Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi

Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
umemaliza?
 
Basi usihof mgombea urais 2015 tutamweka kuwa ZITTO KABWE toka kigoma.Hizo udini na ukanda ni sera za ccm za kuivide n rule policy kwa wananchi hadi ndani ya chadema,ukweli ni kwamba chadema pekee ndo kilichokuja na sera zinazoeleweka na ndo mana kote dar-mtwara sasa inakubalika.

Pwani lidumazwa na CCM,angalia tanga ilivyochoka na kuchakaa sasa hakuna viwanda,mashamba yote yameuzwa,angalia mtwara na kusini kwa ujumla wake, kwa nini unadhani nyerere aliamua kuing'oa reli na kwanini hakuamua kujenga barabara kama mbadala, hadi leo kuko hvyo hvyo,mikoa yote ukitajiwa kusini kila m2 anasikia kichefuchef,hadi leo hakujaendelea, umeme ishu na gas wanayo laiti kama ningekuwa natokea kusini ningepigania tujitenge mana ni ubaguzi wa waziwazi, haya pwani ipi hiyo unayoisema wewe?

Ni hao wanaojidanganya kirahisi sababu hawajasoma, na kusini na pwani yote ukiondoa dar na kibaha ndo wa2 wamesoma,ni propaganda 2 za CCM hzo ni kama vile bashir alivyotumia kisingizio cha uarabu kuwapiga waafrika wenzie walioanza kumchoka na kuanza kunyooshea vidole upendeleo wa ukabila aliokuwa anaufanya.
 
Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.

Mbona ipo tayari; naamini wewe ni mzururaji tu hukujui pwani.
 
kuna baadhi ya thread huwa sipendi kuchangia zinaweza kukutumbukiza kwenye bun. muu---zaaa f--cker wewe ken--geee
 
Thread hii sidhani kama imendikwa na mtu mwenye akili timamu, kwa sababu hajui Katiba ya nchi inasemaje wala hajui kama huko anakokusema tayari CHADEMA wamejaa huko bila kupewa ruhusa ya hao anaodhani wanaweza kuwazuia wasikanyage huko. POOR YOU THREAD STARTER
 
Yale yale ya "wazee wa Arumeru hawataki kumwona Lema" kumbe ni propaganda za thithimwewe. Huwezi kuzuia mvua, itanyesha tu na ukikazania kuizuia utaloana tu!!!!
 
Wamesema wangapi?
.kikwete muislam.
2.bilali makamu wa rais muislam.
3.jaji mkuu othman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam.
6.nape nauye katibu mwenyezi wa ccm muislam.
7.mwenyekiti wa uwt sophia simba muislam .
TATIZO NI WAO WAO WENYEWE SIO DINI ZAO UKIWAONGEZA HUMO .
PINDA.
MUKAMA.
ANA MAKINDA
MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA.
MKUU WA MAJESHI
PIUS MSEKWA.
HAWA WOTE TUNAWALAUMU KWA UTENDAJI WAO NI WAZANDIKI WAFILISI WA TAIFA LETU WALA RUSHWA,WAUZAJI WA TAIFA LETU WATUMIAJI UBABE LAKINI NI UFISADI WAO NDIO TUNAOULAANI SIO DINI ZAO.NA SASA CCM KWA KUSHIRIKIANA NA CUF NA WANAUAMSHO WANA AJENDA YA KUTUMIA UKRISTO NA UCHAGA KUWAHADAA WATANZANI POLENI CCM,CUF NA WANAUAMSHO.NATOA HOJA
 
Hii inafanana na movie ya wazee wa Arumeru kumzuia Lema hasiende Arumeru, huu Umungu watu wa kuwaamulia na kuwasemea wengine ni tatizo sana...........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom