Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Juzi nimekula BAN sababu ya watu hawa
Chadema ni chama cha pekee nchini chenye kutoa fursa kwa wale watu waliokuwa na umaarufu hapo zamani lakini kutokana na kuchuja kwao wamepoteza mvuto mbele ya jamii na kuchoka kabisa.
Hivi karibuni, chadema imepokea wasanii wa bongo flevor wa kipindi hicho na kwa kuwa 'game' sasa limekuwa gumu, wasanii hao wamehama mziki na kukimbilia siasa kama njia ya kujikomboa na janga la njaa.
Wasanii hao ni JOSEPH MBILINYI (SUGU), JOSEPH HAULE (Prof J) na Soggy Doggy, hii hali ya wasanii kuona kwamba njia pekee ya kujikomboa na njaa kupitia CHADEMA inatokana na nini? kwani enzi hizo wapo kwenye chart CHADEMA haikuwepo?
JITAMBUE!
kwanini unadhani Soggy ana njaa, huyo kijana ni Muajiriwa wa Radio moja kule mkoani Iringa, kwahiyo unataka kutuamisha watangazaji wa vituo vya Radio wana njaa ?Chadema ni chama cha pekee nchini chenye kutoa fursa kwa wale watu waliokuwa na umaarufu hapo zamani lakini kutokana na kuchuja kwao wamepoteza mvuto mbele ya jamii na kuchoka kabisa.
Hivi karibuni, chadema imepokea wasanii wa bongo flevor wa kipindi hicho na kwa kuwa 'game' sasa limekuwa gumu, wasanii hao wamehama mziki na kukimbilia siasa kama njia ya kujikomboa na janga la njaa.
Wasanii hao ni JOSEPH MBILINYI (SUGU), JOSEPH HAULE (Prof J) na Soggy Doggy, hii hali ya wasanii kuona kwamba njia pekee ya kujikomboa na njaa kupitia CHADEMA inatokana na nini? kwani enzi hizo wapo kwenye chart CHADEMA haikuwepo?
JITAMBUE!
Umemsahau na huyu.
Kila mtu ana haki ya kujiunga na chama akipendacho..... Kwa mfano Nakaaya alihamia CCM kwa utashi wake...Chadema ni chama cha pekee nchini chenye kutoa fursa kwa wale watu waliokuwa na umaarufu hapo zamani lakini kutokana na kuchuja kwao wamepoteza mvuto mbele ya jamii na kuchoka kabisa.
Hivi karibuni, chadema imepokea wasanii wa bongo flevor wa kipindi hicho na kwa kuwa 'game' sasa limekuwa gumu, wasanii hao wamehama mziki na kukimbilia siasa kama njia ya kujikomboa na janga la njaa.
Wasanii hao ni JOSEPH MBILINYI (SUGU), JOSEPH HAULE (Prof J) na Soggy Doggy, hii hali ya wasanii kuona kwamba njia pekee ya kujikomboa na njaa kupitia CHADEMA inatokana na nini? kwani enzi hizo wapo kwenye chart CHADEMA haikuwepo?
JITAMBUE!
Chadema ni chama cha pekee nchini chenye kutoa fursa kwa wale watu waliokuwa na umaarufu hapo zamani lakini kutokana na kuchuja kwao wamepoteza mvuto mbele ya jamii na kuchoka kabisa.
Hivi karibuni, chadema imepokea wasanii wa bongo flevor wa kipindi hicho na kwa kuwa 'game' sasa limekuwa gumu, wasanii hao wamehama mziki na kukimbilia siasa kama njia ya kujikomboa na janga la njaa.
Wasanii hao ni JOSEPH MBILINYI (SUGU), JOSEPH HAULE (Prof J) na Soggy Doggy, hii hali ya wasanii kuona kwamba njia pekee ya kujikomboa na njaa kupitia CHADEMA inatokana na nini? kwani enzi hizo wapo kwenye chart CHADEMA haikuwepo?
JITAMBUE!
Kwa kawaida watu makini hawaongozwi na Ubinafsi katika kujadili masuala mbalimbali muhimu ya kitaifa. Hawasukumwi na Umimi, ukabila, ukanda na Udini katika kutoa michango na maoni katika ujenzi wa Taifa, hali ipo tofauti kwa Waumini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao wanajitambulisha kwa Udini,ukabila,ukanda,Umimi na Ubinafsi katika kujadili mambo nyeti ya Kitaifa.
Nisingependa kumaliza makala hii pasi na kuwashauri viongozi wa CHADEMA na Wafuasi wake kuwa, wawe tayari kulifia Taifa kuliko Chama, Wawaunge mkono viongozi wetu pale wanapokuja na mikakati ya kuljenga Taifa,kuwapa moyo viongozi wetu kwa mawazo yao pale yanapoonekana ni ya tija kuliko kuwabeza, tweza na kuwakatisha tamaa kwani kufanya hivyo kwaweza kupelekea viongozi wetu kujihusisha na malumbano badala ya kusisimamia shughuli za kimaendeleo na hatimaye kulipeleka Taifa kwenye Mdomo wa Mamba. Kwa faida ya nani?
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Ninaitwa BAKARI MADAYA (Mwanatunduru).
Ninapatikana simu: 0789357823 au barua pepe madayabakar@hotmail.com
Kwa sasa chadema hakina jipya zaidi ya uzushi na ujanjaujanja wa kitoto.Kila siku wanakuja na vituko mara wana video inayoonesha tukio la bomu kwenye mkutano wao Arusha,mara waraka mishahara mipya kwa walimu nk.Vyote hivi ni ujanjaujanja wenye lengo la kuwapandikiza hasira na chuki dhidi ya serikali wananchi.Chadema mtaumbuka muda siyo mrefu ujao,inavyoonekana kuna mtu aliyekuwa anarekodi hilo tukio na hiyo anatupa picha kwamba Chadema ndio wanahusika kulipua bomu katika mkutano wao ili kuwahadaa watu.Matukio yote haya yanatudhihirishia wananchi kuwa chadema hakifai kabisa na inabidi kife tu maana ni hatari kwelikweli.Huwezi kufanya mauaji ya watu wasio na hatia kwa malengo ya kisiasa wakati huohuo unataka kura kwao,ukiua wote nani utamuongoza? Siasa majitaka kweli.Vijana wa chadema mmekuja na vioja,eti waraka kwa walimu,mmh inatisha sana ndio maana pinda amesema mpigwe tu maana siasa zenu zina walakini,ni siasa mfu zitakazowagharimu sana
Watu wasiojulikana wamechoma moto jengo la ofisi ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma tukio lililotokea Juni 21 mwaka huu majira ya usiku pamoja mlinzi wa ofisi hizo kuwepo katika eneo hilo la ofisi mpaka majira ya saa 12 asubhi na hakuweza kutambua kutokea kwa kitendo hicho kilichofanywa na watu wasiojulikana usiku huo.