CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

hivi hajamaliza shauri lake la kumshtaki LOWASSA alilikuwa anaandaa pale kilimanjaro.
 
Kwani upinzani unabebwa/wakilishwa na Slaa peke yake? Afya ipi ya upinzani iliotetereka? Hivi tukizungumzia genge unawezaje kuiacha CCM? Hayo mapenzi yako kwa Taifa yameanza lini hadi kuutakia Upinzani afya njema?
Tatizo hamkumbuki na kufuatilia mambo....unapoongelea upinzani wenye afya unamuachaje Slaa?kilichomfanya yule mliyemzungushia mikono kuja Chadema badala ya kuanzisha chama chake ni kipi??
 
Ni kweli nakubaliana na wewe "huwezi kumuacha Slaa" . Nimekuelewa kama ishu kumuacha tu hio haina shida ila sio kurudi Chadema! Elewa hilo, he played his part na ameondoka! Amekuja Lowasa (maana naona unapata kigugumizi kumtaja) na yeye ata play part yake kama Slaa na wengine! Point ya wewe kulazimisha arudi Chadema bado haina mashiko! Wapo ambao watakuja na kuondoka na wapo ambao watakuja na kubaki! Ni uamuzi tu, na ndio maana kuna vyama vingi. Una hiari ya kutoka hapa na kwenda kule, vyama vya siasa sio kama ndoa za Kikristo! Hivi ni kweli CCM mnaweza kupuuzia mchango wa Kingunge au hata wa Lowasa? Lakini leo hawapo tena CCM. Je hio nayo ni dhambi? Ndio maana nasema mnaanzisha topic za kipuuzi sana sana. Uwezo wetu wa kupembua mambo ni mdogo na bahati mbaya sana tunaongozwa na hisia na mihemko ya kisiasa kuliko uhalisia. Vipi una swali?
 
Madhara ya kukurupuka ndiyo haya yaliyotokea. Tumewapata chadema mkumbo waiofuata mtu na siyo chama!!! Eeh? Chadema anza kutumbua majipu
 
Ni kweli nakubaliana na wewe "huwezi kumuacha Slaa" . Nimekuelewa kama ishu kumuacha tu hio haina shida ila sio kurudi Chadema! Elewa hilo, he played his part na ameondoka! Amekuja Lowasa (maana naona unapata kigugumizi kumtaja) na yeye ata play part yake kama Slaa na wengine! Point ya wewe kulazimisha arudi Chadema bado haina mashiko! Wapo ambao watakuja na kuondoka na wapo ambao watakuja na kubaki! Ni uamuzi tu, na ndio maana kuna vyama vingi. Una hiari ya kutoka hapa na kwenda kule, vyama vya siasa sio kama ndoa za Kikristo! Hivi ni kweli CCM mnaweza kupuuzia mchango wa Kingunge au hata wa Lowasa? Lakini leo hawapo tena CCM. Je hio nayo ni dhambi? Ndio maana nasema mnaanzisha topic za kipuuzi sana sana. Uwezo wetu wa kupembua mambo ni mdogo na bahati mbaya sana tunaongozwa na hisia na mihemko ya kisiasa kuliko uhalisia. Vipi una swali?

Dr Slaa ni binaadam ataishi na atapita. Lakini najua Jingalao hawezi kukuelewa kazi yake MALUMBANO.

Mtu mwenye akili hawezi kuibeza chama kilichopata pamoja na kuchakachua 40 percent .
 
Lowasa ataplay part yake???

Inaonesha huelewi unachokijadili...lowasa alishakwambia akiukosa urais ataenda kuchunga ng'ombe na ameanza kutekeleza hilo.

Hii ina maana lowassa kaachana na chadema baada ya kukosa alichokitaka sanasana kawaachia hulka ya kifisadi.
 
Ndio ilikuwa lengo la CDM??Ha ha ha...sasa mtaisoma namba
 
Dr Slaa ni binaadam ataishi na atapita. Lakini najua Jingalao hawezi kukuelewa kazi yake MALUMBANO.

Mtu mwenye akili hawezi kuibeza chama kilichopata pamoja na kuchakachua 40 percent .
Asante sana Mpwa, ngoja twende nae taratibu tu, maana walikuepo wengi walio influence wengi sana but leo wako upande wetu, huenda huyu nae siku moja akawa upande wetu kama MUSSA ALLAN LAKI si pesa na Assadsyria
 
Last edited by a moderator:
Sasa Jingalao kama "ameukosa uaris" na anaenda kuchunga ng'ombe si ndio hicho kwamba ame play part yake kusimama kama mgombea wa UKAWA? au hatuelewani? Usijibu kwa kuhamaki twende taratibu tu, nilichokisema ni kwamba watakuja wengi na wata play part zao kama alivyofanya Slaa, na sasa Lowasa na pengine mwingine atakuja na mwingine na mwingine, je dhambi iko wapi? Unataka tumuabudu Slaa? Fanya wewe hivyo sio sisi, yeye ameshaondoka hatuna muda wa kukaa na kuendelea kumfikiria we must move forward, hata kama mwisho wa safari tukafika na sura zote mpya, bado si tatizo si ndio siasa hizo? haya uliza tena nitakujibu kwa upole kabisa
Lowasa ataplay part yake???

Inaonesha huelewi unachokijadili...lowasa alishakwambia akiukosa urais ataenda kuchunga ng'ombe na ameanza kutekeleza hilo.

Hii ina maana lowassa kaachana na chadema baada ya kukosa alichokitaka sanasana kawaachia hulka ya kifisadi.
 
Asante sana Mpwa, ngoja twende nae taratibu tu, maana walikuepo wengi walio influence wengi sana but leo wako upande wetu, huenda huyu nae siku moja akawa upande wetu kama MUSSA ALLAN LAKI si pesa na Assadsyria
Sijawahi kuwa upande mmoja na hao uliowataja...nifuatilie ....

mimi sizungushwi mkono!
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuwa upande mmoja na hao uliowataja...nifuatilie ....

mimi sizungushwi mkono!
Basi huwajui ndugu zako, utakua kitengo cha tofauti na wao ila unakubali kuwa walikua upande wa CCM? unakubali au hata hilo utapinga? na je sasa hivi wako upande upi? Nilipata rafiki hapa ndugu yangu lusungo aliwahi kuwa CCM lakini hakuwahi kuwa na ushabiki wa kipuuzi kama huu....
 
Last edited by a moderator:
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.

siyo lazima kupost kama hauna jipya. kabla ya DR. SLAA kuingia kwenye siasa alikuwa padri, haikuwahi kusimama shughuli yoyote baada ya kuhasi upadri. HATA ALIPOTOROKA CCM AKAJA CHAMA KUBWA CHADEMA, ccm harakati waliendeleza. jimbo aliloongoza la Karatu, tunaliongoza awamu mbili akiwa nje ya mjengo. Hii inatudhihirishia kuwa kuondoka kwake Mungu uwaandaa watu wengine na kuwapaka mafuta kwa ukombozi. NYAMAZA KAMA HUNA JIPYA
 
Lowasa ataplay part yake???

Inaonesha huelewi unachokijadili...lowasa alishakwambia akiukosa urais ataenda kuchunga ng'ombe na ameanza kutekeleza hilo.

Hii ina maana lowassa kaachana na chadema baada ya kukosa alichokitaka sanasana kawaachia hulka ya kifisadi.

Lowassa kafanya kweli kama YERO ameonyesha ni mtu vitendo. Huwezi kuwa mstaafu wa daraja lake ukakosa ranch na ng'ombe wa aina Ile.
 
Sasa Jingalao kama "ameukosa uaris" na anaenda kuchunga ng'ombe si ndio hicho kwamba ame play part yake kusimama kama mgombea wa UKAWA? au hatuelewani? Usijibu kwa kuhamaki twende taratibu tu, nilichokisema ni kwamba watakuja wengi na wata play part zao kama alivyofanya Slaa, na sasa Lowasa na pengine mwingine atakuja na mwingine na mwingine, je dhambi iko wapi? Unataka tumuabudu Slaa? Fanya wewe hivyo sio sisi, yeye ameshaondoka hatuna muda wa kukaa na kuendelea kumfikiria we must move forward, hata kama mwisho wa safari tukafika na sura zote mpya, bado si tatizo si ndio siasa hizo? haya uliza tena nitakujibu kwa upole kabisa

Ni kweli nakubaliana na wewe "huwezi kumuacha Slaa" . Nimekuelewa kama ishu kumuacha tu hio haina shida ila sio kurudi Chadema! Elewa hilo, he played his part na ameondoka! Amekuja Lowasa (maana naona unapata kigugumizi kumtaja) na yeye ata play part yake kama Slaa na wengine!

Naona umeathirika na tatizo la kushikiwa akili.
 
Basi huwajui ndugu zako, utakua kitengo cha tofauti na wao ila unakubali kuwa walikua upande wa CCM? unakubali au hata hilo utapinga? na je sasa hivi wako upande upi? Nilipata rafiki hapa ndugu yangu lusungo aliwahi kuwa CCM lakini hakuwahi kuwa na ushabiki wa kipuuzi kama huu....

Walikuwa upande wa lowassa ndani ya ccm wakajiita Team lowassa na baadae wakahamia chadema na kuwa wasemaji wa chadema.

ndio maana nakwambia nifuatilie !!
 
Last edited by a moderator:
JINGALAO
Unakumbuka ile timu bora kabisa iliyoasisi Chadema akiwemo Mtei,Ngwilulupi,Wassira nk...?Leo wote hawapo na chama kinakuwa kwa Kasi,sembuse Dr Mihogo?
Don't insult our intelligence
 
Walikuwa upande wa lowassa ndani ya ccm wakajiita Team lowassa na baadae wakahamia chadema na kuwa wasemaji wa chadema.

ndio maana nakwambia nifuatilie !!
Kwahio unakubali kwamba CCM mmeoza na mmejaza makundi sio?
 
Mwezi julai CCM ilijipambanua kama chama adilifu na chenye weledi wa hali ya juu katika siasa!
 
Mm nadhani hakuna haja ya kumpigia magoti ...achwe aebde zake huko ccm.....
 
Back
Top Bottom