ambayo muundo wake siyo huu wanaoufanya kwa sasa ni ;

7.6 NGAZI ZA JIMBO ZA CHAMA
Patakuwa na Majimbo ya chama kwa taratibu zitakazowekwa na Baraza Kuu kutokana
na mahitaji ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii
7.6.1 Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Jimbo
Wajumbe wote wa mabaraza ya uongozi ya mikoa inayounda Jimbo husika.
7.6.2 Kazi za Baraza la Uongozi la Jimbo
(a) Kushauri chama juu ya mambo mbalimbali ya kisera kuhusu Jimbo husika.
(b) Kuchagua mjumbe kuwakilisha jimbo kwenye Baraza Kuu
7.6.3 Vikao vya Baraza la Uongozi la Jimbo vitakutana kila baada ya miaka miwili na nusu.
Mkutano maalum/dharura yaweza kuitishwa

Unaopinga na kukubali mwenyewe!! Mi mtu mingine bwana!!!! Unafikiri una akili kuwazidi kamati kuu ya CHADEMA wewe? Kuna akina prof Baregu, Prof Safari, Prof Kahigi na Madaktari wa kusomea wa kutosha, achilia mbali master's holders, Bachelors, form SIX, Form IV Darasa la Saba na wasio soma wasio na idadi....you can not be intellectual kutupita sisi tulioamua kuanzisha hii sera na kuisimamia kwa vitendo! Moto unawaka na hamuwezi kuuzima kwa kumwagia maji!!!
 
Back
Top Bottom