Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi

Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Kweli kabisa kwani hata rais wa awamu ya 4 anatoka Kaskazini!
 
Hivi hujisikii aibu kumwaga pumba zako humu?

takwimu zinaonesha mjinga wa mwisho anatoka tanzania na chama chake cha siasa ni ccm b sasa sijui ndio huyu jamaa anaitwa mpesapesa? ila naona ndio yeye maana kakuwa anavigezo vilivyo tolewa na world wide takwimu.
 
Kwani Mwinyi, Mkapa na JKikwete nao wanatoka kaskazini? Au wao sio sababu ya umaskini wa watu wa kusini? Huna hoja ya msingi, na pia wewe sio mwenyeji wa Kusini...!!
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Kwa AKILI hizi mtaendelea kuwa MASIKINI NA WAJINGA wa kutupwa, kwasababu huo ndiyo MTAJI mkubwa wa CCM.

Poleni sana kwa kufanywa na kukubali kuwa MISUKULE ya CCM.
 
Vigezo gani unatumia kupima maendeleo?
kaskazini mbona bado maskini tuu?
Tanzania yooote maskini, hakuna kwenya nafuu, watu wanakosa majia safi na salama, umeme wa uhakika, gharama za maisha ziko juu, chakula hakinunuliki, huo utajiri umetoka wapi???
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Wewe hakika ni muongo kabisa.........sasa hawa watu wako wa Pwani mbona wanauza sana ardhi zao kwa watu haohao wa Kaskazini?
 
chadema mtabaki huko huko kwa washaga,
We ulieanzisha uzi huu utakuwa ni Mwigulu Nchemba kwani wanyiramba huwa hawana "cha" katika matamshi ndo maana badala ya wachaga umeandika "Washaga", utaangaika sana ndugu kuifuatafuata CDM lakini mwisho wa siku aibu itakupata na imeishaanza kukupata. Mnyiramba na watu wa pwani wapi na wapi?
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Mhh!Kumbe Nyerere nae anatoka kaskazini!
 
Jamani huyu punguani mpesapesa hayupo sawa nawaonea huruma mnamjaribu kubshana nae.. Binafsi nilijaribu kubshana nae hadi kwenye PM lkn niligundua kuwa ni Kilaza nikampotezea
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

kuna nyuzi nyingine ukisoma humu uwezi kuamin kama wanaoandika ni ma-great thinker,chadema ni chama cha kaskazini,zitto,wenje,msigwa,arfi,nyerere nao ni wakaskazin????maana mkifika hapo mtachange mada utasikia chama cha uduni,lingine ambalo ni kubwa waambie hao wapwani chadema haijawahi kutawala tanzania so umaskini waliokuwa nao wakawaulize chama chao ccm kitawapa majibu ila uwajibikaji binafsi pia unahusika hapo waache kukaa na kupigwa kumzo,kucheza bao na kupelekana jando saa zote wafanye kazi
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
Umelala unaoteshwa wewe na maghambas hebu zinduka ungana na M4C kusini yoote ni CHADEMA 2012 come what may ukombozi ni lazima!!!

Acha kutufitinisha na wadanganyika wenzetu, Pwani ndio Chimbuko la mabadiliko TZ,

Pwani ndio ilikuwa moja ya ngome kuu za CUF ambao wamekuwa na siasa muflisi na sasa mnaweweseka kuona Pwani wanajiandaa kukabidhi nchi kwa wana ukombozi wa kweli.

Tulihadaika vya kutosha na CCM, tuliongopewa vya kutosha na sasa UKOMBOZI wa kweli unawadia,

Binafsi nimetangaza kuongoza mapambano na CCM katika ardhi yetu tengefu na amini usiamini tukimaliza sisi TZ inaandika historia ya uhuru wa pili na wa kweli

Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
 
Hii ndio kanuni ya liwalo. Hawa CCM hawatakubali kuachia nchi hivi hivi. Wanacho kifanya sasa ni kueneza udini na ukabila na vitisho ili iwe ngumu hata kwa wale watakaoingia madarakani.

Liwalo na liwe haikutoka kienyeji ina kitu nyuma yake.
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Dhambi ya ukabila itaendelea kuwatafuna mpaka kaburini Mpesapesa...
 
Last edited by a moderator:
Mbona wanadola this two year wabadilike wawe kama kaskazini waache ngoma, wapige shule na wafanye kazi kwa bidii. Lakini it will take 50 yrs maana shule zote za kwanza zilikuwa pwani kama minaki azania nk sasa wanataka nini tena.
 
Back
Top Bottom