ndio unaamuka kawaulize wango,oa kucha na watoboa macho watu rafiki yako kwisney anapapatika kabla hajakata roho anahitaji drip kule kukonda sio kawaida utafikiri yuko kwenye dose za ARVviboko zaidi vinahitjika muadhibuni tu kwa kuwapoteza wengu

ndio unaamuka kawaulize wango,oa kucha na watoboa macho watu rafiki yako kwisney anapapatika kabla hajakata roho anahitaji drip kule kukonda sio kawaida utafikiri yuko kwenye dose za ARV
mbona anahangaika choo cha kike umeingizwa weye ulidhani mali kumbe tambara watu wamepigia deki wametupa hukoMuongezeeni fimbo za kutosha kwa kuwa kawaingiza cha kike wengi sana
nimejikuta nabaki kushangaa, kuona kila baya linalotokea nchini humu lazima uhusishwe.
Usalti wa chama chako wewe, kupokea posho kwa kificho wewe, kupokea rushwa toka ccm wewe, kuratibu wavurugaji wa mikutano ya mbowe na slaa wewe, umalaya wewe, pesa za uswis wewe. Cha kushangaza zaidi hata hili la kiogozi wetu mkuu wa chama,mh mbowe wanasema zitto kashirikiana na mwinguru kuratibu. Sasa kabla watu hawajamuhusisha zitto kwa hili tujiulize kwanza nikweli mbowe kafanya hivo kweli? Kama nikweli zitto kahusika vipi?
Nataka kuuliza nibinadamu gani ambaye anaweza kufanya vitu vyote kwa mpigo?
Siku wakikuta kuna mtu kajisaidia pale stend ya ubungo watu watasema zitto kahusika. Jamani hayo yote anayorushiwa zitto yana uhalisia au ni kusadikika tu kwa hisia za chuki?
Fukuza Wasaliti hao!
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Cc Crashwise
Juliana juliana hata wewe, si useme basi hasira yako ni nini kweli unamchukia kaka. Juliana si anakupenda? Kweli kuishi kwingi...Mkuu uzi wako umetaja kila baya ambalo amelifanya Zitto kwa vijana na nakuunga mkono na miguu. Mim ni mmoja wa watu ambao kwa mdomo wa Zitto niliingia chadema na kwa mapenzi na hekima ya Mungu ikaniondoa chadema.
MUNGU NI MWEMA..AHIMIDIWE MILELE NA MILELE
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Cc Crashwise
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Cc Crashwise
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.
Kumbe uozo upo ndani mnaufumbia macho..endelea kujipendeza kwa huyo DJ.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums