CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Ludovick anaweza kuwa na ubaya mkubwa kuliko ubora, na akawa mdanganyifu kambambe kulilko ukweli. Lakini hata jambazi siku inafika anakumbuka kulia 'mama yangu', mama ambaye kamuasi na kuyakataa mafundisho yake.

Umemshauri vizuri, kwamba aanze kutoa ushauri bora kwa ccm kama wanamsikiliza na kumwamini.

Upande mwingine, taarifa anayotoa si ya kuikubali moja kwa moja na wala si ya kuidharau moja kwa moja. Si vizuri kuamini kila kitu lakini pia ni vyema kutokudharau taarifa. Ludovick, hata kama ana mkataba wa uharamia na kundi lolote kwa ajili ya tumbo, huyu ni binadamu mwenye dhamira na nafsi ambavyo mara zote huwa vina nguvu ishindayo fedha, njaa na hata uchungu wa kifo.

Inteligencia na uongozi msikilizeni. Wasilianeni naye awaambie anachotaka mkifahmu, nanyi mkichunguze mpate ukweli. Si lazima kila kitu kiandikwe hapa mtandaoni. Hakuna hasara ya kujiridhisha kwamba anawadanganya kulioko majuto ya kudharau taarifa.



Utakuwa upuuzi wa aina yake kwenda kumsikiliza mhalifu eti akujuze wapi mhalifu mwenzie tafanya uhalifu kwenye Mali/Eneo lako.Ila cha msingi hapa ,ni wazi kuwa njama dhahiri iko njiani kufanywa/kutokea ndani ya CDM na hili si geni maana Madiwani toka Shinyanga wamelisema ,sasa inawezekana kukwama mpango wa kwanza Plani ya Pili iko njiani -Hivyo taarifa hii yaweza kuwa na harufu hivyo ni vizuri Idara husika ikafanye tathimini.
 
mohamed Mtoi tulimpa wosia mimi na FaizaFoxy Chadema sipo hawakutaki angalia sasa umeanza kuwekewa zengwe.

CC: chama

akili zenu fupi sana daah think big huyo alie leta hii post ni mtu wa act,eti leo ana ishauri cdm ha ha ha maisha ya ludo yanachekesha sana.
 
Last edited by a moderator:
mohamed Mtoi tulimpa wosia mimi na FaizaFoxy Chadema sipo hawakutaki angalia sasa umeanza kuwekewa zengwe.

CC: chama

Ni kweli kamanda Ritz hata zitto na wenzake Kina mwigamba walianzishiwa zengwe kwa style hii hii na Kina Slaa walikuwa wana like habari zile hapa jamvini sasa zamu kwa zamu,pale cdm hatakiwi mtu kuwa mkubwa au na sifa zaidi ya Dj mbowe na Baba junior lazima wakushushe,
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Mtoi ni mwanachama na mtendaji wa chama aliyekabidhiwa majukumu na anayatimiza kadri inavyotakiwa.

Yuko anatimiza majukumu yake kwa chama kama kawaida. Anatimiza wajibu wake kama mwanachama. Anawajibika kama mtendaji kwa kadri ya nafasi yake.

CHADEMA au viongozi wake, hawapangiwi wala kupokea ushauri wa namna ya kusimamia, kuendesha chama au utendaji kazi wa kila siku kutoka kwa CCM na washirika wao (its cronies as I normally write).

Mleta mada anayo fursa nzuri ya kupeleka ushauri wake CCM ambako bila shaka wanamwamini zaidi kama sehemu ya vijana wao.

Mleta mada huyu angeshauriwa atumie fursa aliyonayo ya mawasiliano ya siri na wazi (kama alivyofanya hapa), aungane na wenzake kwenye lile tawi jipya la CCM, kuwapatia ushauri kama huu watu wa Lumumba au pale White House Dodoma.

Awashauri badala ya kufungia magazeti wafanyie kazi facts zinazosemwa na Magazeti mathalani tukio la kutekwa, kuteswa na kutaka kuuwawa kwa Dkt. Ulimboka.

Awashauri kuwa waache kufanya au kupalilia mauaji kisha wanawatuma mawakala wao kusema Ni Chadema.

Alipaswa awe amewashauri 'wenzake' wafanye uchunguzi wa kina na kuchukua hatua kwenye

Mkuu Tumaini Makene wakati mwingine ni busara kutulia na kuona mleta mada anataka kuwatonya kitu gani. Sisi wote ni binadamu na kila mtu ana mapungufu yake, hivyo si vyema kumjibia mohamed Mtoi kana kwamba masaa yote 24 upo naye na unajua kila anachokifikiria na kukipanga. Kumbuka walikuwepo watu wengi mliowaamini akiwemo huyu mleta mada lakini wewe ni shahidi wa kile walichowafanyia. Msipende sana kukurupuka kujibu hata pale panapokuwa hakuna sababu ya kufanya hivyo. Ni ushauri wangu tu wala si shuruti.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa hii ifikishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe...

Nyinyi mnaojiita wanasiasa wa Tanzani ni bure kabisa, yaani ni uchwara...

Mnaandika andika tu mambo ya ajabu humu kuwachanganya watu...

Hivi ngoja nikuulize, ina maana hujui taratibu stahiki za kulibainisha jambo kama hili?


Usimpe sifa asiyostahili huyu hawezi kuwa mwanasiasa zaidi ya kuwa wakala wa Uhalifu kama kazi au kwakutojijua.


Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Hapa ebu tusaidie nini kimekusibu ambacho Ludo anakifahamu na kimekupata kwa sababu ya Chadema natumaini wanachama watakuwa na hamu ya kujua yanoyowapata Viongozi au wanachama wenzao katika harakati hii ya kusaka Uhuru binafsi na kuwaondolea mbali Mafisadi.


Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

@Mohamed Mtoi ebu ifanyie hisani Jukwaa hili,kwenye eneo dogo:
Je unamfahamu vipi huyu bwana na mashirikiano yake na wewe kimaisha au kikazi yakoje au yalikuwaje!
Njia ya muongo huwa ni fupi!



 
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake.


Historia yake unayozungumzia inaanzia wapi? maana mimi nimekua nae tangu utotoni, chekechea pale Chuo Cha CCM ( Now Institute of Judicial Administration - IJA), Baba yake akiwa ni rafiki mkubwa wa Baba yangu na familia kwa ujumla, baadae tukasoma wote Shambali Sekondary kisha Magamba Sekondari ( now ni Sebastian Kolowa University) namfahamu vizuri, kwa kiasi hicho
 
Taarifa hii ifikishe kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe...

Nyinyi mnaojiita wanasiasa wa Tanzani ni bure kabisa, yaani ni uchwara...

Mnaandika andika tu mambo ya ajabu humu kuwachanganya watu...

Hivi ngoja nikuulize, ina maana hujui taratibu stahiki za kulibainisha jambo kama hili?

Mkuu usijipe presha za bure, hivi ndivyo siasa zetu zilivyo...

Kusingizia kwamba tunataka kuuawa ni moja ya hizo move...

Nadhani ni style ya kutafuta kuhurumiwa...

Iwe chama tawala au chama pinzani ni mchezo mmoja...

Imagine: mpaka leo CDM hawajawahi kuisaidia polisi juu ya kuwa na mkanda wa aliyelipua bomu kwenye mkutano wao AR, lakini mkuu wa Chama alisisitiza kwamba huo mkanda anao...
 
Ni kweli kamanda Ritz hata zitto na wenzake Kina mwigamba walianzishiwa zengwe kwa style hii hii na Kina Slaa walikuwa wana like habari zile hapa jamvini sasa zamu kwa zamu,pale cdm hatakiwi mtu kuwa mkubwa au na sifa zaidi ya Dj mbowe na Baba junior lazima wakushushe,

Endeleeni kujazana ujinga nyie misukule ya lumumba.
 
Last edited by a moderator:
Mohamedi Mtoi,

Njoo hapa, halafu unaukumbuka ushauri wangu kwako?

Kiko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz Lazima Mtoi ataelewa tulichokuwa tunamwambia maana lazima ataambiwa aliandaa waraka!

Siku si nyingi Lissu atatoa tamko la kumfukuza!
Ludo Vick ametumwa kumfikishia ujumbe ajiandae.
Kweli unafiki hauna aibu. Kwa hiyo viongozi wa Chadema wamemtuma mtu wa ACT (Ludo) kumpelekea Mtoi ujumbe? Kumbe nyie mnaandika kwanza kisha kufikiri baadae. Nimekudharau sana, hicho sio kiwango cha JF hata kidogo.
 
Historia yake unayozungumzia inaanzia wapi? maana mimi nimekua nae tangu utotoni, chekechea pale Chuo Cha CCM ( Now Institute of Judicial Administration - IJA), Baba yake akiwa ni rafiki mkubwa wa Baba yangu na familia kwa ujumla, baadae tukasoma wote Shambali Sekondary kisha Magamba Sekondari ( now ni Sebastian Kolowa University) namfahamu vizuri, kwa kiasi hicho
Mkuu Elli unapoteza muda wako kulihoji hilo Zoba. Huyo amezoea kuishi maisha ya uongo uongo tuu. Unakumbuka alivyo danganya kuwa alitekwa siku ile Kibanda anavamiwa? Eti wakamvua nguo na kumpakia kwenye Bajaji. Labda angesema na hizo nguo walimvua ili wamfanyeje au walimfanya nini tungemwelewa.
Jitu linaloishi kwa style hiyo haliwezi kujifanya linamshauri mohamed Mtoi jambo lolote. Akadandie lift za ACT huko.
 
Last edited by a moderator:
Mohamedi Mtoi,

Njoo hapa, halafu unaukumbuka ushauri wangu kwako?

Kiko wapi?

Nijuavyo, Mshauri mzuri wa MME ni MKE na kinyume chake.... Sasa FaizaFoxy ulimshauri Mohamed Mtoi ina maana ni MME WAKO???????


Haya kesi nyingine hii!

Mohamed Mtoi njoo ujibu kwa nini unakula vya CCM? namaanisha FF!

FaizaFoxy njoo na wewe ujibu umepata wapi ruhusa ya kumilikiwa na wanaume wawili?
 
Ludo, ile move yenu na Diallo itakuwa sokoni lini au imebuma!!
 
nIMESHAONGEA NA Mohamedi Mtoi AMESEMA HAKURUPUKI KWENYE KUJIBU, ATAKUJIBU TU KWA KUTULIA HAPO UTAKAPOKUWA UMEWEKA USHAHIDI WAKO MAANA HII STORY IKO HEWANI HEWANI SANA
CHAMVIGA TULIA ANAKUJA MANI na zumbemkuu hebu njooni huku msikilize Mgosi anatetwa

Yangu ni macho na masikio kama sio leo siku yake itafika.
 
Last edited by a moderator:
post za kimkakati toka ACT

hii ni ya pili baada ya comment ya jana kwenye uzi wa kum attack Saanane

Nashukuru umelitambua hilo mkuu,tatizo dunian kuna watu wanajifanya wana akili kuliko wenzao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom