CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.

No Reform no Election aliilenga kwa wenzake chama kibadilike kimsikilize mtu mmoja tu kama hilo haliwezekani hagombei mtu.

Mheshimiwa Mbowe aliweza kula na vipofu na alikula vizuri tu. na Chama kilikuwa na kufikia tishio kwa utawala uliopo madarakano kupitia Uchaguzi mkuu.

Je Lisu ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema ? Unaweza kusema haiwezekani ila pia unaweza kuhisi inawezekana Huyu mtu alitembelewa mara mbili tatu na wakuu mbali mbali wa CCM wakidai kumjulia hali,wengine tukijiuliza inakuwaje ? Na wengine tukiona ni ubinadamu.

Leo hii Chadema wanagawana mbao ,inasemekana hakuna kikao wala kamati au maandazi yaliokutana tokea Lisu aokote ukuu wa Chadema,ukuu ambao aliupata kwa mapambano ndani na kwenye mitandao.

Lisu si mwanasiasa ni mwana sheria ingawa wapo waliona yote hayo na huyapa haki zake sawa. Lisu alitunga sheria kwenye ubongo wake akizipitisha ndani ya kifua chake na kuzitekeleza bila ya kumshauri mwengine ni yeye tu,Jamani Lisu ndie mwenyekiti inabidi mumsikilize na mkubaliane nae ,si ruhusa kukataa au kupinga.

Chadema hadi sasa wapo njia ya panda ,nayaona yale ya CUF na Lipumba ambae alitumika na kufanikiwa kuivuruga CUF ,leo hii hajulikani yeye na chama chake wamefifia kabisa hawasikiki labda ukikaribia msimu wa ruzuku wakatiwe chao na CCM na ndipo inapoelekea CHADEMA chini ya Mwanasheria Tundu.

Naona ni bora Chadema ikakaa chini na kuitisha kikao cha kitaifa emergency ,iwe hivyo na kukinusuru hiki chama hata ikibidi Tundu Lisu afukuzwe au aondolewe ,kuna mambo ni magumu lakini inapobidi ni lazima yafanywe ,sidhani kama Chadema itapotea kama itamtoa kafara Tundu.

Kwa vyama vyote epukeni kubadilisha wakuu wa Chama hasa Wenyeviti ,Mbowe ameifikisha mbali sana Chadema ilikuwa waachiwe mpaka atakapojiuzulu au kufariki ,sio mnabadilisha badilisha kwa kuwa tu mtu mmoja anataka awe yeye, ndio mmeona kavuruga kila kitu.

Mwenyekiti awe kama mzee wa kimila au mkuu fulani hivi mfano wa akina Mkwawa ,iwe hivyo ,nafikiri ACT wamezuia kubadilisha mwenyekiti wao japo kuna kauchaguzi ni tayari wameshajiwekea ile nafasi sio ya kubadilishwa badilishwa ,kama Uraisi wa nchi kila baada ya miaka kumi.

Chama cha siasa ni taasisi inayotakiwa idumu kwa muda mrefu sana sana na vyeo vyake visiwe vya kuchezea chezea ikiwa hakuna tuhuma zenye uhakika wa mia kwa mia. Chadema walikuwa hawana haja ya kubadilisha Mwenyekiti na nikimalizia Mwenyekiti si lazima awe mgombea wa Uraisi wa Tanzania.
Chama cha Chadema chini ya Mbowe kilipata Mbunge mmoja tu Tanzania nzima,kweli hayo ndiyo mafanikio ya mbowe?
 
Hata wakati wa magufuli watu walisema chadema kinakufa kifo Cha mende ...!

chadema ni chama ambacho kinaenda kuwa imara zaidi baada ya kuondoka hao mamluki.....

Kitu huwa hakifi Kwa sababu ya kuondoka mtu au watu Fulani....

Kufa Kwa chadema mtasubiri sana....
 
Kama itakufa kifo Cha mende wewe utakufa kifo Cha chuma mboga
 
Utakufa wewe mshamba.
 
Ramli kama hizi sio mpya nchi hii mnavirugwa sana na CDM
 
Muda unazidi kupita ,walitegemea wazungu , Hivi CHADEMA jamkujua kama wazungu hawatakiwi tena hapa Africa ?
Kosa kubwa amelifanya Lisu ,angekubali kuingia kwenye uchaguzi ,sasa sasa kama nikukinukisha ,nasema kama nikukinukisha ilikua siku ya kupiga kura wakati wananchi wapiga kura wakisubiri matekeo ,maana pale kila mtu yupo tayari kufa na mbiu inatakiwa izungumzwe wakati wa kampeni kwmba mara hii mkiiba hatoki mtu kituoni tunamalizana hapo hapo kituoni.

No reform no election aafu unachanganya na kuipindua serikali ,hapo mmekosea sana maana hata afande anaetegemea mshaara mwisho wa mwezi atakufa na wewe. Maana anajua kikianza kutoa harufu hana mshaara.

Angalieni nchi zote hata za hao mazungu zimeanza mshikemshike wakati wa matokeo ya au uchaguzi ,huwezi uzuke tu kinanuka ,si umeona wamemuwahi sasa yupo na maabuswu.
Ndio basi tena chadema wapo chali inaangaliwa mapigo ya moyo. Na kubwa nadala ya kuangaliwa mapigo ya moyo kwenye shingo au mikono anaangaliwa kwenye miguu ,kama ataweza kusimama tena kama zamani.
 
Hata Chadema mfanye kitu gani hamtafanikiwa kuwatenganisha WaTanzania kwa siasa zenu chafu. Inaonekana mna agenda nyingine baada ya ile ya kutenda kosa la kuivuruga nchi mfanye mapinduzi kutumia kuvuruga uchaguzi na kuamsha hisia kwa wananchi kuandamana hadi Ikulu kukinukisha.

Tunaona waanzilishi wengi wachadema wakikihama chama kilichovamiwa na mamluki wa kizungu na watukanaji ,hamfiki mbali mnafoka sana ndio yaleyale ya nguvu za soda.
 
CHADEMA inakufa kibudu ,ukiona inavyokata roho inazidisha huruma lakini Mungu ameipenda zaidi,
Namna inavyokata roho inapiga mekelele kila pembe ya dunia ,kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari hamna walipobakisha wakirudi Tanzania wanasikia imeshatolewa kwenye list ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi.

Ikiwa vyama vyote vinashiriki uchaguzi isipokuwa wao waliomo ICU wanapumulia mashine ,sasa badala ya kupambana na CCM ni bora wakapambana na hivi vyama vingine vnavyoshiriki.
 
Pole mkuu,hata lile shetani la chato,pamoja na kuwa na vifaru,bunduki fedha na makomando kibao halikufanikiwa kuiua chadema.Utakufa wewe na utaiacha.
 
Back
Top Bottom