Naona umeamka sasa hiivi na kukurupuka sasa na wewe anataka ukatoe ushahid mahakamani kama kina wenzio Nape,Mwigulu,Mtikila,Hawa Gasia au takataka hata sifahamu hili jina la aina gani any way Criss Lukos.Kumbe hujafahamu kuwa Chadema wana full ushahidi?Pole sana,kama vipi waambie wakutumia hela yako kutoka Lumumba maake ushapost au waweza waambia wakamtumia mama'ko kwa njia ya M pesa.