mpenda pesa
Member
- Nov 27, 2013
- 8
- 1
Mapenzi yakizidi sana yanaitwa lumbwata usiegemee upande mmoja tafakar na fanya tafiti ukweli upo wapi zitto ni muas katika hizi harakati za mapinduzi
Sekeseke linaloendelea ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo chadema inaonekana kama mchezo wa kuigiza, ambapo mwanzoni walimvua nyadhifa zake zote ndani ya chama mh. Zitto na kuahidi kumfukuza uanachama mwanasiasa huyo anayependwa na vijana wengi nchini lakini haikuwa hivyo mpaka sasa kwa kuogopa kukisambaratisha chama, mwisho sinema hii inapoishia ni kumrejeshea Zitto nafasi zake zote ndani ya chama kutokana na mwasisi wa chama hicho Edwin Mtei kukiri kuwa Zitto ni makini ni mwanasiasa asiyetetereka ni hazina ya chama baadaye alisema mtei.
Ndugu wanajamvi naomba kupata ufafanuzi kuhusu usaliti wa zitto uko katika misingi ipi.
Nimekuwa nikifuatilia mda sasa swala la zitto kabwe na usaliti anaohusishwa, ila sijapata kuona mtu anayekuja na taarifa ya uhakika kuwa zitto kakisaliti chama kwa namna hii.
Wengi wamekuwa wakisema kapokea rushwa kutoka ccm ila cha kushangaza tuhuma hii mnyika alikanusha, slaa na mtei kupitia walaka wa siri wa zitto. Kuhusu sakata la waraka wa mabadiliko ya 2013, wahusika waliouandaa walikiri kwa maandishi kuwa niwao ila zitto hahusiki.
kinachonishangaza kila kukicha zitto ndo anazidi kuhusishwa na kila aina ya tuhuma hapa nchini, hata swala la mbowe kahusishwa, yani kila baya zitto yumo.
Je? Nikweli anahusishwa kwa sababu ya usaliti au watu hawamtaki kwa sababu hawamtaki? Jamani napenda nami kujua na si kutetea upande wowote.
Wangesema kwa style ipi ndio ungesema ni habari ya uhakika?Ndugu wanajamvi naomba kupata ufafanuzi kuhusu usaliti wa zitto uko katika misingi ipi.
Nimekuwa nikifuatilia mda sasa swala la zitto kabwe na usaliti anaohusishwa, ila sijapata kuona mtu anayekuja na taarifa ya uhakika kuwa zitto kakisaliti chama kwa namna hii.
Wengi wamekuwa wakisema kapokea rushwa kutoka ccm ila cha kushangaza tuhuma hii mnyika alikanusha, slaa na mtei kupitia walaka wa siri wa zitto. Kuhusu sakata la waraka wa mabadiliko ya 2013, wahusika waliouandaa walikiri kwa maandishi kuwa niwao ila zitto hahusiki.
kinachonishangaza kila kukicha zitto ndo anazidi kuhusishwa na kila aina ya tuhuma hapa nchini, hata swala la mbowe kahusishwa, yani kila baya zitto yumo.
Je? Nikweli anahusishwa kwa sababu ya usaliti au watu hawamtaki kwa sababu hawamtaki? Jamani napenda nami kujua na si kutetea upande wowote.
Mkuu uzi wako umetaja kila baya ambalo amelifanya Zitto kwa vijana na nakuunga mkono na miguu. Mim ni mmoja wa watu ambao kwa mdomo wa Zitto niliingia chadema na kwa mapenzi na hekima ya Mungu ikaniondoa chadema.
MUNGU NI MWEMA..AHIMIDIWE MILELE NA MILELE
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Hilo ulisemalo wenzio wenye chadema wamekataa kuwa ule waraka haukutoka chadema. Kwahiyo hawana, na ndio maana zzk kawashtaki chadema kwa msajili wa vyama wewe.. Haulijuwi hilo, uliza kaka.usiwe na munkali jomba, ni ka muda tu, utamuona zito akiwa chali,
uyu zito kala ela ya ccm yani mpango wa ccm alokuwa akiutekeleza pale chadema umebuma ivo naye lazima nae atabomolewa
UNAMUONA UYU MWEHU WA KIKE,,, BADALA YA KUJIKITA KT MADA ANAISHIA KTOA IYO COMENT,
NDO HAWA WATEULE WALOPEWA LAPTOP NA CCM THR MAKAMBA Jr. KUWAFANYIA PROPAGANDA,
NAOMBA MNIAMINI KUWA MKIMUONA MBWA JUU YA MTI LAZIMA ATAKUWA KAPANDISHWA, i.e. KTK TEAM YA LUMUMBA sr Magdalena lzm kabebwa, na nadhani ni chakula cha mwigulu mpenda totoz REF: Kitendo chake cha ktembea na mke wa mtu igunga