CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
"foward ever, backward never" mkuu mohamed mtoi naona umenukuu maneno ya jemedari, gwiji wa siasa, mzalendo wa ukweli ZITO KABWE .. Hongera sana, bila shaka zito kabwe ni role model wako
 
Mkuu Tumaini Makene, asante kwa taarifa hii kuhusu Chadema na viongozi wake katika suala zima la kupokea ushauri, ushauri siku zote huwa ni ushauri tuu, mshauriwa ana hiyari aupokee au kuupuuza, ila kwa mujibu wa kitu kinachoitwa "right to information" kwa mtu yoyote au taasisi yoyote ambayo iko paid by taxpayers money, the tax pays have all the right to know each and everything kuhusu chombo hicho ambacho ndio hatma ya kodi zao!.

Asante.

Pasco.
Mkuu, mtu ambaye ameshadhihirika kuhujumu chama......

Rejea clip hii


Mtu ambaye posts zake za JF kuhusu CHADEMA ni za majitaka na bado anajiita mwanachama wa CHADEMA!

Hakika kwa muktadha huu, jibu alilopewa na Makene ni sawa kabisa. Huyu Joseph Ludovick hana nia njema na chama, mpaka athibitishe tofauti kwa matendo yake kwa CHAMA.

Tena wapi unatolea ushauri, namna unavyotoa ushauri, na ushauri wenyewe umekaaje ni vya muhimu sana kufanya ushauri upokeleke au ukataliwe.

Kodi ya wananchi si kufanya chama na wanachama na viongozi ni wajinga wasioelewa watu wasio na nia njema kwa chama.
 
Last edited by a moderator:
Yaani nawewe unaweza kutoa ushauri kweli mada yenyewe kaleta kibaraka wenu ambaye cdm tulishamtimua miaka mingi iliyopita.

Mada iletwe na yeyote yule haijalishi, nisome vizuri nimeandika nini. Jee, unajuwa ushauri upi niliompa Mohamedi Mtoi?
 
Last edited by a moderator:
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.
 
"foward ever, backward never" mkuu mohamed mtoi naona umenukuu maneno ya jemedari, gwiji wa siasa, mzalendo wa ukweli ZITO KABWE .. Hongera sana, bila shaka zito kabwe ni role model wako
Maneno ya Zitto hayo? Huu Msemo umekuwa pro tangu kabla hata ya Zitto kuzaliwa ......sembuse kujua kiingereza
 
Huyu sio BAVICHA. Kumbuka alikuwemo kwenye gari la viongozi wa ACT, ajali ya gari hilo ilipotokea hakuwa na jinsi ya kujificha

Huyu ni mtu hatari sana, alipewa lift na gari ACT likapata ajali, alikiri kutumiwa fedha na Mwigulu ili watengeneze ile movie ya ugaidi, sasa kaja na lingine tena.Huwa najiuliza haya yote yanafanyika kwa kuwa vijana hawana ajira au ni njaa tu imekuwa Kali?
 
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.
We we ni Mnafiki sana , endelea kujenga ACT Acha Kujifanya uko Chadema wakati uko kwenye ziara za Mwigamba .........
 
TATIZO KUBWA la WASALITI , MAMLUKI NA WASAKATONGE WOTE NI KUDHANI KWAMBA WANA AKILI KULIKO MTU YEYOTE , WAMESAHAU KWAMBA TUMEWAFUNGA VING'AMUZI , KILA WANACHOKIFANYA GIZANI KIKO HADHARANI , KUNA TAARIFA KWAMBA HATA SISIEMU imeWADHARAU SANA HAWA VIJAKAZI WAO , MAANA YANAONEKANA KAMA MAROBOTI TU !

mkuu Erythrocyte wataacha vipi kumzarau mtuu kama machange ishu ya mwangosi iliishaa kabisa na CCM walisema tayari wanachi wote wlishashau isipokuwa mjane tu, sasa machange anakuja kwenye media na kuibua upya, ugaidi arusha etc in which CCM wanuhakika wakienda mahakani kwa vidhibitisho watapigwa chini vibaya sana, kwanini waje na cheap politics like that machange

maachange na makada walioshiriki kwenye compiled report ya propaganda za CCM na vibaraka wake wapewa ziro na disappointment kubwa kutoka kwenye cc ya CCM
 
"foward ever, backward never" mkuu mohamed mtoi naona umenukuu maneno ya jemedari, gwiji wa siasa, mzalendo wa ukweli ZITO KABWE .. Hongera sana, bila shaka zito kabwe ni role model wako

akili yako ya korodani ndo inaamini hiyo ni slogan ya Msaliti,kwamba msaliti ni creator
 
Maneno ya Zitto hayo? Huu Msemo umekuwa pro tangu kabla hata ya Zitto kuzaliwa ......sembuse kujua kiingereza

Mtoi ameupata kutoka kwa Zito , muulize atakuambia ,Zito ni role model wa Mtoi
 
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.
Wewe ni kama mchawi aliyempa sumu mtu, kisha anajifanya anamletea dawa.

No moral authority.

Naomba comments zako juu ya kununuliwa kwako na Mwigulu kama anavyojieleza kwa kujigamba hapa.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mohamedi Mtoi!! Hakika umefanya la maana kujibu... Ludovick ni nyoka mwenye vichwa viwili, huyu ni mmoja wa akina Askari wa wote ambao daima dumu wanatuzunguka katika maisha ya kila leo. Ukiangali kwa ndani yu kama mtahadharishaji lakini daima kila neno lake lkimejawa na utata maana ndivyo alivyo.
Kijana huyu ni mmoja wa watu walliotayari kunena lolote alimradi waweze kupata ugali wa siku, katu suala la Unafiki, Uzandiki, Uuaji, na hata usaliti wa kiwango cha juu wao hawezi katu kujutiaa. Roho yake imejaa giza daima haoni nuru hyuyu ndiye Askari wa wote Ludovick Jososeph.
Pigana daima ukijua akari wa wote yu karibu nawe
 
Hayo ni maneno ya Zito mkuu. Mtoi ameyanukuu tu
Watu wanapoamua kuabudu binadamu wenzao ni shida kweli.

Haya maneno kabla hata Zitto hajazaliwa ilikuwa ndio motto ya timu ya Yanga: Daima mbele, nyuma mwiko, ila wanaoabudu watu wanajitoa ufahamu kabisa.
 
wakuu.

Sikutaka kumjibu ludovick kwa kuwa majibu ya afisa habari wetu wa chama kamanda tumaini makene yalijitosheleza sana! Nimeamua kumjibu binafsi kwa kuwa anaweza kuibua hofu isiyokuwa na msingi kutokana na matumizi ya lugha aliyotumia.

Kwenye sehemu ya bandiko lake kwa wale wanaojua kukusanya na kuunganisha nukta ameandika hivi "... Kufuatia hayo yaliyo msibu kwa sababu ya chadema...".

japo kwenye bandiko lake hukueleza yaliyonisibu ni yapi, lakini wakati huohuo amejivika kuwa msemaji wangu ambaye kwa haiba na matendo yake ya usaliti kwenye chama siwezi kumruhusu kufanya hivyo, bali anaweza kuwa msemaji anaye tumiwa na waliowahi kumtumia kuiangamiza chadema kwa ugaidi fake na mwishowe wakashindwa wote.

Mpaka amekuja kuandika ujumbe wake hapo juu, sina lolote lililo nikumba ndani ya chadema na natimiza majukumu yangu na wajibu wangu kwa chama chetu ambacho naamini kwa matendo na mwenendo wake (ludovick joseph) hawezi kuwa na udhu wa kukisemea achilia mbali kujinasibu kuwa ni mwanachama.

Kama kuna lolote baya linaloweza kunikumbuka na kunidhuru kama ilivyotokea kwa kibanda ambaye kwenye moja ya mchango wake kule mabadiliko alisema "...miongoni mwa watu walio nivamia ana fanana na joseph ludovick...",wakati huo ludovick akiwa wa kwanza kuripoti kwenye mitandao kuwa kibanda amevamiwa, litafanya nikumbuke hiyo kauli yake ya "...yaliyo msibu kwa sababu ya chadema.."

ninachoweza kumuambia, niko tayari kwa lolote maana najua hawashindwi kufanya lolote kama jinsi ambayo wamekuwa mafundi wa kupanga yote waliyopanga na wakashindwa kwenye yote.

"foward ever, backward never"

haya utakuja kuyakana mwenyewe huko siku za usoni. Wewe jifanye unaaminika na kupendwa lakini ipo siku utakuja juta uamuzi wake wa kukubali kuzungukwa na hawa kina masawe na john.
 
Ninachokiona hapa hao waliokutuma wewe "funguo malaya" wanataka mumfitinishe na chama kila mwanachama wa CHADEMA aliye maarufu na mwenye kubeba haya majina ya Mohamed,Said,n.k ili baadae mhalalishe kete yenu ya udini kusema waislam hawatakiwi CHADEMA.Nenda kawaambie waliokutuma Lumumba kuwa umejaribu,umeshindwa,kuna milango(vyama) haifunguki kwa "funguo malaya".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom