CHADEMA Kanda ya Ziwa Magharibi yatangaza kikosi

CHADEMA Kanda ya Ziwa Magharibi yatangaza kikosi

mkuu haya ni majimbo kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za Chama. ni sawa na mikoa ya kipolisi Tanzania mkoa wa kinondoni, mkoa wa Temeke au mkoa wa Ilala .kikatiba hiyo siyo mikoa ni wilaya, lakini kipolisi inaitwa mikoa kwa ajili ya kurahishisha Utekelezaji wa kazi za kipolisi. So the same kwa Chadema kuwa na majimbo ambayo kwa sasa wanayatumia kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za chama in which ,Chadema ikishinda uchaguzi 2015. itakuwa tayari kubadilisha katiba na utaratibu wa majimbo ukaanza kutumika kikatiba. Umeelewa SOMO Mkuu?

Japo ni wagumu kuelewa kwa sababu ya kupinga kila kitu ambacho CHADEMA wanakifanya, lakini naamini AT LEAST ATAKUWA AMEKUELEWA JAPO WANAJITAHIDI KUJITOA AKILI!!!
 
Ni mwenyekiti wa kamati ya fedha na mipango ya Shirika la nyumba la Taifa (NHC), Kanda ya Ziwa.
Kabangila ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Afya, Bugando, daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu na Makamu wa Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT).
( Nawatakia kazi njema lakini napenda kuwapa changamoto kuwa CCM wamekuwa na utaratibu wa kuwashughulikia wafanyakazi wa serikali ambao wako au wanaonyesha kuwa na mapenzi na vyama vya upinzani,hivyo hii ni changamoto ambayo ipo na nina uhakika very soon mtakutana nayo,sina jibu la moja kwa moja la nini mtafanya au ushauri lakini lazima mkubali kuwa mabadiliko yoyote yana changamoto zake,Mimi nawatakia kazi njema M4C 4REVER!

Bado nausubiria uzinduzi wa CHADEMA kanda ya kati. Lazima nijumuike nao.
 
Tatizo lako Ng'wamapalala unaisoma katiba ya Chadema huku akilini mwako umeshaamua kutouona ukweli. Mathalani ibara ya 7.6 ambayo mwenyewe umeiquote iko very clear kuhusiana na uanzishwaji wa majimbo sasa kwakuwa umevurugwa unaihusisha na mgawanyo wa kiutawala wa kiserikali.
Mapenzi yako kwa ccm yanapunguza ufanisi wa akili yako hata kwa mambo yaliyokuwa dhahiri sana kama hili la majimbo.
Mkuu ninaisoma katiba ya CHADEMA katika macho mawili ndiyo maana nikaleta kifungu kutoka ndani yake lakini utendaji unaofanyika kwa macho yangu ni tofauti. Hata sheria inaweza kuwepo lakini mara nyingi huwa inakuwa challenged kulingana na jinsi ilivyotumika katika eneo fulani. Huu ni mtazamo wangu.
 
Umandika Utumbo
Bora utumbo, wapi wa kwako ambao siyo utumbo.
Wewe ndiyo wale wale kama mbwa anaejidai kubweka huku mkia amekunja ndani ya mapaja yake. Kama huwezi kujibu utumbo, kaa kimya ili tuendelee kufikiria kama kichwani mwako zipo.
 
Unaopinga na kukubali mwenyewe!! Mi mtu mingine bwana!!!! Unafikiri una akili kuwazidi kamati kuu ya CHADEMA wewe? Kuna akina prof Baregu, Prof Safari, Prof Kahigi na Madaktari wa kusomea wa kutosha, achilia mbali master's holders, Bachelors, form SIX, Form IV Darasa la Saba na wasio soma wasio na idadi....you can not be intellectual kutupita sisi tulioamua kuanzisha hii sera na kuisimamia kwa vitendo! Moto unawaka na hamuwezi kuuzima kwa kumwagia maji!!!
Unachofanya hapa ni kubwabwaja tu. kwako wewe hawa unaowaita wasomi wakiwa ndani ya serikali unasema hawafai, lakini pindi wakiwa nje wanakuwa wasomi mahili.
Kama hoja yangu haikufai, achana nayo lakini siyo kuja na hoja ambayo kwako hawa ni miungu mtu, kwa maana kwamba kila kitu wanachokifanya ni absolutely perfect. Umepewa akili ili uitumie kama wao wanavyotumia akili yao. Afterall, tambua hawa ni binadamu kama wewe. Nothing more.
 
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013

Mkuu hivi ule mradi wa simu ulioanzisha umeachana nao?Wenzako mbona wameenda CCM na wewe bado upo tu?Fanya uamuzi
 
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013

Maneno ya mkosaji hayo......Kwa hali yoyote ile ndo mnaelekea kaburini hivyo ohooo!
 
mkuu haya ni majimbo kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za Chama. ni sawa na mikoa ya kipolisi Tanzania mkoa wa kinondoni, mkoa wa Temeke au mkoa wa Ilala .kikatiba hiyo siyo mikoa ni wilaya, lakini kipolisi inaitwa mikoa kwa ajili ya kurahishisha Utekelezaji wa kazi za kipolisi. So the same kwa Chadema kuwa na majimbo ambayo kwa sasa wanayatumia kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za chama in which ,Chadema ikishinda uchaguzi 2015. itakuwa tayari kubadilisha katiba na utaratibu wa majimbo ukaanza kutumika kikatiba. Umeelewa SOMO Mkuu?

This sounds good Mkuu. Kama wauliza maswali ni wania yakuelewa.
 
Kwani CHADEMA watachukua nchi mwaka 2015 ?

Thubutuuuu....!!
 
ziwe kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama kitakufa kabla ya 2013

Achana na akili za kukopa na utumie za kuazma, make naona umejichanganya kuingia darasa la wakubwa,hizo nguvu unazotumia kumkataa rais mtarajiwa 2015 zitumie kumpinga rais aliyepoteza
mwelekeo sasa taifa linaenda kwa kufuata upepo mithiri ya jahazi utapinga sana mwisho utajipinga mwenyewe.
 
ziwe
kanda.santur.cd.dvd.tape bila kumtoa babu pale kwenye ukatibu mkuu chama
kitakufa kabla ya 2013

Kwenye msafara wa Mamba, hata Kenge wamo. Humu JAMVINI kuna Mamba ila wewe ni Kenge.
 
Kanda zinaongozwa kwa utaratibu gani wa Katiba ya CHADEMA?

Huu ni utaratibu chama kimewekwa kwa ajiri ya kuwafikia wananchi kwa uharaka na urahisi. Ni kuvunja vunja maaeneo ili yafikike kirahisi. Hii ni kwa ajili ya chadema tu. Nia ni M4C imfikie kila mtanzania. Katiba itaendelea kuwa ileile. wakati ccm wanatembea inatubidi chadema tukimbie. so usitake tucheze ngoma ya magamba. mia
 
mkuu haya ni majimbo kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za Chama. ni sawa na mikoa ya kipolisi Tanzania mkoa wa kinondoni, mkoa wa Temeke au mkoa wa Ilala .kikatiba hiyo siyo mikoa ni wilaya, lakini kipolisi inaitwa mikoa kwa ajili ya kurahishisha Utekelezaji wa kazi za kipolisi. So the same kwa Chadema kuwa na majimbo ambayo kwa sasa wanayatumia kwa ajili ya kurahishisha Shughuli za chama in which ,Chadema ikishinda uchaguzi 2015. itakuwa tayari kubadilisha katiba na utaratibu wa majimbo ukaanza kutumika kikatiba. Umeelewa SOMO Mkuu?

Mkuu hapo kwenye red, mvumilie kidogo maana sisi Wasukuma huwa inatuchukua muda mrefu sana kuja kuelewa kitu. Kwa hiyo hilo tutusa usifikiri litaelewa somo sasa hivi, lipe muda mkuu!! Ila uzuri wetu tena tukishaelewa huwa hatubadiliki ovyo ovyo!!

Pole sana Ng'wamapalala, Bariadi Mkoa wa Simiyu!!
 
Mkuu ninaisoma katiba ya CHADEMA katika macho mawili ndiyo maana nikaleta kifungu kutoka ndani yake lakini utendaji unaofanyika kwa macho yangu ni tofauti. Hata sheria inaweza kuwepo lakini mara nyingi huwa inakuwa challenged kulingana na jinsi ilivyotumika katika eneo fulani. Huu ni mtazamo wangu.

ZAWADI NONO YA SHS.600,000
Kwa member atayeweka post yeyote ya huyu bwana ya ''eitha akiunga mkono harakati za CDM au akikosoa na kutoa kutoa ushauri harakati za CDM''
 
Mkuu hapo kwenye red, mvumilie kidogo maana sisi Wasukuma huwa inatuchukua muda mrefu sana kuja kuelewa kitu. Kwa hiyo hilo tutusa usifikiri litaelewa somo sasa hivi, lipe muda mkuu!! Ila uzuri wetu tena tukishaelewa huwa hatubadiliki ovyo ovyo!!

Pole sana Ng'wamapalala, Bariadi Mkoa wa Simiyu!!

ZAWADI NONO YA SHS.600,000
Kwa member atayeweka post yeyote ya huyu bwana Ng'wamapalala ya

  • ''eitha akiunga mkono harakati za CDM au akikosoa na kutoa kutoa ushauri harakati za CDM''
  • Ya kukiri kuelewa kitu baada ya wachangiaji kufanya jitihada za kummulikia njia
 
Mkuu hapo kwenye red, mvumilie kidogo maana sisi Wasukuma huwa inatuchukua muda mrefu sana kuja kuelewa kitu. Kwa hiyo hilo tutusa usifikiri litaelewa somo sasa hivi, lipe muda mkuu!! Ila uzuri wetu tena tukishaelewa huwa hatubadiliki ovyo ovyo!!

Pole sana Ng'wamapalala, Bariadi Mkoa wa Simiyu!!
Somo gani hapo amenipa.
Halafu mimi siyo mpenzi wa matusi lakini vile vile siyo kwamba siyawezi. Kwani ukiongea bila kuweka hilo neno hauwezi kueleweka. Maelezo yako yanaakisi kina cha akili yako. Jenga hoja, Kama huoni sina hoja, achana na mimi.

Eti Msukuma!!. Msukuma wa kubumba tu asiyekuwa na heshima kwa wenzake.
 
Back
Top Bottom