Mwenyekiti amekulia katika familia ya kitajili, hajui shida za wananchi - Waraka
Mwenyekiti anafanya siasa ki-local local - Waraka
Mwenyekiti anaelimu ndogo sana - Waraka
UNAMUONA UYU MWEHU WA KIKE,,, BADALA YA KUJIKITA KT MADA ANAISHIA KTOA IYO COMENT,
NDO HAWA WATEULE WALOPEWA LAPTOP NA CCM THR MAKAMBA Jr. KUWAFANYIA PROPAGANDA,
NAOMBA MNIAMINI KUWA MKIMUONA MBWA JUU YA MTI LAZIMA ATAKUWA KAPANDISHWA, i.e. KTK TEAM YA LUMUMBA sr Magdalena lzm kabebwa, na nadhani ni chakula cha mwigulu mpenda totoz REF: Kitendo chake cha ktembea na mke wa mtu igunga
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina deteals za kuvuriga chama zaidi ya zitto
Cc Crashwise
Hivi mbona siku hizi Zitto anahudhuria vikao vya bunge? Nauliza kwa kuwa kwa muda mrefu nilikuwa simwoni. Vipi, amesitisha safari zake au hajapewa fedha? Mara nyingi alikuwa nje ya nchi.
KAWAVURUGE kama hawajakufanya kama CHACHA WANGWE! Kumbe unayajua maovu yao halafu unayaficha? We hulitakii mema taifa hili, we ni mnafiki wa kutupwa kama MBOWE NA SLAA.Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina deteals za kuvuriga chama zaidi ya zitto
Cc Crashwise
Hivi kweli bado mwanachama wa chadema mbona anamsaidia kwa karibu naibu katibu mkuu wa CCM asiyeshirikiana na secretariat bali anashirikiana na zitto zaidi ha haChadema hawana ubavu wa kumvua Zitto uanachama kwa hiyo anza tu. Unangoja siku 14 zipi tena?
:bange::dance::drum:Zitto Zuberi Kabwe
Chadema
Questions (10)
Supplementary question (39)
Contributions (149) Kijana anapiga shule huko nje, usifikiri yeye ni kama akina DJ Baba Freelady. Tatizo ni wivu mlio nao kwa zzk. Mbona hamumuulizi Mbowe kumiliki nyumba South Africa, Dubai na Marekani? Hawa jamaa hawatufai kabisa kutuongoza na hawatakuja kuliongoza taifa hili kamwe. Wanafiki. Wazandiki. Wana choyo. Wana roho mbaya. Wauaji. Watekaji na watesaji.
Mbowe Aikael Freeman
Chadema
Questions (6)
Supplementary question (34)
Contributions (46)
Lema Jonathan Godbless
Chadema
Questions (1)
Supplementary question (2)
Contributions (12)
Mwenye macho haambiwi tazama, hatudanganyiki
KIongozi wa uzinzi nchini yuko magogoni ref. wakuu wa wilaya na mikoa ha ha ha na ubunge wa nafasi maalumuTungeanza na KUB
KUB = Kiongozi wa Uzinzi Bungeni Ref. Viti Maalum
Wenzake wakijenga chama na kupambana na polisi na mahakama za CCM yeye yuko bungeni kutekeleza yale aliyokubaliana na MACCM for now he is on run Lema kamkalia koo ataje majina ya walio na hera uswisiZitto Zuberi Kabwe
Chadema
Questions (10)
Supplementary question (39)
Contributions (149)
Mbowe Aikael Freeman
Chadema
Questions (6)
Supplementary question (34)
Contributions (46)
Lema Jonathan Godbless
Chadema
Questions (1)
Supplementary question (2)
Contributions (12)
Mwenye macho haambiwi tazama, hatudanganyiki
Yaani unasikia mtaani natembea na mama ako mzazi unaniundia bifu kwa kusikia tuhuna ushahidi, hujashirikisha ubongo, mahaba yako kwa akina mbowe ( kama wewe si mbowe) na chuki binafsi na wivu kwa zito zimepofua macho yakoNatangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.Cc Crashwise
siko tayari kuona msaliti analindwa....I say it loud ili wasikie!kama noma na iwe noma!
sugu na msigwa vipi??Zitto Zuberi KabweChademaQuestions (10)Supplementary question (39)Contributions (149)Mbowe Aikael FreemanChademaQuestions (6)Supplementary question (34)Contributions (46)Lema Jonathan GodblessChademaQuestions (1)Supplementary question (2)Contributions (12)Mwenye macho haambiwi tazama, hatudanganyiki
Hahahaha, Lema na KUB watupe majina ya waliolipua bomu Arushafor now he is on run Lema kamkalia koo ataje majina ya walio na hera uswisi
huyo yuko taabani anahitaji drip ya vitamin hata uingie humu kwa ID mia kumserve amebaki makapi alivyopandishwa ndivyo alivyoshushwa arudishe brief case la watu lekendu na hizo million miambili hamsini