CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

Eti mko katikati ya mapambano vitani, ghafla adui yako anakupa ushauri jinsi ya kuangamiza jeshi lao, ukiukubali ushauri huo si utakuwa ujinga na uzuzu wa ajabu kabisa? Au unaonaje Jemedari wa Lumumba ndugu yangu jingalao ?
 
Mwezi julai CCM ilijipambanua kama chama adilifu na chenye weledi wa hali ya juu katika siasa!
CCM kina miaka mingapi madarakini hadi kije kujipambanua mwaka huu kuwa ni chama adilifu na weledi wa hali ya juu? Unataka kutuaminisha nini hapa? kwamba CCM hakijawahi kuwa chama adilifu hadi Julai 2015? Are you serious kweli? Kama haya ndio majibu yako naomba nikubali kushindwa, naona najadili jambo na mtu mwenye uelewa na upeo mdogo sana
 
Mikakati gani wewe?

Hizo mbwembwe za mikakati ndio zile zile mbwe mbwe za gia za angani.

lowassa kawaingiza choo cha kike na wale waliosemwa watakuja ikabaki kama ile chorus ya anakuja.... anakuja... Sista P

hahaha ila ww jamaa ww, unanfrahshaga xana ww, et anakuja... anakuja,,,,. kwahyo unataka ku2ambia CDM waliingizwa mjini na THE GREAT NGOYAI.
 
Sijui kwa nini mimi Chadema nilikuwa namuamini Dr Slaa peke yake. Sasa hivi naona tunapelekwa pelekwa tu ila ngoja tuone mwisho wake.
 
Lowasa ataplay part yake???

Inaonesha huelewi unachokijadili...lowasa alishakwambia akiukosa urais ataenda kuchunga ng'ombe na ameanza kutekeleza hilo.

Hii ina maana lowassa kaachana na chadema baada ya kukosa alichokitaka sanasana kawaachia hulka ya kifisadi.

Wewe ama huelewi unachokijadili au unaelewa ila kwa makusudi umeamua kujitoa akili,umeambiwa Dr.kaplay part yake kaondoka,na Lowasa ataplay nafasi yake halafu unamsemea Lowasa kuwa hawezi wakati juzi tu kazuuliwa kufanya mikutano,vilevile nyie watu na wanafiki tangu lini mkawa mnautakia afya njema Upinzani wakati huwa mpo tayari kuua mtu yoyote ambaye anaonyeshe upinzani kwa kuwatoa madarakani mfano Alphonce Mawazo(R.I.P),Mwangozi(R.I.P),Dr.Ulimboka,Mabom kule Arusha,..Uchaguzi Zanzibar n.k lakini mtu unakuja kuleta thread huku ikiitetea kuwa mnahitaji upinzani unafiki tupu!!!!.
 
Nadhani ningekuona wa maana kama ungemshauri kwanza slaa aiombe radhi familia yake aliyoitelekeza.Pili na kanisa alilohasi na kuzini kisha kuzaa.
 
maskini dr. slaa, hakujua kuwa amezungukwa na kundi la wanafiki kwa miaka yote aliyoitumikia cdm. pamoja na yaliyomkuta, amedhihirisha nuru(dr. slaa) haichangamani na giza(kamati kuu ya cdm). dr. slaa si msaliti, bali mbowe na genge lake wameisaliti dhana nzima ya mabadiliko iliyohubiriwa na cdm.

nakushauri dr. slaa, hawa jamaa hata wakija wanatambaa kwa magoti kukuomba urejee cdm usikubali. mbowe haaminiki, aweza kuja na mpya ya kubadili gia si angani tena bali anga za juu, huku niliko mimi. aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. linda heshima yako epukana na wahuni.
 
HAKUNA UPUUZI MKUBWA KAMA KUAMINI ATI MTU FULANI PEKEE NDIYE ANAYEWEZA AU KUFIT PAHALA FULANI.
we call it a dumbshits!
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.

Wanaanzaje?....
 
Hivi akifa huyo Dr Slaa vipi kwani huyo ndiye mtu pekee CHADEMA anaweza kuwa katibu mkuu jaribu kujishughulisha na mawazo yako.

Mpaka leo miezi minne hakuna katibu..katiba yenu inataka nafasi ijazwe ndani ya siku 90,
Kazi kugombania maiti na kuangalia Jk anafanya nini
 
Mkubwa. Yaani Babu Na Mikwara Yake Yote, Akalazwa Ndani Ya Gari? Kweli Kiboko Ya Tembo Ni Sisimizi. Kwi.kwi.kwi.kwi.

Uongo wa Lissu ndo mnajifurahisha nayo mkuu. Ila Tundu Lissu awe makini maana watu wakianza kuongea ukweli kuhusu ye na ndoa yake itabidi JF akina Invisible waingilie kati na lufuta au kufunga uzi.
Uzuri wa ukweli ni kuwa haifichwi. Kila kitu kitakuja kujulikana. Ona Gwajima bila kushurutishwa anavyomkana Lowassa!
 
Mwezi julai CCM ilijipambanua kama chama adilifu na chenye weledi wa hali ya juu katika siasa!

Nitawaamini kwamba ninyi sio wanafiki iwapo mtamfukuza Joka la Makengeza na Mama za Mboga vinginevyo ni blabla
 
Chadema mwaka huu kimefanya vizuri zaidi kuliko chama chochote, sasa sielewi DR Slaa atafutwe Kwa vigezo gani!
 
maskini dr. slaa, hakujua kuwa amezungukwa na kundi la wanafiki kwa miaka yote aliyoitumikia cdm. pamoja na yaliyomkuta, amedhihirisha nuru(dr. slaa) haichangamani na giza(kamati kuu ya cdm). dr. slaa si msaliti, bali mbowe na genge lake wameisaliti dhana nzima ya mabadiliko iliyohubiriwa na cdm.

nakushauri dr. slaa, hawa jamaa hata wakija wanatambaa kwa magoti kukuomba urejee cdm usikubali. mbowe haaminiki, aweza kuja na mpya ya kubadili gia si angani tena bali anga za juu, huku niliko mimi. aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. linda heshima yako epukana na wahuni.

Unafiki ni kitu kibaya sana siku za nyuma mliwaaminisha watu kwamba Dk ni mwana ccm maana kadi yake bado anailipia imekuwaje sasa mnataka arudi cdm wakati alisharudi kwenye chama chske cha zamani
 
Hv cdm sahv wanatetea nn?ile harakati yao yakupnga ufisadi yote kwisha..wamewekwa mfukoni na rostam na luwasa.mbowe mtoto mjini kweli.
 
Mpaka leo miezi minne hakuna katibu..katiba yenu inataka nafasi ijazwe ndani ya siku 90,
Kazi kugombania maiti na kuangalia Jk anafanya nini
Huyo ni kiongozi wa chama chenye mbunge mmoja nccr, wala chadema hawamjui.
 
Kwa anaefahamu Zaidi ni kwanin hadi Leo cdm hawajachagua katibu mkuu wkt katiba ya chama inataka siku 90 baada ya kijiuzulu/kufukuzwa/kufariki apatkane mwingine,hii sio kuvunja katiba mliyojiwekea kwa manufaa ya wanachama na wanachama wanaxemaje kuhusu hili
 
Back
Top Bottom