MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Bado hawajafikiria ulichofikiria wewe wako bize na masherehe ya uzinduzi.
kwani ufisadi na wizi wa
mali ya uma CCM wanatumia katiba gani?
Bado hawajafikiria ulichofikiria wewe wako bize na masherehe ya uzinduzi.
.Hiki kitu niliwahi kukihoji kwa mwenyekiti wangu mkoa Cleo bila majibu,elimu juu ya uendeshaji wa jambo hili unapaswa kueleka vema kwa wanachama ili wajue jinsi kutumia fursa hiyo.Kanda zinaongozwa kwa utaratibu gani wa Katiba ya CHADEMA?
Jangakuu mimi naona kama kueleweshwa wameeleweshwa sana ila nadhan wamegoma tu kuelewa. Jana watu walikuja hadi na raman ya Tanzania kuonyesha mipaka ya mikoa na wakasema kwa huo utaratibu wa chadema inabd mipaka ya mikoa ibadilishwe.mkuu haya ni majimbo kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za Chama. ni sawa na mikoa ya kipolisi Tanzania mkoa wa kinondoni, mkoa wa Temeke au mkoa wa Ilala .kikatiba hiyo siyo mikoa ni wilaya, lakini kipolisi inaitwa mikoa kwa ajili ya kurahishisha Utekelezaji wa kazi za kipolisi. So the same kwa Chadema kuwa na majimbo ambayo kwa sasa wanayatumia kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za chama in which ,Chadema ikishinda uchaguzi 2015. itakuwa tayari kubadilisha katiba na utaratibu wa majimbo ukaanza kutumika kikatiba. Umeelewa SOMO Mkuu?
Unataka kusemaje kijana?? kwa kutaja neno ''utaambiwa mdini'' tayari umeshaonesha wewe ni mdini, mimi pia nimeona hao viongozi ila wazo la wanatoka dini gani au majina yao yamekaa kidini gani wala halikunijia akili kabisa. Nilichoangalia ni wana elimu gani kwisha mana mtoa mada katualeza kuwa hilo baraza limesheheni wataalamu. Bro wewe mdini!! Ni aibu sana kwa kijana wa karne hii kuwa na vijielement hivyo na actually wewe ni sehemu ya tatizo la udini. Badilika!!Nimeona majina yao mmm!! Ngoja nikae kimya nikihoji taambiwa mdini.
Haya majimbo yatakuwa kwa mujibu wa katiba mpya ya CHADEMA au ya Nchi?. katiba ya CHADEMA wala haijayataja achilia mbali kuyatambua.
kwa kuangalia katiba ya sasa inautambua mkoa kwa kuainisha na kusema;
Wakuu wa Mikoa Sheria ya 1984 Na.15 ib.9
61.-(1) Kutakuwa na Mkuu wa Mkoa kwa kila mkoa katika Jamhuri ya Muungano ambaye, bila ya kuathiri ibara ndogo ya (3), atakuwa ni kiongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Bara watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Waziri Mkuu.
(3) Wakuu wa Mikoa katika Tanzania Zanzibar watateuliwa na Rais wa Zanzibar baada ya kushauriana na Rais.
(4) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (5), kila Mkuu wa Mkoa, atakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli zote za Serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mkoa aliokabidhiwa; na kwa ajili hiyo, atatekeleza kazi na shughuli zote zilizotajwa na sheria, au kwa mujibu wa sheria kama hizi au shughuli za Mkuu wa Mkoa na atakuwa na madaraka yote yatakayotajwa na sheria yoyote iliyotungwa na Bunge.
Cha kushangaza CHADEMA kwa sasa wanafanya shughuli ambazo haziko katika katiba ya chama na kwa maana hiyo, wanavunja katiba ya chama kwa sababu kifungu ambacho kinatambua majimbo ambayo muundo wake siyo huu wanaoufanya kwa sasa ni ;
7.6 NGAZI ZA JIMBO ZA CHAMA
Patakuwa na Majimbo ya chama kwa taratibu zitakazowekwa na Baraza Kuu kutokana
na mahitaji ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii
7.6.1 Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Jimbo
Wajumbe wote wa mabaraza ya uongozi ya mikoa inayounda Jimbo husika.
7.6.2 Kazi za Baraza la Uongozi la Jimbo
(a) Kushauri chama juu ya mambo mbalimbali ya kisera kuhusu Jimbo husika.
(b) Kuchagua mjumbe kuwakilisha jimbo kwenye Baraza Kuu
7.6.3 Vikao vya Baraza la Uongozi la Jimbo vitakutana kila baada ya miaka miwili na nusu.
Mkutano maalum/dharura yaweza kuitishwa
Hivi hili suala la udini hapa wamelitoa wap?? kwani wakati wanapatikana hao viongozi waliwekewa kigezo cha udini???Hivi hizi dini siku hizi zimeanza kugawa viroba vya unga kwa waumini wao??? mbona waumini kama wamewehuka hivi??akili za punguani hizo, watu wanachaguliwa kwa vigezo vya taaluma, uzoefu n.k sijawahi kuona mtu anayechaguliwa kwa kigezo cha dini! Dini ni imani na haina uhusiano na utendaji wa kazi!
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013
Mkuu ninaisoma katiba ya CHADEMA katika macho mawili ndiyo maana nikaleta kifungu kutoka ndani yake lakini utendaji unaofanyika kwa macho yangu ni tofauti. Hata sheria inaweza kuwepo lakini mara nyingi huwa inakuwa challenged kulingana na jinsi ilivyotumika katika eneo fulani. Huu ni mtazamo wangu.
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013
Zaidi ya kutokuwepo utaratibu unaoeleweka,Kanda zinaongozwa kwa utaratibu gani wa Katiba ya CHADEMA?
Haya majimbo yatakuwa kwa mujibu wa katiba mpya ya CHADEMA au ya Nchi?. katiba ya CHADEMA wala haijayataja achilia mbali kuyatambua.
kwa kuangalia katiba ya sasa inautambua mkoa kwa kuainisha na kusema;
Wakuu wa Mikoa Sheria ya 1984 Na.15 ib.9
Ng'wamapalala
Hizo kanda ni sera ya chama si serikali.
Chama kina utaratibu wake katika utendaji na kama unapokeleka na wananchi na kuchukua dola basi sera zao zitafanyiwa kazi na bunge ili mabadiliko ya mfumo wa serikali kiutendaji yafanyike, na pale itakapohitajika kifungu cha katiba kirekebishwe basi amendment itafanyiwa ili kujenga utekelezaji wa sera ya chama kinachoshika dola kuongoza nchi.
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013
Zaidi ya kutokuwepo utaratibu unaoeleweka,
- Je ni vigezo gani vimetumika kuunda hizo kanda?
- Je wananchi hawana haki ya kujumuishwa kwenye uamuzi mkubwa kama huo?
- Hayo maendeleo yanaletwaje kwa kuundwa kwa kanda?
Well, Viongozi wanadai iko kamili na ndiyo maana kwa sasa inakuwa effectuate nchini kote. Let's wait and see.Hii sera ya majimbo sidhani kama imekubalika na kila mtu ndani ya CDM. Nafikiri ni hoja iliyoshinikizwa na baadhi ya watu/viongozi na ndio maana hata kwenye katiba ya CDM bado haijakamilika.
Well, Viongozi wanadai iko kamili na ndiyo maana kwa sasa inakuwa effectuate nchini kote. Let's wait and see.
Chandid Scope,
Hili lingewekwa wazi wakati wa mikutano ya CDM na ndani ya katiba yao ili hawa wafuasi wao, wengi wao wakiwa watu wasioelimika, waweze kulielewa. Kwani kama ukiangalia mtoa hoja alivyoandika, utaona dhahiri kuwa wao wanalielewa vingine. Wanategemea CDM ikiingia madarakani, basi wao waanze kuongoza hayo majimbo yao ASAP na haliwahusu waTanzania wengine wasiokiunga mkono CDM.