promiseme
JF-Expert Member
- Mar 15, 2010
- 2,706
- 934
Huna mpya wewe..Zitto yupo na ATAZIDI KUWEPO. kwahiyo jipange ............Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Cc Crashwise